Anguko la Upinzani nani alaumiwe?

Anguko la Upinzani nani alaumiwe?

Je kuanguka na kupoteza ushawishi kwa vyama vya upinzani nani alaumiwe?

Tukizungumzia Upinzani kwa miaka 15 mfululizo tunawazungumzia chadema

Hawa ndio walikuwa wanawavuruta wenzao

Lakini toka awamu ya tano iingie madarakani ni km wameishiwa pumzi kwa lugha ya mtaani tunasema wamekuwa kama mbwa mwenye mapengo hata wakibweka sauti inarudi tumboni

Je walikosea wapi mpaka kupoteza ushawishi? Je nini kifanyike waweze kuaminika tena?

Je wanaweza wakapotea kabisa 2020 na TLP kikaibuka kama chama kikuu cha upinzani?

Tuwashauri Wapinzani walijikwaa wapi? Ili waweze kwenda sawa na mchapa Kazi Rais Magufuli
Tuchukue uchaguzi mdogo kama case study kuweka mizani juu hojaza hizi.

Hebu fikiri, wakati inasemwa ati chama tawala kinafanya vizuri kiasi kwamba upinzani unaishiwa pumzi ni katika kipindi hiki hiki ambacho watu wanahamasishwa na kubembelezwa kujiandikisha ktk daftari la kura ili wapige kura, hiyo ni kujiandikisha tu achilia mbali bado kupiga kura.

Najiuliza, hivi hawaoni mazuri ya chama tawala watumie fursa ya kijiandikisha kwa wingi ili waunge mkono juhudi na mema ya serikali hii tukufu ili kuwamaliza wapinzani kabisa tena kabla ya 2020??

Nilitarajia kuwe na mwamko kuliko kipindi kingine chochote cha watu kwenda kujiandikisha, maana sasa hivi mema ni mengi yanayosemwa kuliko awamu nyingine yoyote iliyowahi tokea nchini, la hasha! mwamko ni mdogo huenda kama zamani, kwanini???
 
Wanakigoma wana hasira sana na Zitto Hawataki hata kumuona wanamtaka yule kijana aliyehamia ccm juzi halima mdee pia hakutabiriki
Kiufupi mambo magumu
Hakuna wanapokosea.Nitajie mbunge wa ccm anaekubalika jimboni kwake kuzidi kwa chadema au upinzani,mbeya vijijini mbunge wa ccm Njenza sijawahi sikia hata akiita mkutano wa hadhara,Mbunge wa Temeke Mheshimiwa Mtulia pia ni maji ya mtungi,Haonga pale vwawa hakubariki kabisa.Mwakyembe kule kyela hawezi kuita mkutano wa hadhara akasikiliza wananchi.Mbunge Janeth Mbene wa Ileje hana mvuto kwa raia.,mbunge wa kinondoni Mtolea hana mvuto kabisa hapo bado sijataja Mwita waitara.

Lakin Heche,sugu,Matiko,mdee,Mbowe,zitoo,Yule wa Momba na wengineo wakiitisha vikao hadi wabibi ni mwendo wa vidole viwili juu peoples' power.

Ccm ndio haina ushawishi waoga hadi kwa kivuli chao na bado kinawafuata.
 
Je kuanguka na kupoteza ushawishi kwa vyama vya upinzani nani alaumiwe?

Tukizungumzia Upinzani kwa miaka 15 mfululizo tunawazungumzia chadema

Hawa ndio walikuwa wanawavuruta wenzao

Lakini toka awamu ya tano iingie madarakani ni km wameishiwa pumzi kwa lugha ya mtaani tunasema wamekuwa kama mbwa mwenye mapengo hata wakibweka sauti inarudi tumboni

Je walikosea wapi mpaka kupoteza ushawishi? Je nini kifanyike waweze kuaminika tena?

Je wanaweza wakapotea kabisa 2020 na TLP kikaibuka kama chama kikuu cha upinzani?

