Uchaguzi 2020 ANGALIZO: 28/10/2020 tumchague Rais anayeshaurika na anayetimiza matakwa ya Wananchi

J
Lissu ni adui wa Taifa amesaliti Nchi anatembea na laana

Atapewa kura na robert
Kakusaliti wapi? Wa-tz tuko na shida, uelewa wetu na uchambuzi wa masuala hasa yale yenye manufaa hatuwezi. Tunalishwa matango pori na waliofirisika kisiasa baada ya kushindwa kujibu hoja za msingi. Kwahili, mdahalo wa wagombea ni muhimu kujua usaliti wa Lissu nakile kinachodaiwa uzalendo wa jpm
 
Rais wa Tanzania hawezi kukaa na msaliti wa Nchi kufanya mdahalo
JKakusaliti wapi? Wa-tz tuko na shida, uelewa wetu na uchambuzi wa masuala hasa yale yenye manufaa hatuwezi. Tunalishwa matango pori na waliofirisika kisiasa baada ya kushindwa kujibu hoja za msingi. Kwahili, mdahalo wa wagombea ni muhimu kujua usaliti wa Lissu nakile kinachodaiwa uzalendo wa jpm
 
Rais Magufuli hawezi kukaa na msaliti wa Nchi kufanya mdahalo

Hata shetani atatucheka
JKakusaliti wapi? Wa-tz tuko na shida, uelewa wetu na uchambuzi wa masuala hasa yale yenye manufaa hatuwezi. Tunalishwa matango pori na waliofirisika kisiasa baada ya kushindwa kujibu hoja za msingi. Kwahili, mdahalo wa wagombea ni muhimu kujua usaliti wa Lissu nakile kinachodaiwa uzalendo wa jpm
 
Piga spana kwa Wasaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Mimi kura yangu ni kwa Lissu,lije jua ije mvua!Uamuzi nilishafanya na iko hivyo!
 
Tusimchague rais ambaye akiyapata madaraka anachukia ushauri na kuona kama kumshauri ni kuingilia Uhuru wake.

Rais anapaswa kujua kwamba yupo madarakani kuyatimiza yale ambayo wananchi wanataka, siyo yale anayotaka yeye.

28/10/2020 imekaribia sana, ndugu Watanzania tusifanye makosa.

View attachment 1595370
Tunachagua mtu au Chama kwa sera zake zili ainishwa kwenye Ilani ya Uchaguzi?
 
Tusimchague rais ambaye akiyapata madaraka anachukia ushauri na kuona kama kumshauri ni kuingilia Uhuru wake.

Rais anapaswa kujua kwamba yupo madarakani kuyatimiza yale ambayo wananchi wanataka, siyo yale anayotaka yeye.

28/10/2020 imekaribia sana, ndugu Watanzania tusifanye makosa.

View attachment 1595370
Chagueni chadema maendeleo hayana chama
 
Kuwa rais sio akili ya kujua kila kitu, unaweza ukawa mzuri kwenye claiming na sio kwenye reasoning
 
Tusimchague rais ambaye akiyapata madaraka anachukia ushauri na kuona kama kumshauri ni kuingilia Uhuru wake.

Rais anapaswa kujua kwamba yupo madarakani kuyatimiza yale ambayo wananchi wanataka, siyo yale anayotaka yeye.

28/10/2020 imekaribia sana, ndugu Watanzania tusifanye makosa.

View attachment 1595370
Magufuli ajiandae tu kustaafu!! Ametoa maneno ya kejeli na ametudharau na kutunyanyasa sana watanzania ndani ya hii miaka 5
 
Wezi was rasilimali za Tanzania no Watanzania wanaojidai kujivika uzalendo hewa ,wenyewe ni kundi la wachache ambao wakotayari kujitoa ufahamu na kuwaita wazalendo wa kweli wasaliti Kama njia ya wao kujificha.
Binafsi nikikumbuka uwanja wa ndege chato sina hamu na jpm, hakuna uzalendo wowote pale.
 
Back
Top Bottom