Anguko la CHADEMA lipo njiani

Tanzania siku hizi kila mtu ni mchambuzi wa mambo ya siasa kwamba hata Mamndenyi naye amekuwa mchambuzi mahiri!? hahahahaaa heri umasikini wa pesa kuliko umasikini wa akili.

mambo vipi mkuu Mwita!!? naOna tumepoteana kweli! kwema!!?
 
Last edited by a moderator:
Watanzania hatutaki chopa tunataka chama makini na viongozi makini uhuni uhuni wao na usanii wao wapeleke huko arusha na moshi shwaini kabisa chadema.
Ambako kuna watu waelewa kuliko Kalenga
 
Hivi na wewe umeenda shule? Nakerwa na mijitu inayojivika upofu kama wewe. Unatuletea udini hapa? Sasa umepost nini? hopeless. Zito alisaidia chama kushinda chaguzi ndogo ngapi? Acha upofu wa fikra. Zito kasaidia Mkoa wa Kigoma kupata wabunge wangapi wa Chadema? Ondoa upuuzi wako hapa.
 
Umemaliza?
 
Naona una mineno miiingi;
kwani ni nani kakukataza kufungua uzi wako?
 
Hapo kwenye blue text, hapo....!!!!
'Hati miliki' za hapo kwenye blue text zipo kwa jamaa 'zetu' wanaoonekana hapa kwenye picha....

aslamu alikum mwenyewe, mambo ya CHADEMA yaache yalivyo hujui lolote kuhusu CDM, wee nenda kale NGURUWE kama kawaida yako, na fuatilia chama chenu cha kiboko haramu na kialishababu.
 
Ni watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri kama wewe ndo wanaojua kuwa Chadema inaanguka, subiri anguko lake hadi utazeeka utaiacha
 
CHADEMA hatujapoteza bali siku ahadi siku tunazidi kujengeka. MUNGU IBARIKI CHADEMA NIPO SIKU TUTASHIKA DOLA .
 
Njoo na 'another rap'
hii bado hujasomeka.
aslamu alikum mwenyewe, mambo ya CHADEMA yaache yalivyo hujui lolote kuhusu CDM, wee nenda kale NGURUWE kama kawaida yako, na fuatilia chama chenu cha kiboko haramu na kialishababu.
 
Umemaliza?
kaka umenena hapo, huyu anayejiita Mamndenyi hajui lolote kuhusu siasa, cc tunajaribu kuzuia udini lkn yy anaendekeza. Unajuwa mara ya mwisho Mamndenyi alilazwa MIREMBE kwahyo nahic hajapona vizur na alitoroka Mirembe.
 
Heee kwahiyo wakati mimi nazeeka wewe ndo unazaliwa au?
Ni watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri kama wewe ndo wanaojua kuwa Chadema inaanguka, subiri anguko lake hadi utazeeka utaiacha
 
Njoo na 'another rap' hii bado hujasomeka.
wenye akili , busara na hekima kama cc huwa hatumalizi ila wapuuzi, washenzi, mliolaaniwa kama nyie mnaochochea udini ndo mnamaliza kila kitu kwa kukosa hoja za msingi na maarifa.
 
ETATA
Haki ya nani wewe ni chizi;
Mirembe nayo ni kama hizo hizo nyingine.
kaka umenena hapo, huyu anayejiita Mamndenyi hajui lolote kuhusu siasa, cc tunajaribu kuzuia udini lkn yy anaendekeza. Unajuwa mara ya mwisho Mamndenyi alilazwa MIREMBE kwahyo nahic hajapona vizur na alitoroka Mirembe.
 
Last edited by a moderator:
Tuma salamu
uchague na another rap.
wenye akili , busara na hekima kama cc huwa hatumalizi ila wapuuzi, washenzi, mliolaaniwa kama nyie mnaochochea udini ndo mnamaliza kila kitu kwa kukosa hoja za msingi na maarifa.
 
mm naona opic yako imekaa kishabiki. ulipaswa uchambue kwanza chaguzi zimefanyikaje na mazingira yake kisha ndipo ulete maoni yako. hapo tungeweza kuchangia ila naona umekurupuka bila utafiti. no research no right to speak

Mazingira yalikuwaje? Mbona chopa zilikuwepo kulinda kura, makamanda kibao kutoka A town, na palikuwa na msemo bora kabisakabisa usemao,"piga kura linda kura," Haya sasa, mazingira gani mabaya! Na mlibishana na RPC kuhusu chopa na mwisho mkaruhusiwa kuzunguka nalo kukagua vituo vya kupigia kura! Sasa ulitaka mazingira gani? Au watu wote wajaze kura kwa Tendegu kwa nguvu??! Akili za kibavicha bana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…