Tofauti ya mwanamke wa kuoa na mwanamke wa kuchezea yaani demu,manzi,sholi,kilukanjia au refleshment

buffaro89

buffaro89

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Messages
583
Likes
359
Points
80
buffaro89

buffaro89

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2016
583 359 80
kama ilivyo ainisha hapo juu, kwani wanawake wengi mmekuwa mkilalamika mnakosa wanaume wa kuwaoa, yawezekana sababu ni kuwa haujawa na sifa za kuwa mke lakini unasifa za kuwa refreshment tool.

sifa za kuwa mke ni kama zifuatazo- yaani sehemu sahihi ya kuendeleza kizazi.
 1. MAVAZI-mavazi ya mwanamke mwema hayafanani kabiasa na mavazi ya wanawake hao wengine wanaowasindikiza wenzao kuelekea ndoa. mavazi ni ishara tosha inayo mfanya kijana aone kilichopo moyoni mwa mtu, mavazi ya mke mwema ni mavazi yanayo heshimika na jamii sketi ndefu za kujisitili,magauni marefu na killa aina ya vazi linaloleta heshima mbele ya wazee na vijana.
 2. UREMBO-ulembo wa mwanake mwema mara nyingi ni mtu asiyependa kulazimisha mambo, yeye yoko natural, hakwendi na wakati,nimarufuku kuweka nywele bandia, anajiamini vile yeye alivyo, haangaiki na mawigi na salon,yeye ni mzuri naturally,sio mtu wa kuwaiga wakina beyonce au rihana the way wanavyo jiweka na wanavyo vaa, sio limbukeni.
 3. IBADA-mwanamke mwema ni yule anaye jari ibada na kutambua Mungu aliweka sheria na sheria hizo zinatakiwa kufuatwa,ni mcha Mungu wala sio mnafiki.
 4. KUJITUMA-mwanamke mwema hujituma kutafuta pesa au mendeleo yoyote kwa faida ya Familia yake anayo tegemea kuipata,huona mbali na hapelekeshwi na mitazamo hasi kutoka kwa walio shindwa, yeye huamini njia harali za kutafuta pesa na mafanikio ni kujituma.
 5. HESHIMA- mwanamke mwema anajiheshimu yeye mwenyewe kwanza kisha hueshimu wengine, wakubwa kwa wadogo hueshimu, anajua kuwasalimia watu wazima nao wakafurahia heshima yake. sio mtu wa kujibizana na sio mtu wa mashindano.
 6. STAILI YA MAISHA-Mwanamke mwema yeye sio mtu wa makundi makundi ya umoja wa kinamama wa kwenda kucheza kigodoro buguruni kwa mnyamani au manzese. yeye hajichanganyi na vikundi vya mitahani, vikundi vyaumbea,ushosti, kushinda nyumbani na kuangalia wakina Diamond na BONGO MOVIES, mwanamke mwema hana marafiki wengi, mwanamke mwema anamarafiki wanao endana naye na agenda yao kubwa ni ibada na maendeleo. Hizi ni moja ya sababu za mwanamke mwema tena mwenye uhakika wa kuolewa anytime, kwasababu anajua sifa zote za kuwa ili awe mke anatakiwa aweje!!
sifa zifuatazo ni sifa za wanawake wasindikizaji wasio na maadili wasio faa kabisa kuwa wake za watu wenye akiri timamu.
sifa zao zingine zinakwenda sambamba na majina wanayojulikana mitaani yani mademu,masholi,vimeo,vyombo vya burudani,wasio jitambua wala kujijua kuwa wao ni wanawake jinsia.
kijana yeyote akijichomeka hapa basi anakuwa amekwisha poteza ukoo wake, maana kizazi chake kinaendelezwa na watu kama hawa wanaogawa ovyo ovyo sehemu za siri bila kujishitukia.
 1. MAVAZI-mavazi ya mwanamke demu yaani just for funny, yeye huwa anapendelea kuvaa mavazi yanayo onyesha sehemu za mwili wake ili anase wanaume wengi zaidi,visuluali vya kubana,viskini,vipedo,vimini,nguo zenye kuangaza umbile la ndani,nguo zilizo chanwachanwa na kuonyesha paja au kiuno. wanawake hawa hupenda kuenda na wakati na mara nyingi wanapenda kuiga iga kila kitu kinacho pita mbele yao na mwishowe wanakuja kulalamika JF kuwa wamekosa wa kuwaoa. poleni sana.hatuwezi kupoteza ukoo...
 2. UREMBO-Wanawake hawa wanajari sana urembo kuliko hata mambo yao ya msingi, mala nyingi hupendelea kujipamba kupitiliza vitu vyote artificial utavipata huku, yaani ukimuona kahaba basi huwezi kutofautisha,wanawake hawa wanashinda salon kila siku na kazi zao ni kujadili maisha ya wengine,wanapenda kujifananisha na wasanii wa nje yaani mambo yao yote wanapenda kukopi kutoka ng'ambo,mwisho wasiku wanataka ndoa, mweeeeeeeeeeeeeeeh.
 3. IBADA- wanawake hawa hawajui kabisa kama hata kuna Mungu, wao ratiba wanayo ijua ni kuenda club,na kubadilisha wanaume bila kuzingatia kuwa, kesho na kesho kutwa wataitajika wawe na familia zao, wao hilo hawanaga, wanasemaga bado wanakula ujana, wanawake hawa kipengere cha kusali na kuabudu kinakosekana kabisa.
 4. KUJITUMA-wanawake hawa wahalibifu, hapa katika kipengele cha kujituma hawapo kabisa bali kujituma wanako jua wao ni kutafuta vijana wenye pesa na kuwachuna,wao wanawazaga kupewa pesa tuu. kila kitu anataka apewe, kuenda salon apewe pesa,nauli apewe,pesa ya matumizi apewe,kununua nguo apewe,kila kitu yeye nikupewa hata ajui pesa zinatafutwa vipi. wanawake hawa hawapendi kabisa kufanya kazi ngumu kazi rahisi kwao na ndio kimbilio lao kubwa ni kujiuza.poleni sana wanawake wa namna hiyo najua mko wengi sana.
 5. HESHIMA-wanawake hawa heshima huwa hawana kabisa, maneno machafu mdomoni,kutukana matusi, ulevi, wanapenda kujibizana jibizana,wanajifanya machinoo,wanawake hawa mala nyingi huwazarau watu wa hari ya chini, maana hujivunia kile wanacho kipata kule wanapo uza uchi wao. na mwisho wa siku wanasema wanataka ndoa, wanafikiri ndoa inakuja na basi kutoka mkoani.
 6. STAILI YA MAISHA-hapa ndipo utakapo wajua hawa, vigodolo ni wao,wanamarafiki wengi wengi wengine walikwisha achika na waume zao,hawa wanawake sifa nyingine wanapenda mtelemko wa maisha,wanaomba omba pesa,uongo uongo tuu, simu zao ni password,mitazamo yao sio ya kimaadili bali wanawaza kupanga wanaume wa kuwapa pesa za kujikimu na kuendeleza maisha yao ya kila siku, wanajisifia sana hata kama walisha zalishwa bado hujiona wanalipa,hawa pia hawasalimiagi yaani hujiona kama wanaufalume katika maisha hayo walio yachagua,hawapendi kupitwa, umbea ndio kawaida yao. na mengineyo mengi yenayo fanana na hayo, alafu mtu anatangaza anatafuta mwanaume wa kumuoa, wewe binti, wajanja ndio wanao olewa nyie endeleeni kutumika sio lazima muolewe nyinyi ni wakina DIVA. SIFA HIZO NI MOJA YA SIFA ZINAZO WAFANYA WATU WAOLEWE AU WASIOLEWE- MSIPENDE KUJIFARIJI NA KUJIFANYA MNAOMBA MUNGU AWAPE MUME MWEMA-WAKATI NYINYI HUO WEMA HAMNAO. MMECHEMSHA BADILIKENI WANAWAKE MSIPENDE KUITWA MADEMU. DEMU SIO MKE.
 
