Anguko la Mabenki nchini? CRDB yapata hasara ya Sh. Bilioni 2

....hata share za CRDB kwenye dar stock exchange zimeshuka thamani mno.....toka sh.400 miezi ya mwanzo wa mwaka huu hadi sh.250 currently....things are not OK at CRDB....hata malipo ya dividend kwa shareholders mwaka huu wamechelewesha....nasema hivi kama shareholder....
Kipimajoto cha uchumi wa nchi ni shares za stock exchange. kama thamani ya crdb shares imeshuka kwa 50% basi kuna tatizo kwenye awamu hii. uchumi unadorora, wawekezaji watapungua.
 
Kiranga wewe unazungumzia uchumi wa kibenki, wenzako wanatumia hasara za benki kupata political millage. Angalia huu uzi wa hasara ya crdb na benki nyingine unavyotumiwa kumkatisha tamaa muheshimiwa Rais katika mabadiliko aliyopania kuyaleta. Mafisadi wamejipanga vilivyo kumkwamisha.

Nauliza benki binafsi haziwezi kwenda BoT kukopa fedha za serikali? Kwa nini hawataki kukopa BoT?

Na washawasha!

Kilichoniumiza sana hapa ni kwamba nilikuwa naihesabu CRDB kama benki kubwa Tanzania - at one point, I believe in the nineties, CRDB, pamoja na NBC kabla haijavunjwa, zilikuwa zinatajwa katika benki kubwa za Afrika-, sasa kusikia inapata quartely loss ya US $1 million na hiyo inakuwa big deal, hili linanionesha kwamba benki hii sio kubwa hivyo.

Kwa sababu US $1 million ni hela fulani CRDB inatakiwa kuweza kuiweka katika margin yake tu.

That's just margin money. Ni hela ya kusumbua vibenki vidogo vinavyoanza biashara. Benki kubwa US $1M ilitakiwa kuwa kwenye margin of error.

Are the numbers I read on "The Wall Street Journal" giving me unrealistic expectations? or is CRDB making a US $ 5 - 10 million profit a quarter totally realistic?

Hivi Tanzania kuna wafanyabiashara wakubwa wangapi wenye hela zaidi ya US $ 1 million wenye account CRDB? Hela hizi CRDB inazizungushaje?

Tunalia mzunguko wa hela umedorora kwa sababu ya Magufuli kubana hela, hizi benki zinafanya kazi zake?

US $ 1 million is just 20 USD 50,000 Jeeps.

How many branches does CRDB have in Tanzania? How many ATMs does CRDB have? How much does CRDB make from interest?

Is this exposing how much CRDB was floating on sitting in government money and now that Magufuli is consolidating government money back into BOT banks like CRDB are sufferring?

Is this exposing hiw fraudulent the banking system in Tanzania is when a hatdass president like Magufuki steps in?

I was just reading about how Mgawe (former TPA DG) is being dragged into court over some banking sleaze. Is TPA just the tip of the iceberg?

Sawa deposit ya $ 2m is a different story from loss or profit of $ 2M.

But let's say our goal is at least breaking even.

A quarter has 3 months. Lets make that 90 days for simplicity.That means CRDB could not make a profit of $1M for 90 days?

Lets break that down daily to keep things in perspective.

Give them 100 days for filing and everything. I have done this bureaucratic filing with the Security and Exchange Commission in Washington DC as well as with the Financial Conduct Authority in London. So I can be sympathetic enough to throw in an extra 10 days.

That still means that CRDB cannot make a profit of US $ 10,000 a day. With all its customer base and parastatal tag.

Is that Charles Kilewo fellow still MD? That guy is a shame to the banking community in Tanzania and probably a big part of the reason this mess is taking place.
 
Kiranga wewe unazungumzia uchumi wa kibenki, wenzako wanatumia hasara za benki kupata political millage. Angalia huu uzi wa hasara ya crdb na benki nyingine unavyotumiwa kumkatisha tamaa muheshimiwa Rais katika mabadiliko aliyopania kuyaleta. Mafisadi wamejipanga vilivyo kumkwamisha.