Tuwashauri Wapinzani walijikwaa wapi? Ili waweze kwenda sawa na mchapa Kazi Rais Magufuli
Mtasubiri sana na mbinu zenu hizi za kigaidi
 
Ilaumiwe laana ya Dk Slaa
Alaumiwe aliyekufanya hivi, masikini wazazi wako wamepata hasara.
1572191509422.jpeg
 
Hii inaweza kuwa pia sababu kubwa mno

Dr slaa alikuwa anakubalika sana
Kuna siku mlimkubali nyinyi?
Kuna mpinzani mliyekuwa mnamtukana kama huyo? Hebu tafuteni kumbukumbu za ule uchaguzi mdogo wa kule Arumeru kwa Nassari, na matusi ya Livingstone Lusinde.
 
Chadema ni genge la wakora waliojificha kwenye kichaka cha siasa na demokrasia.

Ni wakuogopwa mithili ya ugonjwa wa ukoma
Je kuanguka na kupoteza ushawishi kwa vyama vya upinzani nani alaumiwe?

Tukizungumzia Upinzani kwa miaka 15 mfululizo tunawazungumzia chadema

Hawa ndio walikuwa wanawavuruta wenzao

Lakini toka awamu ya tano iingie madarakani ni km wameishiwa pumzi kwa lugha ya mtaani tunasema wamekuwa kama mbwa mwenye mapengo hata wakibweka sauti inarudi tumboni

Je walikosea wapi mpaka kupoteza ushawishi? Je nini kifanyike waweze kuaminika tena?

Je wanaweza wakapotea kabisa 2020 na TLP kikaibuka kama chama kikuu cha upinzani?

Tuwashauri Wapinzani walijikwaa wapi? Ili waweze kwenda sawa na mchapa Kazi Rais Magufuli
 
Je kuanguka na kupoteza ushawishi kwa vyama vya upinzani nani alaumiwe?

Tukizungumzia Upinzani kwa miaka 15 mfululizo tunawazungumzia chadema

Hawa ndio walikuwa wanawavuruta wenzao

Lakini toka awamu ya tano iingie madarakani ni km wameishiwa pumzi kwa lugha ya mtaani tunasema wamekuwa kama mbwa mwenye mapengo hata wakibweka sauti inarudi tumboni

Je walikosea wapi mpaka kupoteza ushawishi? Je nini kifanyike waweze kuaminika tena?

Je wanaweza wakapotea kabisa 2020 na TLP kikaibuka kama chama kikuu cha upinzani?

Tuwashauri Wapinzani walijikwaa wapi? Ili waweze kwenda sawa na mchapa Kazi Rais Magufuli
MBOWE
 
