MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,345
- 11,227
Kuna rafiki yangu ametoka kuzika ndugu yake Machame, ananiambia KCMC hali ni mbaya sana, na Mount Meru Arusha ndio mbaya zaidi. Sasa sijui kama mama kachukuliwa na mdudu lakini hii Covid version Delta ni noma, tuchukue tahadhariNi nini kimemuua?Tunapaswa kujua hili ili kama ni Corona watu wawe serious zaidi katika kujikinga.