KASHOROBANA
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,241
- 964
Huyu jamaa nina wasiwasi kama ibada huwa anafanya,kama anafanya basi tuzidi kumuombea Mungu amvute karibu yake zaidi ampe hekima na busara japo kiduchu tu.
Is like utabiri kim jon un, kutolewa madarakani. Hizi ni ndoto.
Don't dream during the day.
Kila dik. Hutolewa na foreign forces tu, tena kwa maslahi yao. Humu ndani hamumuwezi.
Kafanyeni kazi, mlale.
Demokrasi ni pamoja na kuchagua kiongozi diketa ama asiye dikteta kwa kupenda na uhuru. We practiced such democracy last year.
The road to hell is paved with good intentions.
Mwanafunzi kufanya vibaya kitaaluma lawama ni walimu. Tabia mbaya ya mwanafunzi chanzo chake hasa ni wazazi na jamii kwa ujumla. Na tabia mbaya ya mwanafunzi huchangia kufanya vibaya kitaaluma.Asante kwa ufafanuzi uliojaa elimu hivi wanafunzi wakifanya vibaya jamii inapeleka lawama kwa nani? Kwa wanafunzi? Walimu? Au shule?
Hizi ngonjera ni vyema angeimbiwa Seif siku aliyokataa mkono wa Shein sababu ile ilikuwa kuutangazia umma kuwa ana chuki isiyo elezeka.
Cha kushangaza ni kuwa wale wale waliompongeza Seif kuwa siyo mnafiki ndiyo wanalialia baada ya hii count attack.
Mwisho wa siku dawa ya bishoo ni kuwa bishoo zaidi yake ni vyema Magufuli naye apongezwe kwa kutokuwa mnafiki kama alivyopongezwa Seif.
Wahenga walisema boss hanuniwi.
Basi nikutoe wasiwasi,wewe ni fool.
Jiandae kuitwa mchochezi maana siku hizi umekuwaNgoma ikivuma sana hupasuka na mwenye kiburi akishupaza sana shingo huvunjika mara.
Tuwe na tuo tuwe na tafakuri kwenye maneno yetu...mtu anayejisifia rohombaya wazi wazi sio kwamba hana tu hekima lakini pia hana saburi na hatafakari matokeo ya kauli zake, huyu ni mwovu.
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri, bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu, huchochea ghadhabu huchochea visasi chuki na ubabe.Dhima ya kiongozi ni kuleta umoja na maridhiano sio kuchochea chuki na visasi
Kiongozi mwenye hekima kamwe hawezi kuongea karaha.Karaha huleta simanzi na majonzi, mtu wa karaha hana ogofyo lolote, ni kiburi na kiburi chake ni anguko.
Nuru ya mtu mbaya huzimika ghafla bila tahadhari bila taarifa. Mtu wa hekima hutengeneza patano kwa njia ya mashauriano.
Je, tunatengeneza ama tunabomoa?
Je, tunahubiri amani ama visasi?
Je, tunaeneza ustawi au anguko?
Je, Tunafundisha hekima au upuuzi?
- Hakuna kitu kibaya kama kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi
Wanahubiri amani huku wameficha mapanga,
Msiye mtaka kaja. Huyu ndiye rais tuliyemuhitaji kwa muda mrefu sana.
Hotuba ya mwisho ya Seif uliisikilizaaaaa ? Au ndio ushabiki maandaz wenyewe. Lazima tuwe wakweli hata kama tu wapinzani.duh wewe uko nchi gani????? wapinzani wa wapi wametoa hotuba kt awamu hii au ndo ushabiki mandazi
kweli ngoma ya Upinzani imevuma sana kipindi cha JK sasa imepasuka pwaa....Ngoma ikivuma sana hupasuka na mwenye kiburi akishupaza sana shingo huvunjika mara.
Tuwe na tuo tuwe na tafakuri kwenye maneno yetu...mtu anayejisifia rohombaya wazi wazi sio kwamba hana tu hekima lakini pia hana saburi na hatafakari matokeo ya kauli zake, huyu ni mwovu.