Nauliza benki binafsi haziwezi kwenda BoT kukopa fedha za serikali? Kwa nini hawataki kukopa BoT?

Na washawasha!
Nyapu ya mama yako siwezi kujibu weak Argument kiasi hiki inaonekana hata shule hukwenda. I'm sorry!
 
mkuu umeisema vizuri lakini zaidi tukidiriki kuweda kwa kina tunagundua kua uchumi wenyewe ndio mabenki sasa unakuta benki inadanganya na kupotosha umaa ni hatari hivi sasa wanadiriki kwenda kuchukua pesa za nssf za walalhoi na kuzifungulia fixed deposits alafu wanatudanganya kwenye financial report zao kwa kuweka ela figure kubwa sasa maokeo yake walala hoi chale,,kwaio kwa style hii mlala hoi alikua ananyonywa sana kibao kimebadilika kwao hivi sasa watajikuta wanaweka interest rate za nafuu kwa mtanzania wa hali ya chini ili amshwishi kukopa....sahv joto litakua kali upande wote zama izi
 
Kiranga wewe unazungumzia uchumi wa kibenki, wenzako wanatumia hasara za benki kupata political millage. Angalia huu uzi wa hasara ya crdb na benki nyingine unavyotumiwa kumkatisha tamaa muheshimiwa Rais katika mabadiliko aliyopania kuyaleta. Mafisadi wamejipanga vilivyo kumkwamisha.

Nauliza benki binafsi haziwezi kwenda BoT kukopa fedha za serikali? Kwa nini hawataki kukopa BoT?

Na washawasha!
Benki binafsi kwenda kukopa BOT mpaka kuwepo na demand kutoka kwa wateja wao.

Inaonekana demand kutoka kwa wateja imeshuka na hivyo benki binafsi hazina sababu ya kukopa BOT. Ukiangalia habari ya mizigo bandarini kushuka volume hilo lina corroborate hili.

Kwa nini demand ya wafanyabiashara kukopa mikopo imeshuka?

Kuna wanaosema biashara nyingi zilikuwa za kifisadi na baada ya Magufuli kuingua kunyoosha mambo biashara hizi zinakufa. To an extentbthat is commendable. But it has to be done skillfully to avoid moving the economic too suddenly and causing unwanted consequences. They say the road to hell is paved with good intentions. Even good plans, badly implemented, could cause calamities.

Kuna wanaossma rais kaingia kwa kasi kubwa na vitisho sana kiasi anaonekana kuwa anti business. Hana predictability na the business community wants predictability to thrive. Rais amejigamba kwamba kamoeni yake haijachukua hata senti moja ya mfanyabiashara.Akiwa na maana kwamba yeye si rais corrupt.Hajanunuliwa na hela za wafanyabiashara. Hili kwa wanaojua kuchunguza maneno linaonesha rais hana imani na wafanyabiashara wote. Anaona wafanyabiashara wote ni wezi. Kauli kama hizi hazisaidii kujenga imani kwamba serikali ya Magufuli ni pro business.

Kwenye kodi kina haja ya kuhakikisha serikali inapata kila kodi inayostahili. Hapa kati kulikuwa na watu wanacgeza michezo ya ovyo kabisa. Lakini hili halina maana serikali ifanye overkill kutaka kukata kodi hata pale unapotoa msaada kuisaidia serikali yenyewe.

