Angalizo kwa wanaotaka kuoa

Wewe nawe uko OFF TOPIC hatuongelei habari za wendawazimu hapa

Nasisitiza kuwa niko INSIDE TOPIC.
Nanukuu:

" kulingana na utafiti wangu binafsi, ukioa mwanamke mwenye sifa zifuatazo:
1. mweupe naturally bila kujichubua,
2. umbo la nane
3. macho ya kurembua naturally
4. M--a--t--a--ko makubwa ya mviringo
5. ma---tk malaini na yanatikisika kama yanadondoka
6. ....."

Mtoa mada ametutaadharisha juu ya kuoa wanawake wenye sifa hizo hapo juu kuwa ni hatari kwani wanaume wengine wanaweza kuwatongoza na kufanikiwa kufanya nao ngono. Kwa mwanamme kumtongoza mwanamke si lazima mwanamke awe na sifa kama zilizotajwa hapo juu na vegule. Kwa mfano mwanamme anaweza amua aoe mwanamke asiye na sifa kama hizo hapo juu ili asitongozwe, lakini bado akatongozwa na kutembea na mwanamme mwengine. Mbali na hayo pia wapo baadh ya wanaume na akili zao timamu wanafanya ngono na wendawazimu.

 
Mmmh! Ama kweli maresearcher wamekuwa wengi sasa.
Suala la kudinywa haijalishi mwanamke ana umbo au rangi gani.
Tatzo wanawake tuna vitu vingi tunavyowavutia wanaume.
Wanawake wengine kucha tu zinawaletea usumbufu. Wengne macho, miguu etc.
Utafiti wako naupa 0.9%
Maks yako mara 100 inaingia kwenye ukweli - lol
 
Heheheheheheh angalizo lako cio tamu mana c mchezo unatutishia au ndio tuseme?
SIWATISHII ILA NAWAPA MATOKEO YA UTAFITI. YAANI DISSEMINATION. HUWEZI FANYA RESEARCH UKAFUNGIA MATOKEO KWA SHELFU. IT WILL BE USELESS. Habari ndo hiyo
 
mwenye masikio ya kusikilia na asikie!!!!! Toeni maoni yote ila this is an established veracity

kwa nini ulioa mwanamke mliepishana nae sana? mwanamke mzuri kwa kila kitu kummeintain ni kazi lazima uwe na cash ya uhakika na umnyenyekee vile vile kifupi mwanamke mzuri anapenda maisha mazuri vile vile so kazi kwenu
 
kwa nini ulioa mwanamke mliepishana nae sana? mwanamke mzuri kwa kila kitu kummeintain ni kazi lazima uwe na cash ya uhakika na umnyenyekee vile vile kifupi mwanamke mzuri anapenda maisha mazuri vile vile so kazi kwenu

Yaani hata umpambe, umpende vipi na uwe tajiri kiasi gani na kumnyenyekea hadi kumlamba nyao zake, ukimaliza tu kumfanyia hayo yote matokeo ya research yangu yatakujia tu.
 
nikiwa kama celebrity wa hizi anga za mahusiano na mapenzi na maushauri, napenda kuchukua nafasi hii kuthibitisha kwamba hii sredi ni ukweli mtupu. mafaili ya research yangu yatawasilishwa hapa JF baada ya krismasi.

asanteni kwa ushirikiano.
 
nikiwa kama celebrity wa hizi anga za mahusiano na mapenzi na maushauri, napenda kuchukua nafasi hii kuthibitisha kwamba hii sredi ni ukweli mtupu. mafaili ya research yangu yatawasilishwa hapa JF baada ya krismasi.

asanteni kwa ushirikiano.

mie hata siamini mpaka nione hizo faili...
 
i like that excitement of yours, lemme extend the deadline to enjoy the most of it. hii luga nimeandika hata sielewi nimeandika nini, sore kama nimeflirt. lol

hahaahhahahahah lol we klorokwin wewe leo umezidisha kidogo nini lol..
hahahah umeipatia sana tu..lol
usi extend dead line... please
 
Back
Top Bottom