Angalia namna Lowassa anavyojichanganya na kuonyesha mapungufu yake mengi

Na kauli hii je haikuudhi, "sitawaangusha" by John P. Magufuli, mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi 2015.
 
Lowasa daima!mi mwenyewe ccm lakini du mwenyekiti taifa kachemka kabisa wa ccm Kikwete!LOWASA NAMPA KURA YANGU!
 
Kampeni hazijaanza, ndio maana hata magufuri anarudia sentence Ile ile "sintawaangusha" bila kufafanua hatatuangusha kivipi. mnataka lowassa aanze kuongea sana ili mseme alikiuka utaratibu? Kampeni zinafunguliwa tarehe 22 na atakachosema Lowasa ni sawa tu maadam keshakubaliana na katiba tunayoitaka wana nchi. Katiba ndio habari nambari wani , na ndiyo imesababisha vyama vyenye itikadi tofauti kuungana ....hata Kenya wame piga hatua baada ya kuboresha katiba.

Magufuri atatumia uchapa kazi wake kusimamia katiba iliyopitishwa na bunge la ccm na sheria kandamizi zilizopitishwa na bunge la ccm. Lowasa atatumia uchapakazi wake kusimamia katiba itayopitishwa na ukawa inayomlinda mwananchi na kumwajibisha kiongozi , hapo ndio penye mzizi wa mambo! Masuala ya machinga na laptop ni yatokanayo tu. Wananchi tumeamka.
 
Mhombea urais wa ccm keshaprove failure kwa kusema atawapa walim laptop ,hiyo ni kuonyesha kwamba hana vipaumbele na hajui tatizo la elimu hapa nchini ni nini,alishakua mwalu bado hajui tatizo la elimu hapa nchini ni nini wakati hata mtu ambae hakusoma hawezi kutoa ahadi ya kijinga hivyo.

Uwape walum laptop wakati karibu nusu ya wanafunzi hawana madawati nchi nzima,akili au matope,hizi phd za tanzania ni bure,ndio za kina lipumba.
Hakuna tofauti kati ya prof lipumba,maji marefu na magufuri kwenye kujenga hoja,maji marefu anaweza kua bora kuwazidi.
 
ha ha ha haaaaaa cleverbright amenichekeeeeesha kweli. ni kweli Mheshimiwa EL amesema ataunda serikali itakayokuwa rafiki na maskini....sahihi kabisa. Tafsiri yake hata kwa mimi mjinga wa uelewa ni kuwa Serikali (tajiri) kuwa rafiki na maskini ni kumsaidia maskini aondoke katika umaskini afikie utajiri kama serikali ilivyo. Kwa hiyo hakuna kujichanganya wala siasa za umonduli na hakuna watu waliojaa umbea bali ni wapiga kura wa mbeya wanaoonyesha wazi kuwa sasa imetosha kwa CCM na Tanzania bila CCM inawezekana kabisa. kuwa phd holder sio kigezo cha kuwashawishi wapiga kura kwani wao wanachojali ni nani anayekubalika na amefanya nini hapo kabla na ataifanyia nini Tanzania. Mtahangaika sana lakini mjiandae tu kwani mara hii goli la mkono au ushindi wa mezani haupo......
 
Nakumbuka fika kuwa katika mikutano yake wakati hata bado hajakinunua chadema, ukawa na watannzania baadhi wasiojielewa lowassa alikuwa kila anaponukuliwa anasema nanukuu " mimi sitaki mtu masikini na siamini kama kuna mtu masikini tanzania " mwisho wa kunukuu. kwa wale mtakaobisha tafuteni kauli zake hizi kupitia kwa watu waliokuwepo katika hiyo mikutano yake na kauli hii hii pia aliitumia wakati akitangaza nia kupitia chama kikubwa, kizuri, bora na kitakatifu tanzania, africa na duniani kwa ujumla cha CCM.

Ili kuonyesha huyu mzee anavyofilisika kichwani leo tena akiwa huko kwa watu wanaopenda umbea sana kuliko wowote nchini Tanzania mkoani Mbeya lowassa alisema nanukuu " nikiwa rais nitaunda serikali rafiki na masikini kwani natambua tuna marafiki wengi " mwisho wa kumnukuu. je kauli zake zinafanana? kwanini haeleweki? ila sishangai kwani yawezekana wengi wenu msiweze kugundua hili pengine kutokana na kutekwa na mihemko ya siasa za panya road za wapinzani wa nchi hii CHADEMA / UKAWA.