Serikali imekuwa haiaminiki na haitekelezi ahadi zake kwa wawekezaji. Watu wa Dangite wanalia huko Mtwara waliahidiwa kupewa cheap fuel na serikali, sasa hivi serikali inewageuka inabidi waagize fuel kutoka South Africa. Habari kama hizi hazi instill investor confidence. Aliko Dangote ni investor mkubwa sana na watu wengi wanaangalia kama atafanikiwa au la. Asipopewa ushirikiano hiyo itatoa image mbaya sana kwa nchi yetu. Serikali isipende kukusanya kodi tu, ijue kutimiza wajibubwake pia.
 
mwisho wa siku serikali haitapata tena kodi, kwa mwelekeo huu
 
Sante sana Kiranga. Sasa vaa viatu vya Rais Magufuli unijibu ingekuwa wewe katika hali hii ya ufisadi uliokidhiri ungefanya nini? Wewe kwa kuandika hivi tu nakubali uwezo wako na sitegemei jibu kama lile la tukigusa mafisadi basi nchi itayumba au haitatawalika?!!! Sina hakika maana kukumbuka kauli za kipuuzi ni shiida.

Na washawasha!

Benki binafsi kwenda kukopa BOT mpaka kuwepo na demand kutoka kwa wateja wao.

Inaonekana demand kutoka kwa wateja imeshuka na hivyo benki binafsi hazina sababu ya kukopa BOT. Ukiangalia habari ya mizigo bandarini kushuka volume hilo lina corroborate hili.

Kwa nini demand ya wafanyabiashara kukopa mikopo imeshuka?

Kuna wanaosema biashara nyingi zilikuwa za kifisadi na baada ya Magufuli kuingua kunyoosha mambo biashara hizi zinakufa. To an extentbthat is commendable. But it has to be done skillfully to avoid moving the economic too suddenly and causing unwanted consequences. They say the road to hell is paved with good intentions. Even good plans, badly implemented, could cause calamities.

Kuna wanaossma rais kaingia kwa kasi kubwa na vitisho sana kiasi anaonekana kuwa anti business. Hana predictability na the business community wants predictability to thrive. Rais amejigamba kwamba kamoeni yake haijachukua hata senti moja ya mfanyabiashara.Akiwa na maana kwamba yeye si rais corrupt.Hajanunuliwa na hela za wafanyabiashara. Hili kwa wanaojua kuchunguza maneno linaonesha rais hana imani na wafanyabiashara wote. Anaona wafanyabiashara wote ni wezi. Kauli kama hizi hazisaidii kujenga imani kwamba serikali ya Magufuli ni pro business.

Kwenye kodi kina haja ya kuhakikisha serikali inapata kila kodi inayostahili. Hapa kati kulikuwa na watu wanacgeza michezo ya ovyo kabisa. Lakini hili halina maana serikali ifanye overkill kutaka kukata kodi hata pale unapotoa msaada kuisaidia serikali yenyewe.

Serikali imekuwa haiaminiki na haitekelezi ahadi zake kwa wawekezaji. Watu wa Dangite wanalia huko Mtwara waliahidiwa kupewa cheap fuel na serikali, sasa hivi serikali inewageuka inabidi waagize fuel kutoka South Africa. Habari kama hizi hazi instill investor confidence. Aliko Dangote ni investor mkubwa sana na watu wengi wanaangalia kama atafanikiwa au la. Asipopewa ushirikiano hiyo itatoa image mbaya sana kwa nchi yetu. Serikali isipende kukusanya kodi tu, ijue kutimiza wajibubwake pia.
 
Kiranga naomba nichomekee kaswali ka Aliko Dangote, huko Nigeria tuna sikia kapunguza Watendaji wake wakuu hapo HQ, je nayo inaweza kusababishwa na kukosa favour alizokuwa ame ahidiwa na serikali yetu, sija angalia awamu hapa?

Na washawasha!
 
Sante sana Kiranga. Sasa vaa viatu vya Rais Magufuli unijibu ingekuwa wewe katika hali hii ya ufisadi uliokidhiri ungefanya nini? Wewe kwa kuandika hivi tu nakubali uwezo wako na sitegemei jibu kama lile la tukigusa mafisadi basi nchi haitawaloki?

Na washawasha!
Kwani unafikiri mimi nina tatizo na kuwafurumusha mafisadi?

