Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,686
- 12,016
- Thread starter
- #61
Vipimo vya great thinker ni Vipi Mkuu koko mbwana
Hivi Kawe na wewe ni great thinker? Forum imeingiliwa kwa sasa! Yani unaandika vitu ambavyo vipo chini kabisa ya viwango vya kufikiri.
Hivi ni kweli vyama vya upinzani vimeanguka? Hivi hufahamu kabisa wanayokutana nayo wakati wakitaka kufanya wajibu wao kama wanasiasa?