Anguko la CHADEMA lipo njiani

Anguko la CHADEMA lipo njiani

CCM hamjawahi kusema ni kwa VIPI CDM wanaendesha Chama Kidini.Zaidi sana mnadhani ni propaganda nzuri ya kupambana na CDM kumbe mnaigawa Nchi katika vipande vya kidini kitu ambacho kitaleta machafuko hapo baadae.Mwanzilishi wa Udini Tanzania 1). Mh.Alhaji Ally Hassani Mwinyi, 2) Ndg.Jakaya Mrisho Kikwete. Wamekuwa wakitumia misikiti kutoa ahadi kwa dini yao, na watu wao, na bado haikutosha, wameitumia CUF kueneza propaganda za kidini kupitia misikiti, ushahidi ulishawekwa jukwaani ukimwonesha Lipumba alichokuwa akikiongea msikitini. CDM haijawahi kupita, au kutumia Jukwaa lolote la kidini kuahidi chochote kwa jukwaa hilo la kidini.

kuhusu unayemwita dogo Mheshimiwa wa Kigoma, hilo suala ni la kipuuzi sana. CDM imefukuza wengi tu,kabla ya huyo Dogo, hatukuwaona CCM mkilalamika na kuwatetea, tunaomba kujua mna maslahi gani na huyu dogo wa Kigoma?Mmekuwa mstari wa mbele kumtetea, na kuona maamuzi ya CDM yalikuwa mabaya, yalikuwa yanawahusu nini hayo maamuzi?Pilipili usiyoila yakuwasha nini?Au mnataka tucopy na kupaste kile CCM wanachoshindwa kukifanya kwa kina EL na wengine ndani ya CCM?Dogo haki yake itaonekana Mahakamani, na Kamati kuu ya Chama kama ipo, kama haipo basi aangalie ustaarabu mwingine.

kuhusu kung'ang'ania madaraka, nadhani CCM imeng'ang'ania madaraka tangu 1964, hilo hamlioni?hatujawahi kuwasikia CCM wakimwongelea Lipumba ama Mbatia kwenye hili suala la Uongozi.CCM kuna watu ni viongozi tangu kabla ya baadhi yetu kuzaliwa hadi leo.Mzindakaya alikaa kwenye ubunge kwa zaidi ya miaka 40.Kingunge yupo serikalini tangu lini?Ina maana CCM ina watu wachache sana wenye sifa za kiuongozi hadi kupelekea watu kukaa madarakani muda wote huo?Niambie, CCM mnapochagua Mwenyekiti Taifa huwa anapambana na nani?Kwa nini?Uchaguzi ni suala ambalo pia linaweza kuahirishwa, kama ambavyo CDM wamesema watafanya mwakani baada ya uchaguzi, kuna kosa gani?Uchaguzi wa CDM una madhara gani kwa CCM au ndo mlishaandaa watu wa kuiua CDM?

Kujisahau kivipi?

Mwisho,kama mnategemea CDM kufa, endeleeni kujaza maji kwenye gunia.Haifi.Matokeo mliyoyapata ni sehemu tu ya changamoto zinazopitiwa na CDM. Kwa Taarifa yako, hakuna Anguko lolote la CDM, nionacho ni propaganda kwamba CDM imeanguka. Tunasubiri Anguko rasmi la CCM.Msidhani kuwa hatujui kinachoendelea ndani ya CCM.MLICHOFANIKIWA ni kuufunika moto unaowaka ndani yenu ila sisi tunaona moshi.

Naamini hakuna mahali nilipokutukana Mamndenyi![/QUOT
Padre slaa ni din gani eti!?

Kwani Alhaji Jakaya Mrisho Kikwete ni Dini gani? Alhaji Ally Hassani Mwinyi ni Dini gani? Dr.Slaa ni Mkristo, na hakuna tatizo kwa yeye kuwa mkristo, na ni wenye akili ya kiroboto tu wanoweza ku-link Slaa kuwa Mkristo na Udini unaosemwa kuwako CDM. Labda nenda kwenye Google halafu tafuta neno UDINI nini maana yake, nitaomba usome vizuri kabisa kwa kutulia na UELEWE!Halafu urudi tena hapa!
 
Assalamu Alaikum wana Bodi wote.

Hii kwa ajili ya watu wote wenye mapenzi mema na demokrasia ya hapa nyumbani.

CHADEMA kilikuwa na muonekano wa kuweza hata kuiongoza dola.Tatizo ni nini kimetokea kwa hawa watani zangu hadi kufikia hali hii.

Je, ni kwa ajili ya kuendesha chama kama kikundi cha dini?
Je, ni kwa ajili ya kumtosa yule mheshimiwa dogo wa kule kigoma?
Je, ni kwa ajili ya viongozi kung’ang’ania madarakani?
Au walijisahau wapi?
Najua kabisa watani zangu matusi ndiyo jadi yenu lakini ukweli utaendelea kusimama;

Nawasilisha.

wewe ndo utakufa uiache chadema
 
Baada ya kuwasoma wachangiaji na mtoa mada, wala sijaona sababu ni kwanini watu wanafurahia chama kama CHADEMA kupita katika kipindi kama hicho cha mpito zaidi ya ushabiki wa kisiasa na ushamba wa kila mmoja aonekane ameandika JF!
 