Sina tatizo. Naangalia index ya Transparency Internation. Najua jinsi ufisadi unavyoua watu na kuwakosesha maisha bora. Hii si dhana tu ya kifalsafa kwangu. Hili ni jambo serious kabisa.

Tatizo langu na Magufuli si kwamba anagusa mafisadi. Tatizo langu hawagusi vya kutosha na vizuri.

Magufuli kauli zake za kusema trafiki wakipewa kitu kidogo ni hela ya kufuta vumbi viatu haioneshi kwamba anapiga vita rushwa kwa moyo wake wote. Mtu anayepiga vita rushwa kwa moyo wake wote hawezi kutoa kauli loose kama hiyo kuhusu rushwa. That is a slippery slope towards allowing grand corruption.

Magufuli kamteua Dau kuwa balozi despite madudu yote aliyofanya NSSF.

Magufuli anatumia vita dhidi ya rushwa conveniently ku solidify uongozi wake, ndiyo maana unaona kina Sumaye wananyang'anywa mashamba yao selectively wakati kuna watu kibao wana mashamba kama hayo.

Magufuli anatumia vita dhidi ya rushwa kama Xi Jinping. Kuhakikisha wapinzani wake wanadhibitiwa.

Kuukabili ufisadi wa sasa kunataka discipline, kunataka impartiality, kunataka dedication, kunataka strategy sio kuishia kutumbua tumbua majipu tu wakati mgonjwa anaumwa saratani.

Kwa mfano, huwezi kupiga vita rushwa bila ya transparency. Huwezi kuwa na vita dhidi ya rushwa ya maana kama huna a meaningful "Freedom of Information Act".

Huwezi kuwa na vita dhidi ya rushwa kama rais mwenyewe kawapatia familia yake na hawara nyumba za serikali kinyume na taratibu.

Huwezi kuwa na vita dhidi ya rushwa iliyo ya maana kama hatuna hata sheria za kutetea whistle blowers.
 
Safi sana Kiranga, zamani hata mimi nikiri nilikuwa na mtazamo kama wako wa kudhani utapigana vita Tanzania vya ufisadi kwa kuwabana mafisadi tu. Lakini baada ya yale yaliyotokea ukawa katika uchaguzi mwaka jana, nikagundua vita hii inatakiwa upigane kubana kila angle. Ubane mwandishi anaye weza kutumiwa na fisadi, mbane mtumishi wa umma, mbane mwanasiasa wa chama chako au upinzani, mwanaharajati nk,atakayetumiwa na fisadi kukukwamisha. Nadhani ndicho Magufuli anafanya.

Na washawasha!

Kwani unafikiri mimi nina tatizo na kuwafurumusha mafisadi?

Sina tatizo. Naangalia index ya Transparency Internation. Najua jinsi ufisadi unavyoua watu na kuwakosesha maisha bora. Hii si dhana tu ya kifalsafa kwangu. Hili ni jambo serious kabisa.

Tatizo langu na Magufuli si kwamba anagusa mafisadi. Tatizo langu hawagusi vya kutosha na vizuri.

Magufuli kauli zake za kusema trafiki wakipewa kitu kidogo ni hela ya kufuta vumbi viatu haioneshi kwamba anapiga vita rushwa kwa moyo wake wote. Mtu anayepiga vita rushwa kwa moyo wake wote hawezi kutoa kauli loose kama hiyo kuhusu rushwa. That is a slippery slope towards allowing grand corruption.

Magufuli kamteua Dau kuwa balozi despite madudu yote aliyofanya NSSF.

Magufuli anatumia vita dhidi ya rushwa conveniently ku solidify uongozi wake, ndiyo maana unaona kina Sumaye wananyang'anywa mashamba yao selectively wakati kuna watu kibao wana mashamba kama hayo.

Magufuli anatumia vita dhidi ya rushwa kama Xi Jinping. Kuhakikisha wapinzani wake wanadhibitiwa.