Tatizo kubwa kwa wanasiasa wa upinzani ni kutawaliwa sana na ubinafsi na mihemko.
Kwa bahati mbaya hadi sasa hawana 'common strategy' kwenye masuala ya kisiasa [walipaswa kuwa nayo baada tu wa uchaguzi wa 2015]. Kutokana na ubinafsi unaoambatana na uroho wa madaraka na kutoaminiana na kwa bahati mbaya zaidi hata wengi wetu tumejiingiza kwenye mtego huu hasa wale wanaoshabikia upinzani.
Kwao, kila anayefikiri tofauti nao basi huitwa majina mengi ya ajabu.Wengi wetu tumesahau kile kipindi ambacho suala la katiba mpya ambapo upinzani ulitaka kila jambo ambalo wanalitaka liwekwe humo kitu ambacho kwenye majadiliano kwa kawaida hakuna mambo kama hayo kwani linalofaa zaidi ni 'give and take' ili wote kwa ujumla wenu bila kujali tofauti za kisiasa mjione ni washindi na hakuna aliyeshindwa.
Upinzani, ulishinda hoja ya mgombea binafsi, tume huru ya uchaguzi, kupunguza madaraka ya raisi.
Kwangu mimi binafsi ningekuwa kiongozi wa upinzani, ningewashiwishi wenzangu wakubali hayo na mengine wayawache kwanza ili rasimu ipite, wananchi waridhie, bunge la katiba kupitisha rasimu iwe sheria rasmi. Hivyo tungeweza kuingia kwenye uchaguzi wa 2020 kufuata katiba mpya.
Mengine yote yangeweza kuboreshwa na kushughulikia baadaye. Lakini waheshimiwa wetu walikuwa wanajiangalia wao na vyama vyao kwa upeo wa mwisho wa uono wao wa kibinafsi na mwishowe tukapoteza nafasi nzuri ya kuanzia kurekebisha katiba yetu.
Upinzani ukitaka usitake 2020 itakuwa ni kisulisuli tu. Tutajidanganya kuwa CCM imeiba kura na wengine kujitoa tena kwenye uchaguzi. Mwisho wa siku inabidi wafahamu kuwa 'Ukisusa chakula wakati wa kula, basi wewe huna njaa' hivyo usilie na mtu wakati njaa itakapo kubana na chakula kimekwisha liwa na waliokuwa na jaa.
JPM, kwa sasa katiba siyo 'priority tean' cha muhimu kwake ni ujenzi wa nchi na sioni dalili yoyote ile kabla ya 2025 kwa sababu akili yake yote kwa sasa ni maendeleo ya uchumi. Ninadhani mfano mzuri kwake ni Uchina. Nchi hiyo ni ya kikomonisti lakini uchumi wake unaendeshwa kibepari . Maendeleo yaliyopatikana hadi sasa ni historia kwani imewashika koo mabepari wote duniani.
Kwa wananchi wa nchi hiyo, hakuna wanachokikosa kwani hivi sasa kuna mabilionea wengi zaidi kulika hata marekani. Hali ya maisha kwa wananchi ni nzuri kupita wakati wowote ule kwenye historia ya nchi hiyo kiasi kwamba ukiondoa tatizo la Hongkong, hatusikii wimbo wa demokrasia..
Rais Kikwete alijaribu kuweka legacy ya demokrasi lakini sisi tulitimba kila jaribio lake na tukamdhalilisha. Hivyo tusimlaumu JPM wala CCM bali tuwalaumu wale ambao tuliwachagua kwenda kutuwakilisha lakini wakaishia katikati ya safari kutokana na kutoangalia mbali.
 
Mi naona upinzani upo imara na kamwe hauwezi kufa. Kukiwa na fursa sawa za kisiasa kati ya CCM na Upinzani. Ni wazi CCM kitatoweka kama ilivyokuwa KANU ya Kenya.
 
Bado sana Mkuu Upinzani Upinzani una mashimo mengi sana

Kuyafukia sio leo wala kesho

Wanamapungufu Mengi mno
Mi naona upinzani upo imara na kamwe hauwezi kufa. Kukiwa na fursa sawa za kisiasa kati ya CCM na Upinzani. Ni wazi CCM kitatoweka kama ilivyokuwa KANU ya Kenya.
 
Mkuu umeandika Mambo mazito mno

Unajua wapinzani wengi hawapendi kuambiwa ukweli

Wakiambiwa ukweli wanaanza maneno ya kashfa ili mradi wakutukane kila tusi Ndio wanadhani watapata ushawishi

siasa ni sayansi kama lazima ujue udhaifu na Nguvu za unayepambana naye

Hata sasa Ccm isipopiga kampeni ya ubunge ina uhakika wa majimbo zaidi ya mia moja

