Uchaguzi 2020 ANGALIZO: 28/10/2020 tumchague Rais anayeshaurika na anayetimiza matakwa ya Wananchi

Kwenye point ya 'kutokushaurika', Magufuli ana afadhali kuliko Lissu.

Btw, huu uchaguzi na kati ya jiwe na mwamba,
Kati ya asiyeshaurika na asiyeambilika.
Tofauti yao ni kijani na gwanda tu.
 
Tusimchague rais ambaye akiyapata madaraka anachukia ushauri na kuona kama kumshauri ni kuingilia Uhuru wake.

Rais anapaswa kujua kwamba yupo madarakani kuyatimiza yale ambayo wananchi wanataka, siyo yale anayotaka yeye.

28/10/2020 imekaribia sana, ndugu Watanzania tusifanye makosa.

View attachment 1595370
Uzuri wakimchagua wao waliomchagua wanakuwa wa kwanza kuisoma namba
 
Hakuna namna huyu jiwe lazima adondoshwe. Hatakiwi hata na mkewe.
Kwa kweli mkuu yani jiwe akitoka madarakani siku hiyo hapa kwangu kutakuwa na tafrija jioni.ila mkuu mwaka huu wizi Wa kura utakaofanyika haijawahi kutokea toka hii nchi ipate Uhuru.nimetonywa na mwenyekiti wetu Wa mtaa,zamani alikuwa cdm akaunga juhudi ..
 
Pia rais anaejiamini sio kufunga mabarabara ya pale Ikulu kuogopaogopa anatuletea usumbufu sana wananchi kuzunguzunguka anafanya barabara kama mali zake binafsi yani nna hamu nae mimi huyu $%##@@*&&&&...

Tukutane tr 28 October
Hivi ni usalama upi ambao huyu jamaa anahofia ?
Nahisi ni rais wa kwanza hapa nchini kuongoza nchi kwa hofu na mashaka ya first degree
 
Nimekufuatilia sana uchangiaji wako.. mbona hua huongei point mkuu, unashangaza sana watu jinsi unavyotoa majibu yako, hayana sense kabisa
Mkuu hata kumfuatilia umejitahidi sana mimi nilivyoona uzi kaujaza yeye nikajua hakuna mchangiaji hapa hana hoja zaidi ya kusifia Ccm iliyokataliwa na watu.
 
Kwa kweli mkuu yani jiwe akitoka madarakani siku hiyo hapa kwangu kutakuwa na tafrija jioni.ila mkuu mwaka huu wizi Wa kura utakaofanyika haijawahi kutokea toka hii nchi ipate Uhuru.nimetonywa na mwenyekiti wetu Wa mtaa,zamani alikuwa cdm akaunga juhudi ..
Huo wizi wa kura utagharimu pia maisha ya watu, tujiandae kwa hilo pia.
 
Mbona yule mbobezi wa uchumi, Lipumba haguswi humu. Hebu mfano tungemweka Lissu nafasi ya Lipumba na Lipumba nafasi ya Lissu. Vita si ingekuwa kwa Lipumba? Na Lissu asingeguswa!
Ni wazi mashambulizi kwa Lissu ni kutokana uwezo alio nao ambao ni tishio kwa mgombea wa ccm.
Mti wenye matunda ndio hurushiwa mawe.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Lissu ndio Aliwatetea Mabeberu yatuibie madini yetu
Tushukuru Rais Magufuli akatutetea sasa tunafaidika na madini yetu

Huu Usaliti alioufanya lissu utamtafuna na kizazi chake
Hebu orodhesha list ya mabeberu. Sijui wanatoka wapi sijui kuzimu au ni mfano kama mashetani. tuulize swali hivi shetani ni maada?
Tangu sasa tungependa kwenye kampeni zenu muwataje bayana mabeberu ambayo Lissu anawatetea.
BEBERU NI NANI, ANATOKA NCHI GANI
Wanachi mnatuchanganya na hili neno la jumla jumla. Kama beberu ni shetani mtuambie au ni wale mliosaini nao mikataba ya madini au ni wengine. Watajeni huenda wakiona majina yao wakaogopa. Muwataje kila mmoja na mseme ubeberu wake ili huko waliko wajue waogope. Msipowataja wananchi hawatawaelewa watawachukulia mnalia wivu tu.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Muulize msaliti wa Nchi Lissu atakuorodheshea
Hebu orodhesha list ya mabeberu. Sijui wanatoka wapi sijui kuzimu au ni mfano kama mashetani. tuulize swali hivi shetani ni maada?
Tangu sasa tungependa kwenye kampeni zenu muwataje bayana mabeberu ambayo Lissu anawatetea.
BEBERU NI NANI, ANATOKA NCHI GANI
Wanachi mnatuchanganya na hili neno la jumla jumla. Kama beberu ni shetani mtuambie au ni wale mliosaini nao mikataba ya madini au ni wengine. Watajeni huenda wakiona majina yao wakaogopa. Muwataje kila mmoja na mseme ubeberu wake ili huko waliko wajue waogope. Msipowataja wananchi hawatawaelewa watawachukulia mnalia wivu tu.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Tusimchague rais ambaye akiyapata madaraka anachukia ushauri na kuona kama kumshauri ni kuingilia Uhuru wake.

Rais anapaswa kujua kwamba yupo madarakani kuyatimiza yale ambayo wananchi wanataka, siyo yale anayotaka yeye.

28/10/2020 imekaribia sana, ndugu Watanzania tusifanye makosa.

View attachment 1595370
Aanza yeye kumnyima kura Magufuli maana alitishia kupiga shangazi zake
 
All the traitors and puppets will be punished by Tanzanians on October,28th.You can't betray our Motherland and expect to get our votes.
 
J
Lissu ni adui wa Taifa amesaliti Nchi anatembea na laana

Atapewa kura na robert
Kakusaliti wapi? Wa-tz tuko na shida, uelewa wetu na uchambuzi wa masuala hasa yale yenye manufaa hatuwezi. Tunalishwa matango pori na waliofirisika kisiasa baada ya kushindwa kujibu hoja za msingi. Kwahili, mdahalo wa wagombea ni muhimu kujua usaliti wa Lissu nakile kinachodaiwa uzalendo wa jpm
 
Back
Top Bottom