Anguko la CHADEMA lipo njiani

Katavi uwezekano wao kujibadili haupo
ni wale wale toka enzi zile na hawasikii wala hawaambiliki.

Hawajaanguka bali wapo katika hatua za kuanguka, wapo wana nafasi ya kuinuka endapo watarekebisha mapungufu yao.
 
Last edited by a moderator:
Chadema hiyo ni adhabu kwenu kwa ajili ya ukabila.udini.ukanda
 
Habari ya mjini kwasasa ni ACT yatosha. Hiki ndio kitakuwa mpinzani wetu ambaye huenda tukawakabidhi nchi kutokana na siasa zao za kisasa sio maandamano na matusi.
 

Kijana aliwaambia huwezi kumchafua wala kumpindua bila kuharibu chama na hayo ndio yaliotokea japo yeye yupo katika kilele bado.
 
Kinachowamaliza ndio hiki;
hamjakomaa kisiasa;
hivi unafikiria kuwa naogopa matusi mimi?

Acha mbwembwe vilaza tanzania bado wapo weengi sana mnatumia udhaifu wao kuwaongoza kama punda laiti tanzania ingelikuwa gari ningeshuka nikapanda lingine.
 
Sio lazima kupost, unaweza kuchangia kwa wenzako wanaopost kamba za kueleweka afu ukaongeza idadi za post na rep
power. Kamba haieleweki mamdenyi!! review
Khaa! Banauzi unaeleweka vizuri na upo simpo. Wewe labda umelewa ama una matatizo ya kisaikologia ama unauelewa wa chini sana,, RIP
 

Kwani chama kimeanguka?
Kushindwa uchaguzi ni kuanguka?
Nakumbuka uchaguzi wa madiwani Arusha.
 
ccm ni chama cha wahuni na washenzi wakubwa chadema hawezi kufa ccm ndo itakufaaaaa
 

Ungekuja na hoja ya kwanini nchi inaendelea kuteketeza mabilioni ya fedha kwa lidubwasha; IPTL ungeeleweka lakini siyo hii fitna. Heri ungehoji:
IPTL ni mdudu gani?
Ilifikaje nchini?
Akina nani wapo nyuma ya hii kampuni?
Ni nani aliyesaini mkataba tata wa IPTL serikalini?
Mazingira ya mkataba yana harufu ya rushwa?
Kwa nini serikali kupitia Tanesco imeendelea kulipa mabilioni yote hayo bila kutaka revise mkataba tata wa IPTL?
Kama serikali imelemewa na IPTL na sasa PAP wananchi wachukue hatua gani kwa umjula wao ili kunusuru kodi yao?
 

Tanzania siku hizi kila mtu ni mchambuzi wa mambo ya siasa kwamba hata Mamndenyi naye amekuwa mchambuzi mahiri!? hahahahaaa heri umasikini wa pesa kuliko umasikini wa akili.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…