Kuukabili ufisadi wa sasa kunataka discipline, kunataka impartiality, kunataka dedication, kunataka strategy sio kuishia kutumbua tumbua majipu tu wakati mgonjwa anaumwa saratani.

Kwa mfano, huwezi kupiga vita rushwa bila ya transparency. Huwezi kuwa na vita dhidi ya rushwa ya maana kama huna a meaningful "Freedom of Information Act".

Huwezi kuwa na vita dhidi ya rushwa kama rais mwenyewe kawapatia familia yake na hawara nyumba za serikali kinyume na taratibu.

Huwezi kuwa na vita dhidi ya rushwa iliyo ya maana kama hatuna hata sheria za kutetea whistle blowers.
 
Safi sana zamani hata mimi nikiri nilikuwa na mtazamo kama wako wa kudhani utapigana vita Tanzania vya ufisadi kwa kuwabana mafisadi tu. Lakini baada yaliyotokea ukawa katika uchaguzi mwaka jana, nikagundua vita hii inatakiwa upigane kubana kila angle. Ubane mwandishi anaye weza kutumiwa na fisadi, mbane mtumishi wa umma, mbane mwanasiasa wa chama chako au upinzani, mwanaharajati nk,atakayetumiwa na fisadi kukukwamisha. Nadhani ndicho Magufuli anafanya.

Na washawasha!
Magufuli angefanya hivyo angeanza na Kikwete.

Hakuanza na Kikwete.

In fact kamuhakikishia Kikwete kwamba atulie tu bika shaka kwani rais atamlinda.

Ina maana chochote kitakachofumuka leo kumhusu Kikwete, Magufuli atamkingia kifua.

Huyu si mtu wa kuingoza vita dhidi ya rushwa.

Huyu ni mtu wa kuongoza maigizo ya vita dhidi ya rushwa .
 
mkuu umeisema vizuri lakini zaidi tukidiriki kuweda kwa kina tunagundua kua uchumi wenyewe ndio mabenki sasa unakuta benki inadanganya na kupotosha umaa ni hatari hivi sasa wanadiriki kwenda kuchukua pesa za nssf za walalhoi na kuzifungulia fixed deposits alafu wanatudanganya kwenye financial report zao kwa kuweka ela figure kubwa sasa maokeo yake walala hoi chale,,kwaio kwa style hii mlala hoi alikua ananyonywa sana kibao kimebadilika kwao hivi sasa watajikuta wanaweka interest rate za nafuu kwa mtanzania wa hali ya chini ili amshwishi kukopa....sahv joto litakua kali upande wote zama izi
Kwa hiyo mkuu muziki wote huu ni baada ya serikali kuzichomoa fedha zake na kuzipeleka benki kuu?
 
Magufuli angefanya hivyo angeanza na Kikwete.

Hakuanza na Kikwete.

In fact kamuhakikishia Kikwete kwamba atulie tu bika shaka kwani rais atamlinda.

Ina maana chochote kitakachofumuka leo kumhusu Kikwete, Magufuli atamkingia kifua.

Huyu si mtu wa kuingoza vita dhidi ya rushwa.

Huyu ni mtu wa kuongoza maigizo ya vita dhidi ya rushwa .
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 imempa kinga rais mstaafu ya kushtakiwa kwa jambo lolote alilofanya alipokuwa madarakani na imetoa mlolongo mrefu rais aliyeko madarakani kuondolewa.

Ulitaka Magufuli avunje Katiba kukufurahisha wewe?

Ibara ya 46 sehemu ya (1) ya Katiba inasema wakati wote Rais atakapokuwa bado ameshika madaraka yake kwa mujibu wa Katiba hii, itakuwa ni marufuku kumshitaki au kuendesha mashataka ya aina yoyote juu yake mahakamani kwa ajili ya kosa lolote la jinai.

