Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,140
na ndio ubaki huku huku mwaya!
naogopa ku fall in love,mmu ni full watu kulalamika kuumizwa,nitaishia kuwaonea huruma kisha roho yangu iwadondokee,naogopa bana,roho yangu nyepesi.
na ndio ubaki huku huku mwaya!
Kwa waumini wa malaika na shetani ambao wanatumika kuleta blessings au vishawishi, mtu yule yule anaweza kutumika kwa njia zote mbili because God does not send an individual, he sends a blessing. it may come in form of a brilliant inspiration to somebody around you who then helps you materialise His Glory. Similarly, Shetani anaweza kumshawishi mtu na huyo mtu akakushawishi pia katika kutenda maovu. So sometimes the best person is the one near you who can be used by both "parties". Kuna sala ninayo ipenda sana sana sana. ni sala la Saint Francois D'Assise (Saint Francis of Assisi). He asks to be the instrument of God (ndio kama tunasema huyo malaika atakae theough whose hand the blessings will come). I want to share it with Mzee Mwanakijiji
The English version of the prayer reads as follows:
Lord, make me an instrument of your peace,
Where there is hatred, let me sow love;
Where there is injury, pardon;
Where there is doubt, faith;
Where there is despair, hope;
Where there is darkness, light;
Where there is sadness, joy.
O Divine Master,grant that I may not so much seek
to be consoled, as to console;
to be understood, as to understand;
to be loved, as to love.
For it is in giving that we receive.
It is in pardoning that we are pardoned,
and it is in dying that we are born to Eternal Life.
Amen.
Kongosho kwanini unayapima mafanikio yako au maanguko yako kupitia kwa watu? Kwani huyo shetani au malaika wako hawezi kuwa wewe mwenyewe?
Ebu jaribu kuangalia katika angle hiyo, naamini kama ukiwa timamu kabisa japo kuna element ya disguise kwenye hoja yako lakini mengi tuyafanyayo uwa tunafanya kwa utashi wetu. Udhaifu wetu wa kutoweigh maamuzi yetu na kutafakari kwa kina labda ndio shetani wetu
naogopa ku fall in love,mmu ni full watu kulalamika kuumizwa,nitaishia kuwaonea huruma kisha roho yangu iwadondokee,naogopa bana,roho yangu nyepesi.
Hilo nalo nenoI do believe kila anaekuja kwenye maisha yako ana sababu,either mbaya au nzuri.
'
Aina ya watu tunaokutana nao tunawavuta sisi wenyewe,haiwezekani mtu akawa na pande mbili.
'
Nuru na giza havichangamani,kama atakusaidia kukupandisha kisha akakudondosha faham kuwa kuna upande alikua anajifanyisha,hakuwa real.
'
. . . . . . . . Eiyer . . . .
Kweli kabisa, kama unaamini Mungu the best thing you can do ni kuomba wale walio karibu yako wamuogope Mungu na wawe malaika kwako. But at the same time, ni sawa kujiombea pia ili tuwe malaika wa watu around us. Let's all be the instrument of his Glory. AmeenUmejibu kama mwalimu, thanks!
Nadhani umenielewa fika nilichouliza, kumbe mtu anaweza tumika kupitisha baraka na uovu bila hata yeye kujua hilo? Mie nilikuwa nashangaa sana inakuwaje hivi?
Ningejua ningekutumia PM tu, nilichojifunza hapa, kumbe ni bora kumuombea mtu anayepitisha baraka kwako asije akatumiwa kupitisha uovu pia
Hii kitu ipo, ama nazeeka na kuanza kupata 'maruweruwe'?
Dah!
Kweli kabisa, kama unaamini Mungu the best thing you can do ni kuomba wale walio karibu yako wamuogope Mungu na wawe malaika kwako. But at the same time, ni sawa kujiombea pia ili tuwe malaika wa watu around us. Let's all be the instrument of his Glory. Ameen
Nobody is 100% bad and nobody is 100% good.Roulette ulishawahi kupitisha umeme kwenye kamba ya katani?