Mm binafsi uwaga najiuliza kwann upinzani nchi za kiafrika unakuepo hata baada ya uchaguzi yaan unakuta wapinzani bado wanakiwasha hata baada ya uchaguzi kitu ambachoo ni tofauti na wenzetu wa magharibi xaxa najiuliza maswali haya , viongozi wanaoingia madarakani wanafanya xna makosa mpaka wapinzani wanashutuka?, wapinzani bado hawana uelewa wa neno upinzani ndo maana wao ni kupinga tu kila siku?!, na mengine mengi ila nikaja nkagundua kitu kimoja bado tupochini sana kwenye issue ya political issue we still unmatured ndo maana unakuta ccm na chadema wanakimbizana tu mahakamani na police , !!!so when we would be mature politically!???? Kwa nchi za kiafrika bado xnaa labda tufe tuzaliwe tena upya maana wakoloni walituachia akili ya ukoloni tunafikili kila kitu bila kulazimishana atuendi ndo maaana viongozi wengine wanaweka sheria pembeni