Nchi inaongozwa kwa sheria siyo fikra zako.
 
Hiyo ya kuanza na Kikwete si afiki, anakinga kisheria na sibusara hata kidogo kuhangaika na rais msaafu ni kuyumbisha nchi. Hivi hujui kuwa wamarekani wanajua mapungufu ya Bush Mengi tu, au Clinton walimuweka kikaangoni lakini akasave, jiulize kwa nini? Muacheni Kikwete apumzike miaka 10 ya kuongoza nchi hii si mchezo.

Na washawasha!

Magufuli angefanya hivyo angeanza na Kikwete.

Hakuanza na Kikwete.

In fact kamuhakikishia Kikwete kwamba atulie tu bika shaka kwani rais atamlinda.

Ina maana chochote kitakachofumuka leo kumhusu Kikwete, Magufuli atamkingia kifua.

Huyu si mtu wa kuingoza vita dhidi ya rushwa.

Huyu ni mtu wa kuongoza maigizo ya vita dhidi ya rushwa .
 
Mkuu Lusungo, serikali inayo fedha na kuanzia mwakani itaiambia BOT iingize fedha kwenye mzunguko.

Lakini ni lazima serikali ibane matumizi ili kuwe na uwiano na mapato na matumizi.

Hili la hizi benki tumelijadili sana hapa JF na sasa umefika wakati wake kwamba ni zile benki halisi ndizo zitaweza kusalimika lakini zile za binafsi haziwezi kusalimika kwani pia zilikuwa zikitumika kutorosha fedha nje ya nchi na ufisadi mwingine.

Kuhusu watu kuficha fedha kwa hofu ya serikali hii kutotabirika hio nadhani ni hofu tu ila wapo watu ambao walitorosha fedha kwa kuhofia kuulizwa wamezipataje.

Ila bado wapo wafanyabiashara wana fedha zao kwenye mabenki na wanaendelea na shughuli zao kama kawaida.

Lakini serikali ikianza kuongeza fedha kwenye mzunguko baada ya mipango yake yote kukamilika ambayo inafanya sasa hivi na BOT, basi hali itakuwa shwari.

Mkuu, mambo ambayo yalikuwa yakitendeka hapa nchini ni mambo ya hatari sana kuhusu uchumi wetu yaani haukuwa uchumi wa Tanzania, ulikuwa ni uchumi wa kigeni ulotawaliwa na dola na shilingi yetu ilifika hadi tshs 3800 kwa GBP 1! Yaani ilikuwa ikielekea Tshs 4,000!

Sasa hivi utashangaa ukiingia Azania Bancorp unaona tellers wako na kazi zingine lakini BOT staff wapo nyuma ya counters wanashughulikia masuala muhimu.
Watanzania wengi walizania wataendelea kula kwa mtelemko milele Kama cashier anadokoa ujue mkurugenzi anajota.
 
Benki binafsi kwenda kukopa BOT mpaka kuwepo na demand kutoka kwa wateja wao.

Inaonekana demand kutoka kwa wateja imeshuka na hivyo benki binafsi hazina sababu ya kukopa BOT. Ukiangalia habari ya mizigo bandarini kushuka volume hilo lina corroborate hili.

Kwa nini demand ya wafanyabiashara kukopa mikopo imeshuka?

Kuna wanaosema biashara nyingi zilikuwa za kifisadi na baada ya Magufuli kuingua kunyoosha mambo biashara hizi zinakufa. To an extentbthat is commendable. But it has to be done skillfully to avoid moving the economic too suddenly and causing unwanted consequences. They say the road to hell is paved with good intentions. Even good plans, badly implemented, could cause calamities.