Jambo jingine ambalo linanichanganya kwa huyu mgombea mwenye ndoto za alinacha lowassa ni kitendo chake cha kutumia udhaifu wa kiuchumi wa makundi fulani ya watanzania kama ndiyo mtaji wake wa kisiasa. kwa mfano kokote ambko lowassa ataenda kuhutubia lazima atasema maneno au kauli hii " nikiwa rais nitahakikisha maisha bora kwa mama ntilie, boda boda na wamachinga ". hivi ni kweli matatizo ya nchi hii ni ya watu au makundi hayo ya watu? nimewahi mno kufuatilia siasa za wenzetu waliotutangulia katika siasa tena za kidemokrasia kwa muda mrefu na hapa kwa ulaya nachukua mfano wa nchi ya marekani ambapo nakumbuka wakati wa kampeni za urais obama wa democrat na john mcain wa republican muda wote wa kampeni zao walikuwa wanagusia tu " sensitive and very touching issues " zinazowahusu na zitakazowafaidisha wamarekani kiujumla vivyo vivyo kwa majirani zetu wa kenya hata wao wakati wa akina uhuru na odinga na wao hawakuwa mbali sana kama akina obama na mcain wakati wa kampeni zao ila kwa hapa Tanzania naona lowassa anataka kuleta mtindo wa siasa uitwao " monduli politics " ambazo zimejaa sana sera za kucheza na akili za watu wasiojua kufikiri na ambao wapo tayari kupelekwa pelekwa kama ng'ombe wakiwa malishoni.

Ewe mgombea wangu rais mtarajiwa dr. John Pombe Magufuli naomba utakapoanza kampeni zako hebu tuonyeshe kuwa kweli wewe ni phd holder na utakayoyasema yaakisi hiyo elimu yako kubwa na binafsi nakuaminia na utafanikiwa mno. watanzania tunakutegemea sana magufuli na tuna imani na wewe na chama chako pia.

Tuvumiliane tu kwa sasa.

Magufuli sisi tutaweza kumpa kura kama ataturudishia Nyumba zetu alizouza kihuni nakuisababishia hasara nchi kwa watendaji mbali mbali kuishi mahotelini nakulipiwa gharama kubwa, kisa MAGUFULI KAUZA NYUMBA ZETU!

Pili atwambie zile bilioni 254 alizotumia bila kuonesha zimetumikaje, na CAG akampa hati chafu aturudishie. Kwa level ya elimu aliyonayo, siamini kama anaweza kudanganywa namtendaji wake yeyote. Hivyo basi, tunaamini anajua vizuri hizo hela zetu bilioni 254 zilipo, azirudishe Hazina.

Akishafanya hivyo, sisi watanzania tusio navyama tutampatia tu kura zetu.

Tunachokataa nikutuaminisha kwamba eti Ccm wamempata mtu safi wakati makando kando kama hayo hapo juu niaibu tupu. Labda mtwambie kwamba kutokana nawatu karibia wote ktk Ccm kuwa niwachafu, wameoza na rushwa na ufisadi, huyu ndotumeona ana ka uhafadhali.
Mkutwambia hivo sisi tutaamini tu kwamba kweli mmejitahidi ktk mchujo wenu.
 
Hata sijaelewa ulichoandika,punguza jazba, futa majasho kwanza. Kama wenyeviti wa mikoa wanasepa wewe mtoto wa balozi wa nyumba kumi unakomaa na ccm? Kweli wewe fungu la kukosa.

Mpe hiyo huyo mchumia tumbo
 
Unajua Mkuu,tatizo la walio wengi wanadhani siasa ni matusi na ugomvi. Na ndiyo kitu ambacho kimejengeka sana ktk siasa za Tanzania. Nielimishe,tetea hoja yako ili nikubaliane na wewe. Lakin tukianza kutukanana hapa hata haisaidii,na pia zaidi ya yote wengi wetu humu hatufahamiani majina halisi,hujui natokea wapi? Kwahiyo ukinitukana ni sawa na kukitukana kivuli. Na pia jiulize swali,ukinitukana kuna mzgo umenifungia ntashindwa kuubeba. Penye ukweli tuseme ukweli,penye uwongo tukiri uwongo. Hv ni nani aliye msafi ndani ya ccm na kumuita mwenziye fisadi? Ni nani aliyemsafi ndani ya Ukawa na kumuita mwenziye Fisadi? Binadamu wote ni wadhaifu ila kuna kuzidiana. Mm mtazamo wangu ni kuipumzisha ccm tuangalie upande mwingine hata km itakuwa ccm B,unachotakiwa kufanya ni kuniekeza kwa hoja kwann nisiipigie kura Ukawa? Lakn ukitukana haisaidii hata chembe. Asante Mkuu

Kama siyo matusi Kamuulizeni Lusinde kibajaji, WAPIGA KURA MWAKA HUU NI WAMBEA, VIBAKA, WAKABAJI, na majina kama hayo! Mwaka huu wastaarabu wa CCM mnalo, mtaisoma namba.
 
