Uchaguzi 2020 ANGALIZO: 28/10/2020 tumchague Rais anayeshaurika na anayetimiza matakwa ya Wananchi

Lissu ni msaliti wa Nchi, laana imemwandama

Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
Jpm ni zaidi ya msaliti.huyu kura hakustahili kupata hata ya mke wake
 
Sio mimi niliyemtuma lissu aisaliti Nchi, huyo mtu wenu laana inamkabili
Kila neno baya utamwita mshindani wenu!!!! siasa ni ajira tunaelewa mnagombea kitumbua, mkale wapi mkiondolewa madarakani na nyinyi wengine shule mmepata ziro! Mmekimbia ajira za mishahara midogo mkaingia ktk siasa.
 
Tusimchague rais ambaye akiyapata madaraka anachukia ushauri na kuona kama kumshauri ni kuingilia Uhuru wake.

Rais anapaswa kujua kwamba yupo madarakani kuyatimiza yale ambayo wananchi wanataka, siyo yale anayotaka yeye.

28/10/2020 imekaribia sana, ndugu Watanzania tusifanye makosa.


View attachment 1595370
Tatizo siyo kuchagua tatizo anayehesabu kura ni nani na tatizo kubwa zaidi anayehesabu kura na kutangaza mshindi yeye kachaguliwa na nani kufanya hiyo kazi
 
Back
Top Bottom