gasto genaro
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 780
- 554
Msumeno huu wa sasa unakata upande mmota tu
Muda wote umekaa na shamba kwanini hukujiandaa mapema, wiki mbili kwan hukujua ipo siku utaenda chuo ivyo ujiandae, kuendekeza tu uomba omba, Acha akunyime tena angekujibu ovyo ningekua mimi. Nyinyi ndio mnao letea taifa haibu hata mkisha kuwa watu wazima mbeleni tena wenye elimu, kuendekeza miterezo mwisho mnakua INTELLECTUAL BEGAS. Kuwa yatima so sababu ya kuwa omba omba kikubwa una afya, mikono na miguu, na una resorce tena shamba.ni zao lipi tz linalo stawi kwa wiki mbili ambalo lingenisaidia kulipa ada ya semister ya kwanza.
Hahahahaa, nasika huyu mama na mashamba ni kama uji na mgonjwa!Mama Anna ni mbunge wangu nimewahi kumuomba msaada wakati fulani wa ada ya semister baada ya kukosa mkopo wa chuo, alinijibu " kwa sasa nasomesha watoto wa Primary tu ndo uwezo nilio nao" nilipo mtaarifu kuwa basi nimuuzie shamba langu la urithi maana mmi ni Yatima alijibu "liko wapi hilo shamba nitakutafutie mteja" kumbe mteja alikuwa yeye! kwa thread hiyo hapo juu naungana na mtoa mada kuwa huyu mama anamiliki manyarubanja huko Muleba aliyoyapata kwa njia za kuwarubuni walala hoi.
vipi na ile hela ya mboga......samahani lakiniTaarifa. Sina plot hata moja Kigamboni. Mwenye ushahidi tofauti aulete. Viwanja vya Kisota ni mali ya ushirika wa wanawake wa nyumba. Viwanja hivyo walipewa na Waziri wa Ardhi aliyenitangulia Mhe John Chiligati. Mimi wakati huo nikiwa UNHABITAT.
Jambo moja linalonishangaza na kunisikitisha. Vijana mnaotakiwa kuwa na elimu na mori wa kujadili mambo/jambo ambalo kimsingi ni zuri. Kwa nini kabla ya kuandika msiyoyajua vizuri hamuendi kwenye sehemu husika kufanya utafiti kidogo? Chairman Mao alisema no research no right to speak. Ukienda Wizara ya Ardhi watakwambia viwanja husika vya Kisota ni vya nani. Lakini uzembe! Mtu anakaa tu kwenye kiti chake anaandika mambo ya kashfa bila hata uchunguzi wowote. Jirekebisheni. Dhambi hizo mbele ya Mwenyezi Mungu kuna siku zitawatafuna. Basi sasa umejua ukweli. Nendeni kawajulishe wananchi unaodai wanadhani viwanja ni vyangu. Si kweli. Mama T
Ukifika kigamboni eneo la kisotha kuna eneo kuna viwanja zaidi ya 1000
wenyeji hapo wanasema ni viwanja vya Anna Tibaijuka
na ukifika huko Mapinga Bagamoyo nako kuna story kama hizo
swali nalojiuliza je na huyu nae kama ni kweli watamnyang'anya?
au hii operesheni sio kila mtu?
NItajie vigogo watatu tu ambao hadi sasa wameshanyang'anywa... nimeghairi; nitajie wawili au hata mmoja si mbaya sana!Huu sasa upotishaji, muweke na ushahidi, huyo mama hana eneo lolote huko kigamboni, kama angekuwa nalo, nijuavyo toka ameacha uwaziri wangesha mnyanganya kitambo sana. Acheni propaganda mufilisi.wekeni ushahidi mezan, mtu mmoja kumiliki viwanja 1000??mnaona jambo jepesi eeh. ..!Watz hataree
Usibishe kila kitu.... Hapa mjini kuna watu wana viwanja zaidi ya hivyo na hawana majina makubwa yanayojulikana kwenye media. So wakati mwingine lisemwalo lipoHuu sasa upotishaji, muweke na ushahidi, huyo mama hana eneo lolote huko kigamboni, kama angekuwa nalo, nijuavyo toka ameacha uwaziri wangesha mnyanganya kitambo sana. Acheni propaganda mufilisi.wekeni ushahidi mezan, mtu mmoja kumiliki viwanja 1000??mnaona jambo jepesi eeh. ..!Watz hataree
Hizi mada zingine zinatia hasira, inabidi mtu usome wakati umeshiba.
