Angalizo kwa wanaotaka kuoa

huu ni utumbo mtupu ..
mbona wako wengi sana wenye sifa hizo nani waaminifu sana kwenye ndoa za..
sijakupata vizuri kwa hiyo wenye sifa hizo wasiolewe kabisa au ndo unataka kusema nini tu???
maana inaelekea unawaambia vijana/wanaume kwamba wata cheat...

mi nakwambia mwanaume kama anatabia ya kutongoza wanawake naye anataka kutia masaa yote..
haangali ukoje.... maana ye acho waza nikuingia ikulu tu...

kila mwanamke anatogozwa au alitogozwa na haijalishi yukoje....
 
Huu utafiti ulizingatia sampo ya mtu mmoja au wawili
 
Anachosema Vegule ni cha kweli. Ni cha kweli kwa maana ya kwamba wapo watu waliopitia hayo-waliooa wanawake wazuri wa maumbo na sura ambao wanawavutia wanaume wengi na hivyo kupelekea kutongozwa. Wapo wanaoshindwa kuushinda ushawishi na kuishia kugawa na pia wapo ambao wanashikilia na kutii viapo vyao vya ndoa na kukataa hivyo vishawishi na hivyo kubakia kuwa waaminifu.

Kwenye haya mambo ya mahaba kuwapaka watu wa kundi fulani rangi kwa kutumia brashi moja si sawa. Kwa sababu ktk kila scenario unaweza kupata aliyefanya hivi na aliyefanya kinyume chake.

Ni mambo ya case by case basis lakini pia uangalifu na uzingatiaji wa mengi unahimizwa kabla haujaamua kufunga pingu za maisha.
 
Kevin ninachoamini kila mwanamke hutongozwa tena sana kutokana na kila mmoja kuwa na mvuto wa pekee,,,na kugawa ni silka ya mtu siamini kama hizo sifa za utafiti zinachangia!
 
Kevin ninachoamini kila mwanamke hutongozwa tena sana kutokana na kila mmoja kuwa na mvuto wa pekee,,,na kugawa ni silka ya mtu siamini kama hizo sifa za utafiti zinachangia!

Nakubaliana na wewe kabisa. Ila pengine ninapotofautiana na wewe ni kuwa wapo wanawake wanao fit hiyo profile aliyoitoa Vegule. Unless wewe unambie unajua silka na tabia za kila mwanamke ktk dunia hii nzima.
 
Acheni bwebwe kwani wanaume mnajua philosopy wa ya wanawake???? kwa ushauri oa mke umpendae hayo ya uaminifu ni results tu.
 
Kuna ukweli fulani ndani ya hoja ya mtoa mada

Nasema hivi kwasababu wanaake wa aina hii wanapenda sana kunyeyekewa na waume/wapenzi wao kutokana na kuwa wanapata matongozo mengi kwa watu wa aina mbalimbali na wenye uwezo tofauti. Kwa maana hiyo akipata msukosuko kidogo kwenye familia yake kiuchumi au kiugomvi basi yuko tayari kudinywa
 
kulingana na utafiti wangu binafsi, ukioa mwanamke mwenye sifa zifuatazo:
1. mweupe naturally bila kujichubua,
2. umbo la nane
3. macho ya kurembua naturally
4. M--a--t--a--ko makubwa ya mviringo
5. ma---tk malaini na yanatikisika kama yanadondoka
6. anajua kama ana sifa zote hizo
Nadharia tete
1. 90% ya wanaume wa bongo na waafrika kwa ujumla wanapenda sifa hizi
2. Mwanamke kama huyo atatongozwa kila atakakopita huku akimwagiwa misifa kibao
3. Kama ni mwaminifu ataresist sana
Lakini mwishowe...
Atakuja kudinywa na mmoja tena kidinyo cha nguvu (omba Mungu usifahamu)
Kwa sababu
4. FREQUENCY OF KUTONGOZWA IS DIRECTLY PROPORTIONAL TO KUDINYWA. ZE MORE THE KUTONGOZWA THE HIGHER THE PROBABILITY OF KUDINYWA.
Conclusion
Ukiepuka wa aina hiyo unapunguza possibility ya kudinyiwa, all other factors remaining constant.
NB: msinicote vibaya sina maana kuwa wenye sifa tajwa ni wahuni bali wanasumbuliwa sana na wanaume na mwishowe huachia na wanasahau kama wameolewa.
wanaopinga utafiti huu wanene

Utafiti wako hauna mashiko. Je wale wanaowapa mimba wendawazimu nao tuwaweke kundi gani???!!! Kwa uzuri gani walionao hao wendawazimu hadi mtu na akili zake aamue kutembea (kula nao chakula cha usiku) nao??!!
 
vegule:

Tatizo lako ni kwamba ulishindwa kumtosheleza "mkeo" ndiyo maana akaamua kwenda nje - Enyi akina Baba "wapendeni" wake zenu...
 
Utafiti wako hauna mashiko. Je wale wanaowapa mimba wendawazimu nao tuwaweke kundi gani???!!! Kwa uzuri gani walionao hao wendawazimu hadi mtu na akili zake aamue kutembea (kula nao chakula cha usiku) nao??!!
Wewe nawe uko OFF TOPIC hatuongelei habari za wendawazimu hapa
 
It sounds to me like this "research" is more of your own experience! It appears to me that you've known that your wife is now a concubine to somebody and so releasing your frustrations in this forum by alerting us. Thanks anyway for sharing the experience.
 
Mkuu Vegule vipi ulifanikiwa kupata kinywaji ya alcohol zaidi ya 50%/v?
 
asante mtafiti,,,ntajtdi kuzingatia kwenda kinyume na vyote ulivyotaja ila hapo kny kuvaa ndo itakuwa ngumu,,hapo kny meno bado cjaelewa lkn ngoja nisubiri ukamilishe utafiti ingawa umejikita zaidi kny muonekano.

We naye una hatari hasa unachunguza nini na kuuliza maswali gani hayo? hebu achana na huu utafiti kwa wanaume turudi kwenye topic yetu ambayo ni wanawakena uwe mtulivu
 
Naomba kuuliza swali wanawake wanaochangia humu je kuna baadhi wenye sifa alizozitaja vegule?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom