Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 88,420
- 154,824
Sina hakika nini kimetokea Nigeria, lakini najua si kutokana na serikali yetu kwa sababu serikali yetu ina influence katika sehemu ndogo tu ya vitegauchumi vya Dangote.Kiranga naomba nichomekee kaswali ka Aliko Dangote, huko Nigeria tuna sikia kapunguza Watendaji wake wakuu hapo HQ, je nayo inaweza kusababishwa na kukosa favour alizokuwa ame ahidiwa na serikali yetu, sija angalia awamu hapa?
Na washawasha!
Ila kinachotokea Nigeria sasa hivi si tofauti sana na kinachotokea Tanzania.
Nchi zote mbili zilikuwa na serikali ambazo zilikuwa so laissez-faire na corrupt (Nigeria ya Goodluck Jonathan na Tanzania ya Kikwete).
Nchi zote mbili zikapata marais wapya walio populist na walioanza na a strong anti corruption drive (Nigeria ya Muhammad Buhari na Tanzania ya John Magufuli)
Kwa hiyo siwezi kushangaa nikiambiwa kwamba Dangote alikubaliana mambo na serikali za Kikwete na Jonathan, only to find out that the change of guards swept the agreements away and changed the business environment to necessitate the headcount cut.