Viwanja elfu moja mtu mmoja.?
Ndio maana nipo Na Magufuli muda wote japo Na mie naisoma Namba.
Hata akinyang'anywa wewe itakusaidia nini ...watz tufanye kazi midomo midomo na majungu wala havitatufikisha kwenye ndoto zetu
Wacha kuhorojoka hapa, we unajua historia ya hilo pori au?Huna lolote la maana, unaonesha chuki zako tu binafsi, sasa kama limezinduliwa na kikwete ni kosa? ?hoja haina mashiko,Acha chuki kaza kamba tafuta vyako na wewe. Kama kapata kihalali kwanini iwe nongwa, kikubwa kama kwel haliendelezwi tutasikia, hayo mengine yote ni wivu na uzandiki
watu wa kanda ya ziwa hawaguswi nasikia
Mama alikuwa mwizi sana alipopata nafasi ya uwaziri pale Ardhi ila kwa kuwa huyu Mhima ni mkabila sidhani kama atamfanya loloteHii Haitawagusa Wote Mkuu Ikumbukwe Huyo Mama Tu Hadi Hapo Unajiuliza Amepaje Viwanja 1000 Kigamboni TAKUKURU Wampandishe Haraka Mahakamani
Tunapotakiwa Kuhoji Ilipaswa Huyo Apishe
Kwani wewe huoni hali ilivyo?Umesikia wapi kuwa hawaguswi?
Mkuu rushwa sio lazima upokee fedha hata kuhonga nyumba ya serikali kwa kimada nayo ni rushwa tu. Mhima anatakiwa kulijua hili kuwa hata yey ni mla rushwaAlafu eti tunaambiwa kapatikana mtu asiependa rushwa!!
Ngoja nikwambie kitu kama wewe umetumwa na mama tibaijuka "aka tuhela twa mboga" uje ulete utumbo wake humu wakati tunavijua vile viwanja vyake pale kigamboni mwambie "hapa imekula kwake". Namshauri anyamaze vinginevyo tutamwongezea anavyomiliki bagamoyo ambapo mimi ni moja ya majirani zake tuliodhurumiwa shamba la urithi kwa fidia ya kiwanja kimoja. Usinitie hasiraTaarifa. Sina plot hata moja Kigamboni. Mwenye ushahidi tofauti aulete. Viwanja vya Kisota ni mali ya ushirika wa wanawake wa nyumba. Viwanja hivyo walipewa na Waziri wa Ardhi aliyenitangulia Mhe John Chiligati. Mimi wakati huo nikiwa UNHABITAT.
Jambo moja linalonishangaza na kunisikitisha. Vijana mnaotakiwa kuwa na elimu na mori wa kujadili mambo/jambo ambalo kimsingi ni zuri. Kwa nini kabla ya kuandika msiyoyajua vizuri hamuendi kwenye sehemu husika kufanya utafiti kidogo? Chairman Mao alisema no research no right to speak. Ukienda Wizara ya Ardhi watakwambia viwanja husika vya Kisota ni vya nani. Lakini uzembe! Mtu anakaa tu kwenye kiti chake anaandika mambo ya kashfa bila hata uchunguzi wowote. Jirekebisheni. Dhambi hizo mbele ya Mwenyezi Mungu kuna siku zitawatafuna. Basi sasa umejua ukweli. Nendeni kawajulishe wananchi unaodai wanadhani viwanja ni vyangu. Si kweli. Mama T