Acha polojo wewe goloko kama jina lako,lete ushahidi au peleka kwa mahakama.Punguza taharabu hazisaidiii,muda wa KAZI TU....Mlio zoea kula kwa maneno yasiyo na tija wala mashiko imekula kwenuNgoja nikwambie kitu kama wewe umetumwa na mama tibaijuka "aka tuhela twa mboga" uje ulete utumbo wake humu wakati tunavijua vile viwanja vyake pale kigamboni mwambie "hapa imekula kwake". Namshauri anyamaze vinginevyo tutamwongezea anavyomiliki bagamoyo ambapo mimi ni moja ya majirani zake tuliodhurumiwa shamba la urithi kwa fidia ya kiwanja kimoja. Usinitie hasira