Ila wapinzani wakiwa mtandaoni wanavyotishia watu, vitisho visivyo na uhalisia

Tatizo kubwa kwa wanasiasa wa upinzani ni kutawaliwa sana na ubinafsi na mihemko.
Kwa bahati mbaya hadi sasa hawana 'common strategy' kwenye masuala ya kisiasa [walipaswa kuwa nayo baada tu wa uchaguzi wa 2015]. Kutokana na ubinafsi unaoambatana na uroho wa madaraka na kutoaminiana na kwa bahati mbaya zaidi hata wengi wetu tumejiingiza kwenye mtego huu hasa wale wanaoshabikia upinzani.
Kwao, kila anayefikiri tofauti nao basi huitwa majina mengi ya ajabu.Wengi wetu tumesahau kile kipindi ambacho suala la katiba mpya ambapo upinzani ulitaka kila jambo ambalo wanalitaka liwekwe humo kitu ambacho kwenye majadiliano kwa kawaida hakuna mambo kama hayo kwani linalofaa zaidi ni 'give and take' ili wote kwa ujumla wenu bila kujali tofauti za kisiasa mjione ni washindi na hakuna aliyeshindwa.
Upinzani, ulishinda hoja ya mgombea binafsi, tume huru ya uchaguzi, kupunguza madaraka ya raisi.
Kwangu mimi binafsi ningekuwa kiongozi wa upinzani, ningewashiwishi wenzangu wakubali hayo na mengine wayawache kwanza ili rasimu ipite, wananchi waridhie, bunge la katiba kupitisha rasimu iwe sheria rasmi. Hivyo tungeweza kuingia kwenye uchaguzi wa 2020 kufuata katiba mpya.
Mengine yote yangeweza kuboreshwa na kushughulikia baadaye. Lakini waheshimiwa wetu walikuwa wanajiangalia wao na vyama vyao kwa upeo wa mwisho wa uono wao wa kibinafsi na mwishowe tukapoteza nafasi nzuri ya kuanzia kurekebisha katiba yetu.
Upinzani ukitaka usitake 2020 itakuwa ni kisulisuli tu. Tutajidanganya kuwa CCM imeiba kura na wengine kujitoa tena kwenye uchaguzi. Mwisho wa siku inabidi wafahamu kuwa 'Ukisusa chakula wakati wa kula, basi wewe huna njaa' hivyo usilie na mtu wakati njaa itakapo kubana na chakula kimekwisha liwa na waliokuwa na jaa.
JPM, kwa sasa katiba siyo 'priority tean' cha muhimu kwake ni ujenzi wa nchi na sioni dalili yoyote ile kabla ya 2025 kwa sababu akili yake yote kwa sasa ni maendeleo ya uchumi. Ninadhani mfano mzuri kwake ni Uchina. Nchi hiyo ni ya kikomonisti lakini uchumi wake unaendeshwa kibepari . Maendeleo yaliyopatikana hadi sasa ni historia kwani imewashika koo mabepari wote duniani.
Kwa wananchi wa nchi hiyo, hakuna wanachokikosa kwani hivi sasa kuna mabilionea wengi zaidi kulika hata marekani. Hali ya maisha kwa wananchi ni nzuri kupita wakati wowote ule kwenye historia ya nchi hiyo kiasi kwamba ukiondoa tatizo la Hongkong, hatusikii wimbo wa demokrasia..
Rais Kikwete alijaribu kuweka legacy ya demokrasi lakini sisi tulitimba kila jaribio lake na tukamdhalilisha. Hivyo tusimlaumu JPM wala CCM bali tuwalaumu wale ambao tuliwachagua kwenda kutuwakilisha lakini wakaishia katikati ya safari kutokana na kutoangalia mbali.
 
Mimi sijatumwa ila tunaongea mafanikio ya awamu ya tano yaliyopoteza upinzani

Mimi sio mfungwa wa fkra kwamba nisimpongeze Magufuli Hata kama anafanya vizuri mimi sipo Hivyo

Wapi Upinzani unafeli?

Kimfananisha Magufuli na hao watu unakosa adabu sana
Magufuli amechaguliwa na Wananchi na Watanzania tunampenda
Shule ulikwenda kusoma ujinga??
Siasi ni maisha ya watu, amani ya nchi ni uchumi mzuri wa kisiasa umeelewa.
Gadhafi, Hitler , nk walifanya makubwa kiuchumi , lakini historia yao mbaya, walikandamiza na kuuwa watu, mazuri yote yalifutwa na maovu yao!!
Usishangilie uovu, auwaye kwa upanga atajibiwa kwa upanga.
Muogope Mungu ukitumwa mission zingine jiulize mara mbili.
Umenilewa????
 
Back
Top Bottom