Eddy Love

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Messages
13,125
Likes
6,663
Points
280
Age
29
Eddy Love

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2011
13,125 6,663 280
MWANAMKE ANAYEWAZA BATA HAWEZIKUWA WIFE MATERIAL LAZIMA AZEEKE KWAO
 
W

Wimsha

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Messages
527
Likes
486
Points
80
W

Wimsha

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2015
527 486 80

Umenena vema
 
Job Richard

Job Richard

Verified Member
Joined
Feb 8, 2013
Messages
2,872
Likes
1,415
Points
280
Job Richard

Job Richard

Verified Member
Joined Feb 8, 2013
2,872 1,415 280
7 HUJAWEKA MKUU MKE ANAKUWA NA BIKRA bila bikra sio mke mnasindikizana tu au unaoa akuzalie watoto ila sio mke ni mke wa mtu
 
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
23,783
Likes
27,986
Points
280
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
23,783 27,986 280
huu uzi hata ukipeleka jukwaa la mahusiano utakaa vizuri tu
 
Job Richard

Job Richard

Verified Member
Joined
Feb 8, 2013
Messages
2,872
Likes
1,415
Points
280
Job Richard

Job Richard

Verified Member
Joined Feb 8, 2013
2,872 1,415 280
Hahahaa..!!

The Boss una heshima kubwa sana toka kwangu kwa michango yako humu JF,
Punguza hasira Kaka,JF siku hizi imevamiwa.
huenda kapata gumegume mkuu linamtia stress nashangaa kajibu hivi leo
 
D

Duterte

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2016
Messages
1,066
Likes
1,106
Points
280
D

Duterte

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2016
1,066 1,106 280
Ningekuwa sijaoa na umri unaruhusu ningeomba Mungu anijaalie mwanamke kama mke wangu niliyemuoa,anajitambua na kujielewa nafasi yake Kama MKE...mama wa familia na mwanamke bora katika jamii. Nashukuru sana Mungu kwa kunijaalia MKE MWEMA.
 
Lavan Island

Lavan Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2015
Messages
1,578
Likes
1,015
Points
280
Lavan Island

Lavan Island

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2015
1,578 1,015 280
Tukifuata principle za namna hyo utachemka sana mke ni the way mtakavyo elewana ukiona mme match yaani mckivu anajituma ukampenda huyo ndio wako,mengine its about life formula.
 
smileagain

smileagain

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2015
Messages
559
Likes
520
Points
180
smileagain

smileagain

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2015
559 520 180
Ningekuwa sijaoa na umri unaruhusu ningeomba Mungu anijaalie mwanamke kama mke wangu niliyemuoa,anajitambua na kujielewa nafasi yake Kama MKE...mama wa familia na mwanamke bora katika jamii. Nashukuru sana Mungu kwa kunijaalia MKE MWEMA.
Asante sana Mume wangu
 
Jalema

Jalema

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2013
Messages
442
Likes
453
Points
80
Jalema

Jalema

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2013
442 453 80
Dunia ya leo hizo sifa za anaefaa kuoa katika wanawake 10 wenye nazo ni mmoja au wawili. Dada zetu badilikeni mtaishia kuburuzwa tuu
 
Forum statistics

Threads 1,275,100
Members 490,908
Posts 30,532,670