Lema mchuuzi wa sokoni arusha;
apewa hela asiweke kwenye biashara zake anunue chopa
ni nani kasema hayo.
Wapi CHADEMA imeanguka?Kalenga au baadae Chalinze?
Wanazuoni wetu wana kazi kweli kweli kuwaelemisha waandishi kama hawa basic tu za Political demographics!
Kalenga ilikuwa ya CCM wameweza kuitetea ingawaje kura zao zimepungua lkn leo inaandikwa kama CHADEMA ndiyo imemeguka Kalenga?
Kazi mno kuwaelemisha hawa
Wewe kweli ni kauzu zaidi ya dagaa, wewe ni saa mbovu tu endelea kuzunguka.We kweli behewa hapo kuna uchambuzi gani?
Kinachowamaliza ndio hiki;
hamjakomaa kisiasa;
hivi unafikiria kuwa naogopa matusi mimi?
Huyo lema hakuwa mfanyabiashara ni wale mtandao wa kuiba magari arusha na mpaka leo vijana wake wanapiga kazi kama kawa hata nyie bavicha nje mkane hapa hakuna asiemfahamu huyu jamaa.
BUKU SEVEN at work.....
Upo sahihi kila upande..
Kama mlijua kalenga ya ccm mlienda kumaliza nguvu zenu za nini? Na mpaka wengine kubakwa huko na wahuni wenzenu.
Mamdenyi na ww umejiunga na CCM's propaganda machine?
Ushindi wa CCM Kalenga ndiyo case study yako kama CHADEMA imesambaratika?Mwaka 2010 nani alishinda Jimbo hilo kwa kura ngapi?
Siku hizi JF kila mtu ni mchambuzi wa siasa ahahaha!
Je kwa lema tutegemee nini;
Naishukuru tu katiba iliyosema haitaki tena vihiyo bungeni
walau heshima itaonekana.
Yule aliyesema chadema haifiki 2015 ni mchawi au mtabiri
una maana tigo na voda,umejuaje?
Yule aliyesema chadema haifiki 2015 ni mchawi au mtabiri
buku 7 unamaanisha nini mkuu?
Mamndenyi mkuu ni kuwa katika uchaguzi wowote hata wa kumchagua class monitor ni lazima mmoja aibuke mshindi tu. Ulitaka CDM na SSM wote wawe washindi? Kalenga ni stronghold ya SSM kwa hiyo matokeo ya Kalenga yaliyojaa viini macho yaswe ni kipimo cha anguko la CDM.