Anguko la Upinzani nani alaumiwe?

Anguko la Upinzani nani alaumiwe?

Hapo umetoka nje ya mjadala Mkuu
Nadhani kichwa cha habari kingepaswa kuwa nani apongezwe sio alaumiwe. Kuna aliyesema anataka kuua upinzani kwa bunduki, mahakama, jeshi, tume na polisi, nadhani huyu ndio wa kupongezwa na hakuna wa kulaumiwa
 
Mkuu tusibandikane majina mabay,
Mijadala kama hii inasaidia wapinzani kujisahihisha walipokosea

Tukiacha mihemuko tunagundua upinzani umeyumba sana je Tatizo ni nini?
Hivi wewe kibaraka wa Lumumba unalipwa kiasi gani??
Kutwa kucha upo hapa huna lolot6e la maana ni mapambio ya kuwaponda wapinzani hasa CHADEMA.
Huna hata aibu, Ok sawa lama CDM haina mvuto weka tume huru ya uchaguzi usitumie polisi na wakurugenzi kuiba kura uone moto wa wananchi.
Watu wamechoka mapambio ya MaCCM, korosho watu baadhi hawajalipwa, alizeti Manyara bei ni Tshs 50,000/= ilikuwa Tshs 300,000/=Sera mbovu za biashara watu wako hoi, Bado hujaelewa hao ndio wapiga kura umeelewa wewe mbulula wa Lumumba???
 
Yaani wewe ni mchanga sana kwenye hii fani, unajitahidi kupost ujinga wewe na yule sijuii state agent, nikushauri kijana wangu, hii ni habari nyingine, walikuepo hapa akina CHAMVIGA Ritz Malaria Sugu na wengine waliojifanya vibwengo kuliko nyie wametoweka, pumzi ziliwaishia akina assadsyria3 na wengine. Nawashauri kuitetea CCM hata uwe chizi lazima pumzi zitakuishia tu. Kuna mwingine alikua na post kila dakika, yaani kila thread yupo na kila post yupo...wameshashindwa, nakushauri, tunza familia yako achana na hizi ishu
 
Hakuna wanapokosea.Nitajie mbunge wa ccm anaekubalika jimboni kwake kuzidi kwa chadema au upinzani,mbeya vijijini mbunge wa ccm Njenza sijawahi sikia hata akiita mkutano wa hadhara,Mbunge wa Temeke Mheshimiwa Mtulia pia ni maji ya mtungi,Haonga pale vwawa hakubariki kabisa.Mwakyembe kule kyela hawezi kuita mkutano wa hadhara akasikiliza wananchi.Mbunge Janeth Mbene wa Ileje hana mvuto kwa raia.,mbunge wa kinondoni Mtolea hana mvuto kabisa hapo bado sijataja Mwita waitara.

Lakin Heche,sugu,Matiko,mdee,Mbowe,zitoo,Yule wa Momba na wengineo wakiitisha vikao hadi wabibi ni mwendo wa vidole viwili juu peoples' power.

Ccm ndio haina ushawishi waoga hadi kwa kivuli chao na bado kinawafuata.
Sina uhakika kama umemwelewa vizuri mleta mada!
 
Shule ulikwenda kusoma ujinga??
Siasi ni maisha ya watu, amani ya nchi ni uchumi mzuri wa kisiasa umeelewa.
Gadhafi, Hitler , nk walifanya makubwa kiuchumi , lakini historia yao mbaya, walikandamiza na kuuwa watu, mazuri yote yalifutwa na maovu yao!!
Usishangilie uovu, auwaye kwa upanga atajibiwa kwa upanga.
Muogope Mungu ukitumwa mission zingine jiulize mara mbili.
Umenilewa????
 
Je kuanguka na kupoteza ushawishi kwa vyama vya upinzani nani alaumiwe?

Tukizungumzia Upinzani kwa miaka 15 mfululizo tunawazungumzia chadema

Hawa ndio walikuwa wanawavuruta wenzao

Lakini toka awamu ya tano iingie madarakani ni km wameishiwa pumzi kwa lugha ya mtaani tunasema wamekuwa kama mbwa mwenye mapengo hata wakibweka sauti inarudi tumboni

Je walikosea wapi mpaka kupoteza ushawishi? Je nini kifanyike waweze kuaminika tena?

Je wanaweza wakapotea kabisa 2020 na TLP kikaibuka kama chama kikuu cha upinzani?

Tuwashauri Wapinzani walijikwaa wapi? Ili waweze kwenda sawa na mchapa Kazi Rais Magufuli
WEWE UTAKUA MJA MZITO NAKUOMBEA LABOUR NJEMA NA KWENYE HUU UZI ULIPOANDIKA CHADEMA WEKA CCM
 
Hivi Kawe na wewe ni great thinker? Forum imeingiliwa kwa sasa! Yani unaandika vitu ambavyo vipo chini kabisa ya viwango vya kufikiri.
Hivi ni kweli vyama vya upinzani vimeanguka? Hivi hufahamu kabisa wanayokutana nayo wakati wakitaka kufanya wajibu wao kama wanasiasa?
 
UPINZANI HAUFI MKUU. ILA VYAMA TAWALA NDIO VINAANGUKA, UPINZANI SIO CHAMA, UPINZANI NI WATU, CHAMA NI KAMA NJIA TU AMBAYO LEO INAWEZA KUFUNGULIWA WATU WAPITE KESHO IKIFUNGWA WATU WASIPITE WATU WATATFUTA NJIA NYINGINE YA KUPITA.

UPINZANI NI WATU. WATU WAKIISHA DUNIANI BASI UJUE NA UPINZANI NDIO UTAISHA BUT NOT OTHER WAY AROUND.
 
Usichanganye mambo. Upinzani una ushawishi mkubwa kwa Wananchi/Raia wa kawaida ila unachojaribu kulinganisha ni ushawishi/amri/maagizo kwa ccm dhidi ya Vyombo vya Usalama na Watendaji Wakuu wa Serikali.
 
MLETA MADA HUU UCHAFU PELEKA CHATLE AU LUMUMBA HUNA HATA AIBU MWANAMKE MZIMA NDO MAANA HUOLEWI NA TUTAENDELE KUKUZALISHA HADI ZIKUKAE SAWA NYAMBAFU
 
Siasa zilipigwa marufuku kwa wapinzani.
Huo ushawishi unataka waufanyie wapi?
 
Tumesikia leo Mhs Mkapa anasema kuwe na tume huru ya uchaguzi na uchaguzi huru.
Hapo utajua kama upinzani upo au umekufa, weka tume huru ya uchaguzi!!
Ufanyike uchaguzi huru!!
 
Je kuanguka na kupoteza ushawishi kwa vyama vya upinzani nani alaumiwe?

Tukizungumzia Upinzani kwa miaka 15 mfululizo tunawazungumzia chadema

Hawa ndio walikuwa wanawavuruta wenzao

Lakini toka awamu ya tano iingie madarakani ni km wameishiwa pumzi kwa lugha ya mtaani tunasema wamekuwa kama mbwa mwenye mapengo hata wakibweka sauti inarudi tumboni

Je walikosea wapi mpaka kupoteza ushawishi? Je nini kifanyike waweze kuaminika tena?

Je wanaweza wakapotea kabisa 2020 na TLP kikaibuka kama chama kikuu cha upinzani?

Tuwashauri Wapinzani walijikwaa wapi? Ili waweze kwenda sawa na mchapa Kazi Rais Magufuli


!
!
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
 
Back
Top Bottom