Angalia namna Lowassa anavyojichanganya na kuonyesha mapungufu yake mengi

Uache uongo, kauli hizo mbili katoa akiwa chadema, msipende kuwa na mapenzi ya upofu.

ww unaugonjwa wa akili,mtoa mada kasema kuwa kauli ya kwanza aliitoa wakati anatangaza nia ccm,kauli ya pili kaitoa juzi mbeya wakati anasaka wadhamin kama mgombea wa CHADEMA/UKAWA afu ww kwa utahira wako unasema kauli zote kazitoa ndan ya chama kimoja?
 
Mwaka huu ,hatuchagui nani profesa nani mchungaji ,mwaka huu tunahamisha UTAWALA na kuleta UONGOZI ,hilo moja,kubwa kushinda yote tunajipanga na kuwapanga wengine kuikomoa CCM ,system ya CCM na organs zake imekuwa corrupted ,haifai hata kuongoza mbuzi seuze ng;ombe.

Mnataka kuwafanya watu wabakie katika majina ,wachague majina,wafuate usomi wa mtu ,hayo yote wameshayafuata na faida hakuna ,mwaka huu CCM mnang'oo mnang'oka hakuna mbadala hapo .lichama chakavu limekwisha mpelekeeni Hamadi Rashidi auze kama chuma chakavu,

Utawala wa CCM hauna faida kabisa kabisa ,watu na usomi wao tena wasomi wa kweli wameshindwa kutumia elimu yao ndani ya CCM wanabakia kukamatwa na mufuko ya rambo na viloba wakihamisha mahela kutoka mabenki mfano Anna Tibaijuka na wengine wengi sana mmewafunika ndani ya system ,ivi magufuli ataiweza kazi ya kuibadilisha system ,no way .LiCCM lazima ling'olewe na mzizi yake ,halina tena hadhi ya kuwa chama tawala cha Taifa la Tanzania.

Nani atakaye ing'oa
 
Kwanini wafuasi wa Lowasa (cyber army) wanatumia matusi na lugha chafu badala ya kusema wanaplan kufanya nini, kivipi na tutegemee matokeo gani na matusi tu kila dakika. Jipangeni vizuri previously (Kabla ya Lowasa) debate ilikuwa based on issues, sasa kuna tofauti gani na Kibajaji. Kumbukeni Arumeru Mashariki Ushindi Ulipatikani sio kwa Matusi wala Maneno ya kejeli. CDM ilifocus kwenye issues na kuelezea maovu ya Lowasa na Ushindi ukapatikana. Kwa nini tumeacha a wining formula? Je hafai tena baada ya EL kuhamia huku? Je kwa hii mikakati matokea yakeenda opposite wa kulaumiwa nani. Tujadili Issues na personal attack hazina maana.

Kama kila alieko upinzani angekuwa na akili kama zako basi tungepata ukombozi wa kweli mkuu, heshima kwako,,, ukihoji watu walipokosea basi jamaa watakutukana na kukuita ccm. Binafsi mpaka sasa sijalizika na utetezi wa lowassa kwenye richmond na utetezi wake ulikuwa very cheap kwa tunaojua report ya mwakyembe, lakini ukihoji unaoga mitusi sasa ukombozi gani huu sijui mtu akihoji kwa kutaka kujua anakuwa msaliti...
 
Haya nendeni mkaangalie Liverpool then mkalale maana mmekuja kwa kivuli cha ukawa ilhali magamba mwili mzima
 
Mtoa mada ni chekechea leaver
Huwezi kumpinga mtu kwa udhaifu wa hoja hiii nyepesi kama pumba ambayo hata nguruwe hali

Magufuli wako na CCM ni shati bovu hata tukiweka kiraka kipya litachanikaa

Tukubalii CCM wameshafanya kaziii wamezeeka wanakufa sasa
Asante
 
Hii ni shidaaa mana lowasa ananunua watu ili afanikiwe kuingia ikulu na akiingia tutegemee ikulu itakua na walinzi wakimasai na sime zao na hata tausi wata chinjwa wote na kuleta ngombe mgeni akifika analetewa maziwa huku akimsubili raisi pia ugoro utauzwa mpaka ikulu na felli watazuia kuleta samaki
Wachangiaji wengine sijui wakoje!
 
Back
Top Bottom