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri, bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu, huchochea ghadhabu huchochea visasi chuki na ubabe.Dhima ya kiongozi ni kuleta umoja na maridhiano sio kuchochea chuki na visasi
Kiongozi mwenye hekima kamwe hawezi kuongea karaha.Karaha huleta simanzi na majonzi, mtu wa karaha hana ogofyo lolote, ni kiburi na kiburi chake ni anguko.
Nuru ya mtu mbaya huzimika ghafla bila tahadhari bila taarifa. Mtu wa hekima hutengeneza patano kwa njia ya mashauriano.
Je, tunatengeneza ama tunabomoa?
Je, tunahubiri amani ama visasi?
Je, tunaeneza ustawi au anguko?
Je, Tunafundisha hekima au upuuzi?
- Hakuna kitu kibaya kama kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi
kwa taarifa yako inchi inaendelea kunyooshwa ili kufikia maendeleo,porojo,kubebembelezwa peleka kibarazani.Hizo ramri utazipiga sana,mbaya zaidi huna hata uwezo wa kuzidhibiti tamaa zako mwen
haya ndiyo madhara ya kushindia chips harafu uko mwanaume,lazima akili idumae tu.
Sawa mkuu, asantenadhan jitahidi kumuombea. kwa maneno aya makali sidhan km na wewe hukuombea
Maisha yote ya Yesu yalikuwa kukemea maovu kwa vitendo. Luka 14:27, 28, aliwaambia makutano "27:Mtu yeyote asiyeuchukua msalaba wake na kuja nyuma yangu, si mwanafunzi wangu; 28:Maana ni nani katika ninyi, kama akitaka kujenga mnara asiyeketi kwanza na kuhesabu gharama, kwamba anavyo vya kumalizia ".Huyu jamaa nina wasiwasi kama ibada huwa anafanya,kama anafanya basi tuzidi kumuombea Mungu amvute karibu yake zaidi ampe hekima na busara japo kiduchu tu.
G20 watakuwa wanadizaini mbinu za kumchochea mwenye nyumba kwa kumpa nishani za uongozi bora na wengine wahamasishe ukuta ili nchi isitawalike.
haa haa mkuu umeshindwa kunielewa huyu wa Jana huko kada ya juu zaidi ni sawa na Headmaster na mwalimu wa zamu though siwezikupinga ni watu wazima ila Head ni mkuu naye kateleza mbayaa tuige mazuri kutoka kwa nani sasaYour example is irrelevant.
Hakuna cha mtoto wala Baba hapo wote wazima wanatakiwa wakemee viashilia vya ubaguzi na utengano.
Tzs 7,000/- @ day at work.
Ngoma ikivuma sana hupasuka na mwenye kiburi akishupaza sana shingo huvunjika mara.
Tuwe na tuo tuwe na tafakuri kwenye maneno yetu...mtu anayejisifia rohombaya wazi wazi sio kwamba hana tu hekima lakini pia hana saburi na hatafakari matokeo ya kauli zake, huyu ni mwovu.
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri, bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu, huchochea ghadhabu huchochea visasi chuki na ubabe.Dhima ya kiongozi ni kuleta umoja na maridhiano sio kuchochea chuki na visasi
Kiongozi mwenye hekima kamwe hawezi kuongea karaha.Karaha huleta simanzi na majonzi, mtu wa karaha hana ogofyo lolote, ni kiburi na kiburi chake ni anguko.
Nuru ya mtu mbaya huzimika ghafla bila tahadhari bila taarifa. Mtu wa hekima hutengeneza patano kwa njia ya mashauriano.
Je, tunatengeneza ama tunabomoa?
Je, tunahubiri amani ama visasi?
Je, tunaeneza ustawi au anguko?
Je, Tunafundisha hekima au upuuzi?
- Hakuna kitu kibaya kama kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi
But in general view conclusion ile shule ni mbaya na kama ni ya serikali mwalimu mkuu anabadilishwa.... .dhana ya angukoMwanafunzi kufanya vibaya kitaaluma lawama ni walimu. Tabia mbaya ya mwanafunzi chanzo chake hasa ni wazazi na jamii kwa ujumla. Na tabia mbaya ya mwanafunzi huchangia kufanya vibaya kitaaluma.
Na Mimi nije? Hiyo profile kidogo ichomoe moyo wanguKaribu sana Makete