Anna Tibaijuka Viwanja vyake watamnyang'anya?

Anna Tibaijuka Viwanja vyake watamnyang'anya?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,654
Ukifika kigamboni eneo la kisotha kuna eneo kuna viwanja zaidi ya 1000
wenyeji hapo wanasema ni viwanja vya Anna Tibaijuka

na ukifika huko Mapinga Bagamoyo nako kuna story kama hizo

swali nalojiuliza je na huyu nae kama ni kweli watamnyang'anya?

au hii operesheni sio kila mtu?

======

Mwendelezo wa habari hii upo hapa=>Prof. Tibaijuka akanusha kumiliki Viwanja Kigamboni
 
Hii Haitawagusa Wote Mkuu Ikumbukwe Huyo Mama Tu Hadi Hapo Unajiuliza Amepaje Viwanja 1000 Kigamboni TAKUKURU Wampandishe Haraka Mahakamani
Tunapotakiwa Kuhoji Ilipaswa Huyo Apishe
 
Ukifika kigamboni eneo la kisotha kuna eneo kuna viwanja zaidi ya 1000
wenyeji hapo wanasema ni viwanja vya Anna Tibaijuka

na ukifika huko Mapinga Bagamoyo nako kuna story kama hizo

swali nalojiuliza je na huyu nae kama ni kweli watamnyang'anya?

au hii operesheni sio kila mtu?
Huu sasa upotishaji, muweke na ushahidi, huyo mama hana eneo lolote huko kigamboni, kama angekuwa nalo, nijuavyo toka ameacha uwaziri wangesha mnyanganya kitambo sana. Acheni propaganda mufilisi.wekeni ushahidi mezan, mtu mmoja kumiliki viwanja 1000??mnaona jambo jepesi eeh. ..!Watz hataree
 
Swali zuri sana hili kuna mtu alinitonya huyu Mama kwa kushirikiana na wanawe kawalangua Watanzania wengi sana kwenye viwanja "vyake" vya kigamboni na kujitengenezea pochi kubwa sana.

Ukifika kigamboni eneo la kisotha kuna eneo kuna viwanja zaidi ya 1000
wenyeji hapo wanasema ni viwanja vya Anna Tibaijuka

na ukifika huko Mapinga Bagamoyo nako kuna story kama hizo

swali nalojiuliza je na huyu nae kama ni kweli watamnyang'anya?

au hii operesheni sio kila mtu?
 
Mwacheni Rais afanye kazi yake. Tuacheni ushabiki, unacompare kesi ya viwanja na pori haingii akilini! Sumaye anafuga mapori ya hekari zaidi ya 200 bila kuendeleza ayageuze yawe viwanja basi ili tumuache muda si ameshapewa!!
 
Huu sasa upotishaji, muweke na ushahidi, huyo mama hana eneo lolote huko kigamboni, kama angekuwa nalo, nijuavyo toka ameacha uwaziri wangesha mnyanganya kitambo sana. Acheni propaganda mufilisi.wekeni ushahidi mezan, mtu mmoja kumiliki viwanja 1000??mnaona jambo jepesi eeh. ..!Watz hataree

Ndo maana hi thread ni swali sio facts
Nenda kisotha uliza viwanja vya Tibaijuka utaoneshwa
iwe kweli au si kweli hilo suala lingine
 
Watanzania acheni ushabiki wa kijinga jinga.. Fanyeni kazi
 
Hata akinyang'anywa wewe itakusaidia nini ...watz tufanye kazi midomo midomo na majungu wala havitatufikisha kwenye ndoto zetu
 
Hizi mada zingine zinatia hasira, inabidi mtu usome wakati umeshiba.

Viwanja elfu moja mtu mmoja.?

Ndio maana nipo Na Magufuli muda wote japo Na mie naisoma Namba.
 
Kipaumbele cha mtu kunyang'anywa mashamba na viwanja ni kuikataa CCM na kazi zake,tofauti na hapo hakuna wa kugusa,
 
Ana shamba kubwa hekari 3000 Muleba ukishakunja barabara ya kuelekea Chato, shamba limezinduliwa na Kikwete. Ajabu halijaendelezwa zaidi ya kuzungushiwa fensi na kujenga vijumba vya wafanyakazi. Huu uroho na umimi utamuua huyu mama.
 
Back
Top Bottom