i believe kuna luck na mtu anaweza kukupa mafanikio by encouragement au ushauri mzuri, but not random like kumjua fulani unapata good/bad luck. my best friend ni mlokole, he knows my secret and hakutetereka masomoni or something similar in fact he would even ask me to study 2gether na sote tulifaulu uhandisi with honor degrees.Najiuliza tu kwa sauti
Kwa wale wanaoamini malaika ama shetani huwa anakuja kupitia binadamu wengine wanaokuzunguka.
Hivi inawezekana huyo huyo malaika wako akawa shetani wako pia?
Ulishawahi kaa na mtu anachangia sana kwenye mafanikio yako kwa kujua, na huyo huyo anasababisha sana anguko lako kwa kutokujua. Afu unakuta ni mtu ambaye yupo maishani kwako kila siku, mfano baba, mama, kaka, dada, mme, mke.
Hii kitu ipo, ama nazeeka na kuanza kupata 'maruweruwe'?
Dah!
Hiyo kitu ipo.Mtu anaweza kuwa ni Angel at the same time ni devil (mara nyingi bila kujijua)Najiuliza tu kwa sauti
Kwa wale wanaoamini malaika ama shetani huwa anakuja kupitia binadamu wengine wanaokuzunguka.
Hivi inawezekana huyo huyo malaika wako akawa shetani wako pia?
Ulishawahi kaa na mtu anachangia sana kwenye mafanikio yako kwa kujua, na huyo huyo anasababisha sana anguko lako kwa kutokujua. Afu unakuta ni mtu ambaye yupo maishani kwako kila siku, mfano baba, mama, kaka, dada, mme, mke.
Hii kitu ipo, ama nazeeka na kuanza kupata 'maruweruwe'?
Dah!
Najiuliza tu kwa sauti

Hiyo kitu ipo.Mtu anaweza kuwa ni Angel at the same time ni devil (mara nyingi bila kujijua)
Nilikuwa na rafiki yangu ni married. Alikuwa ananipenda sana na kunijali.Na kunisaidia kwenye mambo mengi..Lakn baadae akabadilika na kutaka kugegedana. Kwa akili zake yeye kunipenda kimapenzi ndio Kuimarisha upendo zaidi lakn kwangu ilikuwa ni ushetani.Ilifika mahali alikuwa na wivu sana kiasi cha kwamba asinione nikiongea na mwanaume yeyote anaweza anzisha varangati hata mbele ya watu.Kwa sababu zake eti analinda nisije rubuniwa au kuumizwa na watu wasiofaa.Hiii ilinisababishia kukosa marafiki.
do you mean anakupa ushauri mbaya bila kukusudia?? ngoja nijaribu huu mfano kati ya friend A(likes drinking) na B(does not drink)You are very brave, you deserved kufaulu
Hapa nachosema, ni kuwa mtu anakusaidia kabisa kufanikiwa, tena kwa juhudi zake zote
Lakini mtu huyo huyo anachangia maanguko yako mengi wakati mwingine bila hata yeye kujua
Najiuliza tu kwa sauti
Kwa wale wanaoamini malaika ama shetani huwa anakuja kupitia binadamu wengine wanaokuzunguka.
Hivi inawezekana huyo huyo malaika wako akawa shetani wako pia?
Ulishawahi kaa na mtu anachangia sana kwenye mafanikio yako kwa kujua, na huyo huyo anasababisha sana anguko lako kwa kutokujua. Afu unakuta ni mtu ambaye yupo maishani kwako kila siku, mfano baba, mama, kaka, dada, mme, mke.
Hii kitu ipo, ama nazeeka na kuanza kupata 'maruweruwe'?
Dah!
Najiuliza tu kwa sauti
Kwa wale wanaoamini malaika ama shetani huwa anakuja kupitia binadamu wengine wanaokuzunguka.
Hivi inawezekana huyo huyo malaika wako akawa shetani wako pia?
Ulishawahi kaa na mtu anachangia sana kwenye mafanikio yako kwa kujua, na huyo huyo anasababisha sana anguko lako kwa kutokujua. Afu unakuta ni mtu ambaye yupo maishani kwako kila siku, mfano baba, mama, kaka, dada, mme, mke.
Hii kitu ipo, ama nazeeka na kuanza kupata 'maruweruwe'?
Dah!
i believe kuna luck na mtu anaweza kukupa mafanikio by encouragement au ushauri mzuri, but not random like kumjua fulani unapata good/bad luck. my best friend ni mlokole, he knows my secret and hakutetereka masomoni or something similar in fact he would even ask me to study 2gether na sote tulifaulu uhandisi with honor degrees.
Nakupata
Ila nachosema hapa, si kwamba mtu huyo anakusaliti makusudi
Mfano labda nitoe, mzazi anakusaidia unafanikiwa maishani weeee
Una kazi kuubwa na uko vizuri kimaisha
Afu inafika wakati wa kuoa, anakusaidia kupata mchumba 'ANAYEAMINI' kabisa kwa moyo wake atakufaa
Afu unakuta kwako ni vice verse na hapo ni baada ya kuoana
Alijua aliyekuchagulia ni 'mwiba' kwako? No
Aliamini anafanya jema kwako? Ndio
Najiuliza tu kwa sauti
Kwa wale wanaoamini malaika ama shetani huwa anakuja kupitia binadamu wengine wanaokuzunguka.
Hivi inawezekana huyo huyo malaika wako akawa shetani wako pia?
Ulishawahi kaa na mtu anachangia sana kwenye mafanikio yako kwa kujua, na huyo huyo anasababisha sana anguko lako kwa kutokujua. Afu unakuta ni mtu ambaye yupo maishani kwako kila siku, mfano baba, mama, kaka, dada, mme, mke.
Hii kitu ipo, ama nazeeka na kuanza kupata 'maruweruwe'?
Dah!
You are very brave, you deserved kufaulu
Hapa nachosema, ni kuwa mtu anakusaidia kabisa kufanikiwa, tena kwa juhudi zake zote
Lakini mtu huyo huyo anachangia maanguko yako mengi wakati mwingine bila hata yeye kujua
Nakupata
Ila nachosema hapa, si kwamba mtu huyo anakusaliti makusudi
Mfano labda nitoe, mzazi anakusaidia unafanikiwa maishani weeee
Una kazi kuubwa na uko vizuri kimaisha
Afu inafika wakati wa kuoa, anakusaidia kupata mchumba 'ANAYEAMINI' kabisa kwa moyo wake atakufaa
Afu unakuta kwako ni vice verse na hapo ni baada ya kuoana
Alijua aliyekuchagulia ni 'mwiba' kwako? No
Aliamini anafanya jema kwako? Ndio
Ever heard the saying "it could have been worse"?, unajuaje kuwa mke ambaye ungemchagua wewe angekuwa sindano ya wanyama shingoni mwako badala ya mwiba unyayoni?
Wangapi wameoa the girls of their dream lakini mambo yakageuka kuwa tofauti?
Na wawezaje mlaumu say baba kwa uhakika na sio wewe mwenyewe labda umechangia mkeo kuwa mwiba?
Nimetoa mfano kwa hapo juu miwili
Au niseme in general, hujawahi ishi na mtu, ukitafakari highest achievement zako nyingi, kuna juhudi zake, na ukiangalia lowest score zako nyingi alishiriki pia?
Au hujawahi tafakari hilo?