Anguko la CHADEMA lipo njiani

Anguko la CHADEMA lipo njiani

Hii ni simple research niliyo ifanya lakini ina mashiko sana kubali au kataa lakini ndio ukweli,

Ni hivi chadema ni chama cha siasa kilicho ibuka na kujipatia wanachama wengi kwa muda mfupi sana kiasi kwamba chama kinashindwa kuwa control wanachama wake kutokana na kukosa misingi imara ya kiuongozi kuanzia ngazi za matawi,kata,majimbo mpaka taifani.hapa nina maana kwamba chama hakiku jiandaa kiuongozi kukabiliana na wingi wa wanachama walio jipatia that is why kila mtu ndani ya chama ana sauti au kwa lugha nyingine kila mtu ndani ya chama ni mbabe.

Kwa maana hii ndio maana inakua kazi rahisi sana kwa ccm kupenya ndani ya cdm na kuwarubuni baadhi ya viongozi wa chama ktk ngazi zote na hatimae hata zinapo fanyika chaguzi utakuta ccm wanashinda kiurahisi sana kwenye maeneo mengi ya mijini na vijijini.

My take:
Chama kichukue muda wa kuji imarisha kiuongozi kwenye ngazi zote na kujenga NIDHAMU YA KIUONGOZI kwa wanachama wote kwa ujumla,ili kuepusha hii kitu ya kila mmoja kutaka kuwa na sauti chamani la sivyo tutaendelea kuvuana uanachama kila uchwao na tutabakia kuwa wapinzani milele.

Mungu ibariki chadema.
 
Hii ni simple research niliyo ifanya lakini ina mashiko sana kubali au kataa lakini ndio ukweli,

Ni hivi chadema ni chama cha siasa kilicho ibuka na kujipatia wanachama wengi kwa muda mfupi sana kiasi kwamba chama kinashindwa kuwa control wanachama wake kutokana na kukosa misingi imara ya kiuongozi kuanzia ngazi za matawi,kata,majimbo mpaka taifani.hapa nina maana kwamba chama hakiku jiandaa kiuongozi kukabiliana na wingi wa wanachama walio jipatia that is why kila mtu ndani ya chama ana sauti au kwa lugha nyingine kila mtu ndani ya chama ni mbabe.

Kwa maana hii ndio maana inakua kazi rahisi sana kwa ccm kupenya ndani ya cdm na kuwarubuni baadhi ya viongozi wa chama ktk ngazi zote na hatimae hata zinapo fanyika chaguzi utakuta ccm wanashinda kiurahisi sana kwenye maeneo mengi ya mijini na vijijini.

My take:chama kichukue muda wa kuji imarisha kiuongozi kwenye ngazi zote na kujengaNIDHAMU YA KIUONGOZIkwa wanachama wote kwa ujumla,ili kuepusha hii kitu ya kila mmoja kutaka kuwa na sauti chamani.la sivyo tutaendelea kuvuana uanachama kila uchwao na tutabakia kuwa wapinzani milele.

Mungu ibariki chadema.

Kila kitu hatua kwa hatua.Kila kitu kipo strategically
 
Ile ndege ya malaysia iliyobeba watu 239..wasio na hatia wakapotea.Bora ingewabeba wajumbe(wabunge) wa katiba ikapotea nao kuliko vitu wanavyofanya Bungeni.
 
Shida nyingine ni kuwa chama ni mali ya familia wanachama na baadhi ya viongozi hawana sauti.
 
Ile ndege ya malaysia iliyobeba watu 239..wasio na hatia wakapotea.Bora ingewabeba wajumbe(wabunge) wa katiba ikapotea nao kuliko vitu wanavyofanya Bungeni. Sijui Kwanini hawajafa tu
 
Kila kitu hatua kwa hatua.Kila kitu kipo strategically

Historia itakuhukumu Ben....

Ni mmoja wa watu muhimu walioshiriki siasa za fitna zilizoimaliza CDM.....

Nawaonea huruma watanzania waliopoteza mda wao kwa ajili yenu....
 
Wakati wanamageuzi wakiwa bize kupambana na wahuni wa ccm ili kupata katiba mpya na bora misukule ya ccm imepata chance ya kubwabwaja humu jf kwani inatambua kuwa wenye akili wako bize na mambo ya msingi.
 
Back
Top Bottom