Kuna wanaossma rais kaingia kwa kasi kubwa na vitisho sana kiasi anaonekana kuwa anti business. Hana predictability na the business community wants predictability to thrive. Rais amejigamba kwamba kamoeni yake haijachukua hata senti moja ya mfanyabiashara.Akiwa na maana kwamba yeye si rais corrupt.Hajanunuliwa na hela za wafanyabiashara. Hili kwa wanaojua kuchunguza maneno linaonesha rais hana imani na wafanyabiashara wote. Anaona wafanyabiashara wote ni wezi. Kauli kama hizi hazisaidii kujenga imani kwamba serikali ya Magufuli ni pro business.

Kwenye kodi kina haja ya kuhakikisha serikali inapata kila kodi inayostahili. Hapa kati kulikuwa na watu wanacgeza michezo ya ovyo kabisa. Lakini hili halina maana serikali ifanye overkill kutaka kukata kodi hata pale unapotoa msaada kuisaidia serikali yenyewe.

Serikali imekuwa haiaminiki na haitekelezi ahadi zake kwa wawekezaji. Watu wa Dangite wanalia huko Mtwara waliahidiwa kupewa cheap fuel na serikali, sasa hivi serikali inewageuka inabidi waagize fuel kutoka South Africa. Habari kama hizi hazi instill investor confidence. Aliko Dangote ni investor mkubwa sana na watu wengi wanaangalia kama atafanikiwa au la. Asipopewa ushirikiano hiyo itatoa image mbaya sana kwa nchi yetu. Serikali isipende kukusanya kodi tu, ijue kutimiza wajibubwake pia.
Mkuu umenikumbusha ndyo maana kuna mataifa mengine yana mabunge mawili kabwela na jingine kwa marekani senator karibia wote wapo economic well off, kupambana sana na wawekezaji, hao waliobatizwa fisadi ndani ya chama na nje siyo tija, kaa nao muweke mambo sawa hii Kazi kaifanya Lipumba kwa Mseven akalipwa si aifanye kwenye nchi yake alipwe au huko cuf analipwa na nani wakati hana ruzuku? Nchi yetu sote Maraisi wastaafu waruhusiwe kwenda ikulu kutoa uzoefu japo wamehakikishiwa ulinzi hata wasipofika sana pale
mkuu umeisema vizuri lakini zaidi tukidiriki kuweda kwa kina tunagundua kua uchumi wenyewe ndio mabenki sasa unakuta benki inadanganya na kupotosha umaa ni hatari hivi sasa wanadiriki kwenda kuchukua pesa za nssf za walalhoi na kuzifungulia fixed deposits alafu wanatudanganya kwenye financial report zao kwa kuweka ela figure kubwa sasa maokeo yake walala hoi chale,,kwaio kwa style hii mlala hoi alikua ananyonywa sana kibao kimebadilika kwao hivi sasa watajikuta wanaweka interest rate za nafuu kwa mtanzania wa hali ya chini ili amshwishi kukopa....sahv joto litakua kali upande wote zama izi
 
Kiranga naomba nichomekee kaswali ka Aliko Dangote, huko Nigeria tuna sikia kapunguza Watendaji wake wakuu hapo HQ, je nayo inaweza kusababishwa na kukosa favour alizokuwa ame ahidiwa na serikali yetu, sija angalia awamu hapa?

Na washawasha!
Mimi nashauri lifunguliwe jukwaa maalumu waachwe humo wenye elimu ya uchumi , biashara na fedha watoe mawazo freely, watu wa political wawe mashuhuda tu, uchumi wa nchi haupo stable ladhima tukubali kuuokoa kwa mijadara huru, kuna wa ofisini watasoma japo mengine yataendelea kunywa kahawa huko ofisini
 
Mimi nashauri lifunguliwe jukwaa maalumu waachwe humo wenye elimu ya uchumi , biashara na fedha watoe mawazo freely, watu wa political wawe mashuhuda tu, uchumi wa nchi haupo stable ladhima tukubali kuuokoa kwa mijadara huru kuna wa ofisini watasoma japo mengine yataendelea kunywa kahawa huko ofisini
Usilazimishe. Uchumi upo stable.
 
Back
Top Bottom