Angalizo...tunapochagua...

mie sijui mambo ya nasaba,nilidrop out shule baada ya kunishinda,nipe darasa WOS...
labda hicho kigezo cha goodlooking kimewakwaza wengi,okey lemme rephrase lets go for guys who are 'average' lol,tusiende kwa watu ambao obvious wana features ambazo ni mushkeli lol.......watu mna hasira ngoja nijifiche.:behindsofa:

Hapana nadhani ulipokosea ni kuhusisha watoto kuteswa shuleni na uzuri wa wazazi... sababu hapo there is no guarantee, tena mnaweza mkapata watoto wenye Downs Syndrome...,

Good Looks sio dhambi and it helps a lot (apart kwa watu kukuonea unnessary wivu) na kupata some unnecessary attention,
Believe me I know, Also in some fields it might make your life easy..., goods looks yes its being blessed... Swali ni kwamba Je ni kigezo cha Kwanza ?

Nadhani hapa mimi I have got a heart of Mother Theresa or Gandhi.., dont know why, ...I have got a tendecy of falling for inner beauty.., and I dont take my good looks as a tool and I would not like someone just to be attracted to me physically peke yake cause I know looks dont last.
 
Duty Calls I will be back later...,
My challenge still exists naomba mtu alete picha ya mwanamke mbaya hapa mimi tamuonesha uzuri wake...., (Please isiwe ugonjwa au mtu kujitakia kwa kujiachia)

Laters...
 
Watoto wabaya wa sura wengi huwa wana akili sana. Kwahiyo hata kama atachekwa heshima yake ipo pale pale.
Bora niwe na mtoto mbaya mwenye akili kuliko mzuri lakini ni lilonyalonya.
 
Kila mtoto ni mzuri kwa mzazi wake hata awe na pua kama pinokkyo
 
mambo JF...

Nimesikia tu sina uhakika na hili,kuwa moja ya sababu zinazofanya watoto kuwa bullied mashuleni ni kutokana na kuwa na facial features ama maumbile yaliyo tofauti kidogo,kwa mfano masikio makubwa,lol pua ndefu ama unene uliozidi...

nilikuwa natoa tu angalizo kwa wana JF wenzangu tunapochagua wenzi wa maisha then,tuhakikishe tunachagua mbegu iliyo bora lol,go for someone who is really good looking ili hata watoto watakaozaliwa nao watoke wazuri kua void bullying........

msinishushue mie nimesikia tu..:msela::msela::msela:

una masikio marefu wewe, unasikia hadi vya barabara ya nane Soko Matola jirani na Uwanja Ngoma
 
Pauline;1579427]mambo JF...

Nimesikia tu sina uhakika na hili,kuwa moja ya sababu zinazofanya watoto kuwa bullied mashuleni ni kutokana na kuwa na facial features ama maumbile yaliyo tofauti kidogo,kwa mfano masikio makubwa,lol pua ndefu ama unene uliozidi...

nilikuwa natoa tu angalizo kwa wana JF wenzangu tunapochagua wenzi wa maisha then,tuhakikishe tunachagua mbegu iliyo bora lol,go for someone who is really good looking ili hata watoto watakaozaliwa nao watoke wazuri kua void bullying........

msinishushue mie nimesikia tu..:msela::msela::msela:

Bullying wapi? Bongo au US/Ulaya? Sijasikia mtoto hapa bongo kajinyonga au kujiua kwa sababu ya school bollying. Mbona huko boarding school kutesana kulikuwa kitu cha kawaida tu kwa form One/nyoka/nyoa lakini watu walisavive wenye sura nzuri na mbaya pia?

Hiyo claim yako hai-apply Bongo Paulina.

Back
Top Bottom