The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,071
ha ha ha ha hasiume ona ee huyu dad angu mkubwa alivyo ae..
hahahah lol
mie niko hapa kwa ajili yako dear usijali lol
ha ha ha ha hasiume ona ee huyu dad angu mkubwa alivyo ae..
hahahah lol
mie niko hapa kwa ajili yako dear usijali lol
mi mwenyewe hapa nimedhalilika,,,pauline na dena watutake radhi
Mama yangu mchagga, baba mngoni, nimekulia Arusha.nina mahusiano na wakaka kadhaa wa makabila kadhaa katika levo tofauti za mapenzi ili mmoja wao aje kuwa MUME .Kuna kaka wa KIMASAI kakulia hapa Arusha ana lafudhi ya kichalii (chagga+meru+masai mixture) ni Administrator wa TOUR COMPANY flani mwanzoni nilikuwa namhadaa na kumcheka anavyontongoza ila nkaona awe kwenye list.Kila siku inayopita nazidi kumpenda huyu chalii baada ya kumjua kuwa ananijali anajua nini mwanamke anataka kufanyiwa na kusikia, ni mlutheran hanywi pombe.
KUNA WACHAGGA mabosi-kaka kibao wanantaka ila wanategemea kuniendesha kwa mwendo wa pesa.
NIKUBALI KUOLEWA UMASAINI niwaache WAMARANGU? kumbukeni pesa ni muhim kwenye maisha.(HILI NDIO TATIZO LANGU)
we realy think differently ndio maana hamna atakayekosa perfect match hata uwe wa dizaini gani.ngoja atufafanulie vizuri hiyo good looking,
hebu kuja hapa Pauline, elezea sisi hii maneno vizuri?
ukisoma kiundani sana utaona kwamba sisi tunaitwa waharibifu wa DNA kwenye hii sredi. think! wiselady think!
Ha ha ha ha siwataki radhi kama ni badluking mtajiju sie gudluking kwa sana tu naona mwenzenu mwenye hasira kama nyie kakimbia Bacha
Ha ha ha ha siwataki radhi kama ni badluking mtajiju sie gudluking kwa sana tu naona mwenzenu mwenye hasira kama nyie kakimbia Bacha
siume ona ee huyu dad angu mkubwa alivyo ae..
hahahah lol
mie niko hapa kwa ajili yako dear usijali lol
mie sio mtaalam wala msomi,naombeni mtupe darasa kwa manufaa ya wote wenzangu kama mie,epecially hapo uliposema genetics zinaweza zikajump generations,nifafanulie plz......
kwa uelewa wangu wa kungalia yanayojiri ulimwenguni,wataalamu wengi wameanza kulink obesity na genetics ingawa haijawa proved but its my understanding studies bado zinaendelea...
we realy think differently ndio maana hamna atakayekosa perfect match hata uwe wa dizaini gani.
ila huyu dada nadhani ni kutoka TANGA.
najua una jeuri kisa gudlukin,,hivi umekaona kafainesti na afro hap juu?
mie sijui mambo ya nasaba,nilidrop out shule baada ya kunishinda,nipe darasa WOS...
labda hicho kigezo cha goodlooking kimewakwaza wengi,okey lemme rephrase lets go for guys who are 'average' lol,tusiende kwa watu ambao obvious wana features ambazo ni mushkeli lol.......watu mna hasira ngoja nijifiche.:behindsofa:
thanks AD, ni kweli usemayo ila nikikumbuka hata wenye vitu kama pua kubwa,masikio walikuwa wananyanyaswa bwana .....wengine ndio wanakupa na jina kabisaaa...utasikia akimtusi mwenzie pua lile kama la pauline,LOL:laugh::laugh:
Nipo nakuangalia unavyombwelambwela tu,
njoo uone good looking ya kiume huku!,
acha hizo za kuchakachua!!!
unajua nilikuwa nawaeleza namna navyochanganyikiwa ila JF mkanigeuzia kibao kuwa nataka kwenda MARANGU, hamkutaka kuelewa kuwa MY LOVE NI MMASAI and no one to affsett him.Hii kitu bado tu marytina haijatafutiwa suluhisho bana?
sina amani ujue,,afu huyu fainesti na afro anamtishia nani?ina maana mabad luking bado tuko nyuma ya wenzetu kny evolution ama?
najua una jeuri kisa gudlukin,,hivi umekaona kafainesti na afro hap juu?
kwenye red...Mtaani kwetu kuna mama watoto wanne ni wazuri ile balaa,machalii humtania mama ongeza mwingine ili mtaa ujae waremboUsijifiche mdogo wangu. Tuko hapa kubadilishana mawazo na kupeana changamoto katika maisha.
Ulichosema kuhusu bullying ni kitu kipo mashuleni na huwa kinasumbua sana na kusababisha mtoto kukosa raha hata kuathiri masomo. Kisaikolojia ni kitu kibaya maana kinaharibu kabisa ile hali ya kujiamini kwa mtoto.Kwa hiyo basi nakupongeza sana kwa kuibua mada nzuri.
Visababishi vya bullying viko vingi na vinatofautiana baina ya watoto wa kike na wa kiume na hata jamiii moja hadi nyingine.Mwonekano au wajihi huweza kupelekea mtoto kutaniwa na kuonewa.Kwa mfano anaweza kutaniwa bwanyeye, masikio, bongenyanya,kimbaumbau, zeruzeru, mkaa, milonjo,chongo, ..nk. Anaweza kutaniwa pia kwa sababu ya tabia kama kikojozi etc pale wenzake watakapojua. Anaweza kubatizwa jina la utani likamfanya akose amani. Anaweza pia kuonewa physically kama kupigwa, au kusukumwa kama anaonyesha ni mnyonge wa nguvu za mwili.
Tukija kwenye suluhisho ulilotoa kwamba utafute mwenza mwenye uzuri au haiba ya sura ili mzae watoto wasiokuwa na "kasoro" zitakazowafanya waonewe nadhani ni suluhisho jepesi mno.
Kibaiolojia, mtu anazaliwa jinsi alivyo kwa kurithi vinasaba kutoka kwa uzao wa baba au mama. Nikisema uzao ni zaidi ya wale wazazi , inaenda hadi vizazi nyuma. Unaweza ukachagua mwenza very beautiful au very handsome, msizae watoto "wazuri" kama nyinyi kwa sababu huko kwa mababu na mabibi kulikuwa na watu wenye muonekano tofauti na huo unaoutarajia. Hujasikia " kafanana kweli na babu ya mama mzaa bibi? Lol
Nitaendelea badae ngoja niwajbike tena kwingine
Kamanda klorokwin ngoja uje uone maana ya gudlukin baada ya kutoa copy