Angalizo kwa wanaotaka kuoa

Hiyo ni kweli kabisa kuna wanawake wazuri sana ila kwa sababu za aina hii wanaume wanakuwa hawajiamini, kumbe mke wala hana hilo ila unakuja kumpa kesi zisizo lazima. Ukiwa na mtu kama huyo lazima uwe makini sana na hisia zitakuponza. Unakuja kujua baadaye wakati ushampiga kibuti.
Waoo!.too bad sina icons but a hug for you!umenena!
 
Naomba kuuliza swali wanawake wanaochangia humu je kuna baadhi wenye sifa alizozitaja vegule?

mi sina na huku sitoki..
hahahah lol

we umelala kweli maana tangu nikuache kipindi kili bado uko hu mmmhhh
sikuwezi lol...
vipi lakini lol???
 
Back
Top Bottom