Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,234
- Thread starter
- #21
Kwa hiyo ndio utaratibu wa maisha tu
Hii dhana na malaika wako na shetani wako haina mantiki?
Hii dhana na malaika wako na shetani wako haina mantiki?
Nimeusoma na nimekujibu. Kweli kuna watu ambao nilifikiri wamenikwamisha, na kwakweli ktk kipindi hicho they real did; lakini nilikuja kupata kitu au vitu baada ya kukwamisha ambavyo nakuja mshukuru aliyenikwamisha. Mfano halisi ni kwamba wengi wamejenga nyumba baada ya maudhi ya mwenye nyumba; wengi wameacha kazi na au kuanzisha shughuli zao au kutafuta kazi nyingine baada ya maudhi ya mabosi.
So mara nyingi, ktk kila kitu kibaya kinachonitokea (kuacha kufiwa) kuna positive outcome ambayo inanifanya sio tu nisilaumu bali nimshukuru Mungu kwa mapito niliyoyapitia!