Kilichoniumiza sana hapa ni kwamba nilikuwa naihesabu CRDB kama benki kubwa Tanzania - at one point, I believe in the nineties, CRDB, pamoja na NBC kabla haijavunjwa, zilikuwa zinatajwa katika benki kubwa za Afrika-, sasa kusikia inapata quartely loss ya US $1 million na hiyo inakuwa big deal, hili linanionesha kwamba benki hii sio kubwa hivyo.
Kwa sababu US $1 million ni hela fulani CRDB inatakiwa kuweza kuiweka katika margin yake tu.
That's just margin money. Ni hela ya kusumbua vibenki vidogo vinavyoanza biashara. Benki kubwa US $1M ilitakiwa kuwa kwenye margin of error.
Are the numbers I read on "The Wall Street Journal" giving me unrealistic expectations? or is CRDB making a US $ 5 - 10 million profit a quarter totally realistic?
Hivi Tanzania kuna wafanyabiashara wakubwa wangapi wenye hela zaidi ya US $ 1 million wenye account CRDB? Hela hizi CRDB inazizungushaje?
Tunalia mzunguko wa hela umedorora kwa sababu ya Magufuli kubana hela, hizi benki zinafanya kazi zake?
US $ 1 million is just 20 USD 50,000 Jeeps.
How many branches does CRDB have in Tanzania? How many ATMs does CRDB have? How much does CRDB make from interest?
Is this exposing how much CRDB was floating on sitting in government money and now that Magufuli is consolidating government money back into BOT banks like CRDB are sufferring?
Is this exposing hiw fraudulent the banking system in Tanzania is when a hatdass president like Magufuki steps in?
I was just reading about how Mgawe (former TPA DG) is being dragged into court over some banking sleaze. Is TPA just the tip of the iceberg?
Sawa deposit ya $ 2m is a different story from loss or profit of $ 2M.
But let's say our goal is at least breaking even.
A quarter has 3 months. Lets make that 90 days for simplicity.That means CRDB could not make a profit of $1M for 90 days?
Lets break that down daily to keep things in perspective.
Give them 100 days for filing and everything. I have done this bureaucratic filing with the Security and Exchange Commission in Washington DC as well as with the Financial Conduct Authority in London. So I can be sympathetic enough to throw in an extra 10 days.
That still means that CRDB cannot make a profit of US $ 10,000 a day. With all its customer base and parastatal tag.
Is that Charles Kilewo fellow still MD? That guy is a shame to the banking community in Tanzania and probably a big part of the reason this mess is taking place.
CRDB hawajasema mahali popote kwamba hiyo hasara inayotajwa na mleta mada ya bilion 2 Tsh ni kubwa kwao. Ni mleta mada ndiye aliyetaka kutuaminisha kuwa hii hasara ni kubwa kwa namna alivyouandika ujumbe wake. Tofautisha hapo. Hatahivyo sitashangaa banks nyingi nchini kuanguka. They gave too many bad loans during Kikwete's presidency, akin to the recent morgage crisis in the United States. Ukiachana na huo ufisadi unaotajwa kuhusisha vigogo serikalini, biashara za kifisadi nyingi zilikopeshwa, kila mfanyakazi aliyedhaminiwa na mwajiri alikopeshwa, hata kama mwajiri mwenyewe alikuwa naye ni fisadi na hana fedha ya kudhamini mfanyakazi kiuhalisia. Magufuli, intentionally or unintentionally, is correcting the market. Indeed, there was a false uptrend in the Tanzanian economy. Kwa hili nipo upande wa Magufuli, although I honestly believe our president is simply clueless on many levels.