kampeni bado inasubiriwa mda na ilani ianze kutangazwa tukianza ilani mapema mtaanza kulia .Obama aliingia madarkani kwa kuwajali masikini kwenye huduma za jamii.Lowasa anawajali masikini ndio mana ana ule mfuko wake wa kusaidia masikini VICOBA
 
Nakumbuka fika kuwa katika mikutano yake wakati hata bado hajakinunua chadema, ukawa na watannzania baadhi wasiojielewa lowassa alikuwa kila anaponukuliwa anasema nanukuu " mimi sitaki mtu masikini na siamini kama kuna mtu masikini tanzania " mwisho wa kunukuu. kwa wale mtakaobisha tafuteni kauli zake hizi kupitia kwa watu waliokuwepo katika hiyo mikutano yake na kauli hii hii pia aliitumia wakati akitangaza nia kupitia chama kikubwa, kizuri, bora na kitakatifu tanzania, africa na duniani kwa ujumla cha CCM.

Ili kuonyesha huyu mzee anavyofilisika kichwani leo tena akiwa huko kwa watu wanaopenda umbea sana kuliko wowote nchini Tanzania mkoani Mbeya lowassa alisema nanukuu " nikiwa rais nitaunda serikali rafiki na masikini kwani natambua tuna marafiki wengi " mwisho wa kumnukuu. je kauli zake zinafanana? kwanini haeleweki? ila sishangai kwani yawezekana wengi wenu msiweze kugundua hili pengine kutokana na kutekwa na mihemko ya siasa za panya road za wapinzani wa nchi hii CHADEMA / UKAWA.

Jambo jingine ambalo linanichanganya kwa huyu mgombea mwenye ndoto za alinacha lowassa ni kitendo chake cha kutumia udhaifu wa kiuchumi wa makundi fulani ya watanzania kama ndiyo mtaji wake wa kisiasa. kwa mfano kokote ambko lowassa ataenda kuhutubia lazima atasema maneno au kauli hii " nikiwa rais nitahakikisha maisha bora kwa mama ntilie, boda boda na wamachinga ". hivi ni kweli matatizo ya nchi hii ni ya watu au makundi hayo ya watu? nimewahi mno kufuatilia siasa za wenzetu waliotutangulia katika siasa tena za kidemokrasia kwa muda mrefu na hapa kwa ulaya nachukua mfano wa nchi ya marekani ambapo nakumbuka wakati wa kampeni za urais obama wa democrat na john mcain wa republican muda wote wa kampeni zao walikuwa wanagusia tu " sensitive and very touching issues " zinazowahusu na zitakazowafaidisha wamarekani kiujumla vivyo vivyo kwa majirani zetu wa kenya hata wao wakati wa akina uhuru na odinga na wao hawakuwa mbali sana kama akina obama na mcain wakati wa kampeni zao ila kwa hapa Tanzania naona lowassa anataka kuleta mtindo wa siasa uitwao " monduli politics " ambazo zimejaa sana sera za kucheza na akili za watu wasiojua kufikiri na ambao wapo tayari kupelekwa pelekwa kama ng'ombe wakiwa malishoni.

Ewe mgombea wangu rais mtarajiwa dr. John Pombe Magufuli naomba utakapoanza kampeni zako hebu tuonyeshe kuwa kweli wewe ni phd holder na utakayoyasema yaakisi hiyo elimu yako kubwa na binafsi nakuaminia na utafanikiwa mno. watanzania tunakutegemea sana magufuli na tuna imani na wewe na chama chako pia.

Tuvumiliane tu kwa sasa.

Umenena mkuu,kinachofanyika ni sawa na ulaghai at work.
 
Mbona unatoka mapovuuu unazani watz niwajinga.... Umetumwa kuwatukana watz umepotea njia
 
mkuu umepanic mpaka unawaita watu wa mbeya kuwa ni wapenda umbea?! Duh hatari!

mtu anapotaka kuanguka huwa hachagui jiwe la kujikwaa.

Wameshiba madaraka, ndio maana wanawaita watu waheshimiwa makapi, oil chafu nk. Ukiona hivi tambua watu wamejisahau na hawajitambui tena kuwa hao kina kapi na oil chafu wana watu nyuma yao... Ni maneno yanayozaa chuki.

Hivi kuna watu walikuwa wakiongea mbofu kama wale waliotoka nccr na cuf enzi zile? Wakaenda ccm na kuwapa watu majina ya ajabu? Mbona leo hawakumbukwi? Sioni ajabu wapiga firimbi wa sasa...
 
Hii ni shidaaa mana lowasa ananunua watu ili afanikiwe kuingia ikulu na akiingia tutegemee ikulu itakua na walinzi wakimasai na sime zao na hata tausi wata chinjwa wote na kuleta ngombe mgeni akifika analetewa maziwa huku akimsubili raisi pia ugoro utauzwa mpaka ikulu na felli watazuia kuleta samaki
 
Back
Top Bottom