Kazi ya miguu ya kuku kwenye ushirikina

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,916
Miguu ya Kuku hutumika, kama hirizi katika mila ya Voodoo, Hoodoo, Amerika Kusini na Conjure. Matumizi bora kwa miguu ya kuku ni wakati unahitaji ulinzi kutoka kwenye mambo hasi na upepo mbaya.Lakini pia inatumika kwa ulinzi na kinga dhidi ya maadui, mashambulizi ya kiroho na hutumika katika kazi ya tahajia kukwaruza migongo na macho ya adui yako.

Kiuhalisia miguu ya kuku ndio imebeba hatima ya uhai wa kuku kwenye mwendo. Pamoja na kwamba ana mbawa lakini bila miguu hakuna kitu kuku anaweza kufanya ili atembee. Hii ni zana nzuri sana katika ushirikina hasa pale unapotaka kuvunja:
  • Nguvu za adui
  • Maagano mabaya uliyonenewa
  • Viapo vibaya ulivyoapizwa
  • Vifungo ulivyofungwa kwenye biashara, mahusiano, Kazi, ajira, kipato, chelsea nknk
Kuna namna ya kuitumia miguu ya kuku kama kafara la kuvunja kila nguvu hasi inayokuandama lakini pia waweza kuitumia kama kiwakilishi cha Mazishi kamili kwenda kwa wabaya wako ili kila walichokufanyia kife na kuzikwa.

Unaweza kuhoji ni kwa nini kuku na si Jamii nyingine ya ndege hasa hawa wa kufugwa? Kwa mfano bata?
Bata si kiumbe msafi, ni mchafu anayependelea uchafu na kula chochote kilichopo mbele yake. Hii kiroho ina tafsiri ya uchafu na unajisi kama mwanaume muhuni ama mwanamke malaya.

Lakini violence miguu ya bata haijaachana na haina nguvu kama miguu ya kuku. Miguu isiyoachana kiroho huleta zuio kwa lolote utakalotaka kulifanya. Kingine miguu ya kuku ni myepesi na ni imara sana kubeba uzito Wote wa mwili wa kuku na kucha zake ni imara na ni kali kushinda za bata.

Nadhani mpaka hapa inatosha sana, maana nilienda deep zaidi Nitakuwa kama narejea nilikotoka wakati sipo
tena huko.

60c0873012802ee6d33b4bf966db479c.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miguu ya Kuku hutumika, kama hirizi katika mila ya Voodoo, Hoodoo, Amerika Kusini na Conjure. Matumizi bora kwa miguu ya kuku ni wakati unahitaji ulinzi kutoka kwenye mambo hasi na upepo mbaya.Lakini pia inatumika kwa ulinzi na kinga dhidi ya maadui, mashambulizi ya kiroho na hutumika katika kazi ya tahajia kukwaruza migongo na macho ya adui yako.
Kiuhalisia miguu ya kuku ndio imebeba hatima ya uhai wa kuku kwenye mwendo.. Pamoja na kwamba ana mbawa lakini bila miguu hakuna kitu kuku anaweza kufanya ili atembee

Hii ni zana nzuri sana katika ushirikina hasa pale unapotaka kuvunja
Nguvu za adui
Maagano mabaya uliyonenewa
Viapo vibaya ulivyoapizwa
Vifungo ulivyofungwa kwenye biashara, mahusiano, Kazi, ajira, kipato, chelsea nknk
Kuna namna ya kuitumia miguu ya kuku kama kafara la kuvunja kila nguvu hasi inayokuandama lakini pia waweza kuitumia kama kiwakilishi cha Mazishi kamili kwenda kwa wabaya wako ili kila walichokufanyia kife na kuzikwa

Unaweza kuhoji ni kwa nini kuku na si Jamii nyingine ya ndege hasa hawa wa kufugwa? Kwa mfano bata?
Bata si kiumbe msafi, ni mchafu anayependelea uchafu na kula chochote kilichopo mbele yake.. Hii kiroho ina tafsiri ya uchafu na unajisi kama mwanaume muhuni ama mwanamke malaya
Lakini violence miguu ya bata haijaachana na haina nguvu kama miguu ya kuku.. Miguu isiyoachana kiroho huleta zuio kwa lolote utakalotaka kulifanya
Kingine miguu ya kuku ni myepesi na ni imara sana kubeba uzito Wote wa mwili wa kuku na kucha zake ni imara na ni kali kushinda za bata
Nadhani mpaka hapa inatosha sana, maana nilienda deep zaidi Nitakuwa kama narejea nilikotoka wakati sipo tena hukoView attachment 2866948

Sent using Jamii Forums mobile app
Inafikirisha Sana. Mkuu
 
Huu hauna roho lakini

Sent using Jamii Forums mobile app
Hirizi huwa ni mzigo wenye masharti kibao na kuishi na viumbe vya ajabu, Heri huo mguu wa kuku wa kisasa hauna mambo mengi.

Haya mambo huwaga natamani sana waafrika tuyaache maana kwakweli hayana maendeleo, Wazungu walikuwa wataalam pro max mara kibao kuzidi sisi ila ikafika kipindi wakaona hauna tija, Na hata hapa kwetu tukiangalia ile jamii yenye maendeleo makubwa tunaona mambo ya uchawi wamejitahidi kuyapunguza hata vijijini kuwakuta waganga wa kuroga ni mtihani labda waende kwa majirani zao kununua.

Nahisi kinjekitile Ngwale alichinja kuku wengi sana ili apate hii miguu kuwapa babu zetu kinga dhidi ya risasi za wajaremani,
 
Miguu ya Kuku hutumika, kama hirizi katika mila ya Voodoo, Hoodoo, Amerika Kusini na Conjure
Umeona hapo hakuna mwafrika hata mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miguu ya Kuku hutumika, kama hirizi katika mila ya Voodoo, Hoodoo, Amerika Kusini na Conjure
Umeona hapo hakuna mwafrika hata mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
Haiti ndio inaongoza kwa voodoo Amerika ya Kusini.

Haiti ndio nchi iliyo na asilimia kubwa sana ya waafrika kwa nchi za ukanda wa Amerika Kusini, karibia 90% ni waafrika

Ni nchi inayoongozea kwa umasikini Amerika ya kusini
 
Back
Top Bottom