Hizo ni alama za mabuti anayovaa; yeye na Lowassa hupendelea sana kuvaa hayo mabuti yenye zipu pembeni!!Sasa sijui akiwa huko Msoga huwa anayavaa bila soksi na ndio maana yanamtia alama!!
<br />Kila siku anavaa travolta shoes mpya na ni small size? Na kwa nini wenzake wamekunja miguu yeye kanyoosha ya kwake?
hizo fungus mzee
Source: Othmanmichuzi blog
Mtu wa usalama ni huyo aliyekalia kitiNaomba Kuuliza Hivi hao watu wasiokuwa na Kofia na walivaa kawaida ni watu wa usalama?
KAmani ndio ni nini kilichowafanya wote wageukie upande mmoja (Kushoto)
Mbona hakuna hata mmoja anaeangalia upande wa kulia? ama nyuma? maana inawezekana mtu akaja upande mmoja kuchota akili na upande wa pili action ikafanyika
ni mawazo tu
<br />Kila siku anavaa travolta shoes mpya na ni small size? Na kwa nini wenzake wamekunja miguu yeye kanyoosha ya kwake?
Naomba Kuuliza Hivi hao watu wasiokuwa na Kofia na walivaa kawaida ni watu wa usalama?