Wahenga husema siku za mwizi ni arobain na baadae jamii itakuumbua ndicho kilicho ipata chagadema.
 
Assalamu Alaikum wana Bodi wote.

Hii kwa ajili ya watu wote wenye mapenzi mema na demokrasia ya hapa nyumbani.

CHADEMA kilikuwa na muonekano wa kuweza hata kuiongoza dola.Tatizo ni nini kimetokea kwa hawa watani zangu hadi kufikia hali hii.

Je, ni kwa ajili ya kuendesha chama kama kikundi cha dini?
Je, ni kwa ajili ya kumtosa yule mheshimiwa dogo wa kule kigoma?
Je, ni kwa ajili ya viongozi kung’ang’ania madarakani?
Au walijisahau wapi?
Najua kabisa watani zangu matusi ndiyo jadi yenu lakini ukweli utaendelea kusimama;

Nawasilisha.
zamani ulikuwa analyst wa kiukweli lakini sasa naona you do not task your head.Think great you will get the truth. wanao ipenda chama ni vijana between 18 and 40. na wengi wao hasa walio na umri wa miaka 18,19 20,21,22,na 23 hawamo kwenye daftari la wapiga kura. HAWA WATAKAPO KUWA WAMEANDIKISHWA,NDIO UKWELI UTAUJUA. KAUNDI HILI WAWEZA KUFIKIA NUSU YA WAPIOGA KURA WOTE.
 
Km sababu zenu ndo hizi....daima MaCCM yatatafuna nchi mpaka basi....kumbuka hata vijana ambao watakao andikishwa wote c CHADEMA,wengne ni vyama vingne,Alafu kwa nini mtegemee hasa vijana wenye upeo mdogo na wanaokula kunya kulala bure kwa wazazi wao?
 
Assalamu Alaikum wana Bodi wote.

Hii kwa ajili ya watu wote wenye mapenzi mema na demokrasia ya hapa nyumbani.

CHADEMA kilikuwa na muonekano wa kuweza hata kuiongoza dola.Tatizo ni nini kimetokea kwa hawa watani zangu hadi kufikia hali hii.

Je, ni kwa ajili ya kuendesha chama kama kikundi cha dini?
Je, ni kwa ajili ya kumtosa yule mheshimiwa dogo wa kule kigoma?
Je, ni kwa ajili ya viongozi kung’ang’ania madarakani?
Au walijisahau wapi?
Najua kabisa watani zangu matusi ndiyo jadi yenu lakini ukweli utaendelea kusimama;

Nawasilisha.

Unathibitisha ujinga au niseme waweza kuwa na tope kichwani mwako! Hakuna hata hoja jinga kubwa!
 
Assalamu Alaikum wana Bodi wote.

Hii kwa ajili ya watu wote wenye mapenzi mema na demokrasia ya hapa nyumbani.

CHADEMA kilikuwa na muonekano wa kuweza hata kuiongoza dola.Tatizo ni nini kimetokea kwa hawa watani zangu hadi kufikia hali hii.

Je, ni kwa ajili ya kuendesha chama kama kikundi cha dini?
Je, ni kwa ajili ya kumtosa yule mheshimiwa dogo wa kule kigoma?
Je, ni kwa ajili ya viongozi kung’ang’ania madarakani?
Au walijisahau wapi?
Najua kabisa watani zangu matusi ndiyo jadi yenu lakini ukweli utaendelea kusimama;

Nawasilisha.

wewe acha unafiki wako hapa tangu lini wewe uliwahi kuyaona mafanikio ya chadema? endelea tu kujifanya shekh Yahya na wengi sana wameitabiria chadema mabaya lakini kwa wenye akili wanajua jinsi chadema inavyojijenga tangia 2010 kura zake kila sehemu zinaongezeka kutoka kwenye kitongoji mpaka ubunge hakuna uchaguzi hata mmoja tngu 2010 cdm imepunguza kura zake hivi maana ya kukua ni kuongeza au kupunguza yaani ccm ambayo kura zake zinapungua unaona inakua na sisi tunaongeza tunasinyaa? kweli wewe unatumia ma------ kufikiri
 
Mtoa mada kwanza nikupongeze kwa mada ila umekuja na kauli yenye hitimisho (conclusion) hapohapo ndani unauliza maswali.ujibiwe lipi wakati heading umeweka conclusion? Chagua heading nzuri inayoruhusu mjadala.rudi kajipange vinginevyo habar yako ni illusion nakushaur kapate hata ka certificate ka uandishi wa habar.nakutakia cku njema mtani wa chadema.
 
MKUU WENYELE
kumbuka hata vijana nao ni sehemu ya wapiga kura kwa shart la kufikia umri wa kuandikikishwa kupiga kura. rudia uone ulivyoandika kumjibu mtoa hoja mwenzako.kula na kulala kwa wazaz ni kigezo cha kutokupiga kura.are you sure for this? tengua kauli mkuu unatudharau vijana kisa tunakuka kwa wazazi.KUPIGA KURA NI HAKI YETU YA MSINGI!!!vinginevyo una kasoro kwenye reasoning. ni muonekano wako mkuu siyo law/rule.samahan kama nimekukwaza.
 
Back
Top Bottom