Angalizo kwa wanaotaka kuoa

vegule

Senior Member
Dec 17, 2010
121
4
kulingana na utafiti wangu binafsi, ukioa mwanamke mwenye sifa zifuatazo:
1. mweupe naturally bila kujichubua,
2. umbo la nane
3. macho ya kurembua naturally
4. M--a--t--a--ko makubwa ya mviringo
5. ma---tk malaini na yanatikisika kama yanadondoka
6. anajua kama ana sifa zote hizo
Nadharia tete
1. 90% ya wanaume wa bongo na waafrika kwa ujumla wanapenda sifa hizi
2. Mwanamke kama huyo atatongozwa kila atakakopita huku akimwagiwa misifa kibao
3. Kama ni mwaminifu ataresist sana
Lakini mwishowe...
Atakuja kudinywa na mmoja tena kidinyo cha nguvu (omba Mungu usifahamu)
Kwa sababu
4. FREQUENCY OF KUTONGOZWA IS DIRECTLY PROPORTIONAL TO KUDINYWA. ZE MORE THE KUTONGOZWA THE HIGHER THE PROBABILITY OF KUDINYWA.
Conclusion
Ukiepuka wa aina hiyo unapunguza possibility ya kudinyiwa, all other factors remaining constant.
NB: msinicote vibaya sina maana kuwa wenye sifa tajwa ni wahuni bali wanasumbuliwa sana na wanaume na mwishowe huachia na wanasahau kama wameolewa.
wanaopinga utafiti huu wanene
 
Hatuwezi kukunukuu vibaya maana huu ni utafiti wako binafsi sisi hautuhusu.
 
Tehtehtehteh....aisee. Bwana Vegule naona alichokufanyia mkeo kimekuathiri kwa kiasi kikubwa.

Ulichosema nakubaliana nacho kwa kiasi fulani. Ukiwa na mke anayevutia ww kaa ukijua kuwa atatongozwa tu na kama ulivosema kama hana will power basi ipo siku ata give in na ndo mwanzo wa maumivu.

Pole sana na yaliyokukuta ila kumbuka karma is a muthafukkaa. Ipo siku yatamrudia tu.
 
Mmmh! Ama kweli maresearcher wamekuwa wengi sasa.
Suala la kudinywa haijalishi mwanamke ana umbo au rangi gani.
Tatzo wanawake tuna vitu vingi tunavyowavutia wanaume.
Wanawake wengine kucha tu zinawaletea usumbufu. Wengne macho, miguu etc.
Utafiti wako naupa 0.9%
 
Hiyo ni tathimini yako dada. Asante. Ngoja tupate tahmini zaidi toka kwa wanaume maana wao ndo huvutwa na wanawake. Wewe ni mvutaji na wao ni wavutwaji!
 
mwanamke ukivaa mavazi ya heshima,na hata kama una wowowo,ukilistiri vizuri sifikirii kama utasumbuliwa na ukijiheshimu vilevile
 
mwanamke ukivaa mavazi ya heshima,na hata kama una wowowo,ukilistiri vizuri sifikirii kama utasumbuliwa na ukijiheshimu vilevile

Ubaya au uzuri ni kwamba watu hatufanani na hatufanani kwa mengi. Wapo wanaojisitiri na wapo wanaopenda attention na hufanya kila njia kuzipata ikiwemo kuvaa kiuchochezi.
 
hizi findings angekuwa ameleta mwingine ningeelewa,sio wewe vegule bado unaona mawenge baada ya kuwa cheated na mkeo.on contrary utashangaa wanawake wabaya ndio wanaongoza kucheat sababu wanajijua wabaya watafanya kila njia wapate ATTENTION kutoka kwa wanaume,watavaa hivi au vile au nusu uchi kabisa kuhakikisha 'wanaonwa' na kutongozwa kwao ni wimbo wanaotaka kuusikia ili kuwahakikishia wako complete.
 
kazi ipo mwanamke,,naomba na angalizo la upande wa pili ndugu mtafiti.
Wiselady, naendelea na utafiti wa upande wa pili ila matokeo ya awali yanaonyesha mabinti wajiepushe kuolewa na wanaume warefu, weupe, vifua vya kujaa, wanaoacha moustach, Meno ya kung'aa sana, wanajua kuvaa vizuri na wanapendeza, wanajua kuwa ni mahandsome. ASEE HAWA WANANASWA KIURAHISI SANA NA BAADHI YA WANAWAKE YAANI HATA BILA KUTONGOZA WANAPEWA. believe me ila ni preliminary results za utafiti.
 
