Anguko la Upinzani nani alaumiwe?

Kawe Alumni

JF-Expert Member
Mar 20, 2019
8,685
11,989
Je kuanguka na kupoteza ushawishi kwa vyama vya upinzani nani alaumiwe?

Tukizungumzia Upinzani kwa miaka 15 mfululizo tunawazungumzia chadema

Hawa ndio walikuwa wanawavuruta wenzao

Lakini toka awamu ya tano iingie madarakani ni km wameishiwa pumzi kwa lugha ya mtaani tunasema wamekuwa kama mbwa mwenye mapengo hata wakibweka sauti inarudi tumboni

Je walikosea wapi mpaka kupoteza ushawishi? Je nini kifanyike waweze kuaminika tena?

Je wanaweza wakapotea kabisa 2020 na TLP kikaibuka kama chama kikuu cha upinzani?

Tuwashauri Wapinzani walijikwaa wapi? Ili waweze kwenda sawa na mchapa Kazi Rais Magufuli
 
Upinzani haujaanguka pamoja na mbinu chafu zote za kuzuia mikutano ,kununua wabunge na madiwani kesi polisi na Mahakamani kufungwa jela kwa kuonewa,watendaji kukimbia na fomu za uchaguzi,
 
Mbona Kama hii thread imekaa kiupambe Sana.
ok by the way ngoja waje wahusika wakupe majibu Sisi wapiga kura Tuendelee kusubiri hatima yenu katika siasa.
 
Upinzani gani ulioanguka?Upinzani upo imara sana ndo maana hata Wewe unaandika kwa sababu upinzani upo
 
Hakuna wanapokosea.Nitajie mbunge wa ccm anaekubalika jimboni kwake kuzidi kwa chadema au upinzani,mbeya vijijini mbunge wa ccm Njenza sijawahi sikia hata akiita mkutano wa hadhara,Mbunge wa Temeke Mheshimiwa Mtulia pia ni maji ya mtungi,Haonga pale vwawa hakubariki kabisa.Mwakyembe kule kyela hawezi kuita mkutano wa hadhara akasikiliza wananchi.Mbunge Janeth Mbene wa Ileje hana mvuto kwa raia.,mbunge wa kinondoni Mtolea hana mvuto kabisa hapo bado sijataja Mwita waitara.

Lakin Heche,sugu,Matiko,mdee,Mbowe,zitoo,Yule wa Momba na wengineo wakiitisha vikao hadi wabibi ni mwendo wa vidole viwili juu peoples' power.

Ccm ndio haina ushawishi waoga hadi kwa kivuli chao na bado kinawafuata.
 
Nadhani kichwa cha habari kingepaswa kuwa nani apongezwe sio alaumiwe. Kuna aliyesema anataka kuua upinzani kwa bunduki, mahakama, jeshi, tume na polisi, nadhani huyu ndio wa kupongezwa na hakuna wa kulaumiwa
 
upinzani ulikuwepo toka enzi ya Nyerere haujafa ila unadidimizwa, wapinzani wapo wengi tu, weka uwanja sawa wa ushindani ndio utaona nguvu ya upinzani, CCM ni waoga sana ndio maana wanafanya kila hila waonekane wanapendwa wakati sio kweli.
 
Upinzani haujaanguka pamoja na mbinu chafu zote za kuzuia mikutano ,kununua wabunge na madiwani kesi polisi na Mahakamani kufungwa jela kwa kuonewa,watendaji kukimbia na fomu za uchaguzi,
Kimtazamo Kwa sababu mifumo mibovu haijaisha basi upinzani kamwe hautoisha hata kikibaki chama kimoja.
Historia inaonesha mifarakano katika chama inaweza kuua na kuzaliwa chama kipya au kikabaki kama chama pinzani kikiachia njia kwa chama kipya
 
Je kuanguka na kupoteza ushawishi kwa vyama vya upinzani nani alaumiwe?

Tukizungumzia Upinzani kwa miaka 15 mfululizo tunawazungumzia chadema

Hawa ndio walikuwa wanawavuruta wenzao

Lakini toka awamu ya tano iingie madarakani ni km wameishiwa pumzi kwa lugha ya mtaani tunasema wamekuwa kama mbwa mwenye mapengo hata wakibweka sauti inarudi tumboni

Je walikosea wapi mpaka kupoteza ushawishi? Je nini kifanyike waweze kuaminika tena?

Je wanaweza wakapotea kabisa 2020 na TLP kikaibuka kama chama kikuu cha upinzani?

Tuwashauri Wapinzani walijikwaa wapi? Ili waweze kwenda sawa na mchapa Kazi Rais Magufuli

Nani amekuambia upinzani umekufa?

Upo mioyoni mwa wananchi milioni 60 ujue wapo na upinzani ama la?

Think again dummy!
 
Ila umepoteza ushawishi sana Mkuu, Wananchi wamewageuka sasa
Upinzani haujaanguka pamoja na mbinu chafu zote za kuzuia mikutano ,kununua wabunge na madiwani kesi polisi na Mahakamani kufungwa jela kwa kuonewa,watendaji kukimbia na fomu za uchaguzi,
 
Tunaongea uhalisia Mkuu sio kiupambe

Wananchi wa 2014 na wa leo ni tofauti mno

Wamebadilika tujiulize Kwanini Upinzani unapoteza mwelekeo
Mbona Kama hii thread imekaa kiupambe Sana.
ok by the way ngoja waje wahusika wakupe majibu Sisi wapiga kura Tuendelee kusubiri hatima yenu katika siasa.
 
Hivi wewe kibaraka wa Lumumba unalipwa kiasi gani??
Kutwa kucha upo hapa huna lolot6e la maana ni mapambio ya kuwaponda wapinzani hasa CHADEMA.
Huna hata aibu, Ok sawa lama CDM haina mvuto weka tume huru ya uchaguzi usitumie polisi na wakurugenzi kuiba kura uone moto wa wananchi.
Watu wamechoka mapambio ya MaCCM, korosho watu baadhi hawajalipwa, alizeti Manyara bei ni Tshs 50,000/= ilikuwa Tshs 300,000/=Sera mbovu za biashara watu wako hoi, Bado hujaelewa hao ndio wapiga kura umeelewa wewe mbulula wa Lumumba???
 
Back
Top Bottom