hizi findings angekuwa ameleta mwingine ningeelewa,sio wewe vegule bado unaona mawenge baada ya kuwa cheated na mkeo.on contrary utashangaa wanawake wabaya ndio wanaongoza kucheat sababu wanajijua wabaya watafanya kila njia wapate ATTENTION kutoka kwa wanaume,watavaa hivi au vile au nusu uchi kabisa kuhakikisha 'wanaonwa' na kutongozwa kwao ni wimbo wanaotaka kuusikia ili kuwahakikishia wako complete.

Ni mimi huyu huyu niliyeinfideliwa but nimeeleza kwamba other factors remain constant nikiwa namaanisha ikiwa wanawake wawili wanafanana kitabia (njema au mbaya) possibility ya kucheat ipo kwa mwenye sifa niilizozitaja.
 
Wiselady, naendelea na utafiti wa upande wa pili ila matokeo ya awali yanaonyesha mabinti wajiepushe kuolewa na wanaume warefu, weupe, vifua vya kujaa, wanaoacha moustach, Meno ya kung'aa sana, wanajua kuvaa vizuri na wanapendeza, wanajua kuwa ni mahandsome. ASEE HAWA WANANASWA KIURAHISI SANA NA BAADHI YA WANAWAKE YAANI HATA BILA KUTONGOZA WANAPEWA. believe me ila ni preliminary results za utafiti.

asante mtafiti,,,ntajtdi kuzingatia kwenda kinyume na vyote ulivyotaja ila hapo kny kuvaa ndo itakuwa ngumu,,hapo kny meno bado cjaelewa lkn ngoja nisubiri ukamilishe utafiti ingawa umejikita zaidi kny muonekano.
 
Mmmh! Ama kweli maresearcher wamekuwa wengi sasa.
Suala la kudinywa haijalishi mwanamke ana umbo au rangi gani.
Tatzo wanawake tuna vitu vingi tunavyowavutia wanaume.
Wanawake wengine kucha tu zinawaletea usumbufu. Wengne macho, miguu etc.
Utafiti wako naupa 0.9%
Hiyo ni kweli kabisa kuna wanawake wazuri sana ila kwa sababu za aina hii wanaume wanakuwa hawajiamini, kumbe mke wala hana hilo ila unakuja kumpa kesi zisizo lazima. Ukiwa na mtu kama huyo lazima uwe makini sana na hisia zitakuponza. Unakuja kujua baadaye wakati ushampiga kibuti.
 
asante mtafiti,,,ntajtdi kuzingatia kwenda kinyume na vyote ulivyotaja ila hapo kny kuvaa ndo itakuwa ngumu,,hapo kny meno bado cjaelewa lkn ngoja nisubiri ukamilishe utafiti ingawa umejikita zaidi kny muonekano.
Ni kweli nimeangalia zaidi mwonekano. Ila naongeza kipengere kimoja huku naendelea na utafiti. kwa wanaume wenye sifa hizo na wakianza kufanya ubarazuri wao mara nyingi hujifanya si waongeaji saaana ila mara nyingi akiongea na mwanamke ni kwenda kumdinya tu kwa sababu anajua hatakataliwa. Kumbuka tatizo ni hapo tu atakapojijua kuwa wanawake wanampapatia.
 
Hiyo ni tathimini yako dada. Asante. Ngoja tupate tahmini zaidi toka kwa wanaume maana wao ndo huvutwa na wanawake. Wewe ni mvutaji na wao ni wavutwaji!
Cheating ni hulka ya mtu, anaweza kuwa mwanaume au mwanamke, japo wanawake kama inavyosemwa hapa, wao huvutwa sana na wanaume wakware, na hao ni wachache, inategemea na resistance ya mwanamke mwenyewe na ujanja wake kukwepa mazingira hatarishi.

Akijileta basi atamegwa hadi ... iote sugu. Maana wanaume wakipewa wachache hukataa. ikitegemea mahali na hali yake mwenyewe. ila kuna wanawake wazuri sana ila gusa uone wanakuvunja mavu
 
Back
Top Bottom