Angalia namna Lowassa anavyojichanganya na kuonyesha mapungufu yake mengi

cleverbright

Ngoja tukusaidie kidogo ww mwenye chama kizuri. Ni kwamba kampen hazijaanza hapo anatambulishwa tu kama alivyokua anatambulishwa mgombea wako na unapozungumza ya mwenzio kumbuka na ya kwako, ngoja nikukumbushe, unakumbuka mgombea wako alivyokua anasema kila alipokwenda? Alisma hvi nanukuu"mimi naitwa john pombe magufuri nitawatumikia ndugu zangu watanzania" je, ndio sera pekee?
Tuliza ball mkuu subir kipyenga kipulizwe ujue ILAN ya vyama ndo ukosoe lakn kwa bahat mbaya chama bora kimetoa sera moja ikaonekana haikubarik haraka ikakanushwa, sasa nashaur n bora mzitaje mapema kabla ya kampen ili muone upepo wa sera zenu unamwitikio gan alafu mbadilishe kabla ya kipyenga uwenda itawasaidia vingnevyo mtaumbuka tena. Bado wiki nzima jitahdin kutaja ilan ndo ushaur wangu
 
Last edited by a moderator:
cleverbright

Tatizo sio magufuli watu wameichukia ccm wameichoka ccm full stop. Hata kama Magufuli angekuja upinzani angependwa tu. Kwa nn hamtaki kubadilika mnatumia ubabe wa dola kuwanyanyasa wananchi?
 
Last edited by a moderator:
"Kwa nini unataka Lowasa awe raisi?" "Hata najua basi! Mi namshangilia tu" Nyumbus @work.

Hivi kwa nini mnakuwa na chuki na Lowasa kiasi hiki? Mwizi yeye, Fisadi yeye, ana pesa nyingi yeye, ana pesa kuliko nani katika ulimwengu huu.? Na ni fisadi kuliko nani ndani ya ccm?
 
Baraza lake la Mawaziri litakuwa ni la Wabunge kutoka kwenye UKAWA. Mfano Waziri Mkuu anaweza akamteua kutoka chama cha CUF
 
cleverbright

You sound like hater man umepanic vibaya sana hadi kuwatukana watu wa mbeya na badO mikoa mingine akienda halafu ukayaona hayo mafuriko sijui utawaitaje......
 
Last edited by a moderator:
nakumbuka fika kuwa katika mikutano yake wakati hata bado hajakinunua chadema, ukawa na watannzania baadhi wasiojielewa lowassa alikuwa kila anaponukuliwa anasema nanukuu " mimi sitaki mtu masikini na siamini kama kuna mtu masikini tanzania " mwisho wa kunukuu. kwa wale mtakaobisha tafuteni kauli zake hizi kupitia kwa watu waliokuwepo katika hiyo mikutano yake na kauli hii hii pia aliitumia wakati akitangaza nia kupitia chama kikubwa, kizuri, bora na kitakatifu tanzania, africa na duniani kwa ujumla cha CCM.

ili kuonyesha huyu mzee anavyofilisika kichwani leo tena akiwa huko kwa watu wanaopenda umbea sana kuliko wowote nchini Tanzania mkoani Mbeya lowassa alisema nanukuu " nikiwa rais nitaunda serikali rafiki na masikini kwani natambua tuna marafiki wengi " mwisho wa kumnukuu. je kauli zake zinafanana? kwanini haeleweki? ila sishangai kwani yawezekana wengi wenu msiweze kugundua hili pengine kutokana na kutekwa na mihemko ya siasa za panya road za wapinzani wa nchi hii CHADEMA / UKAWA.

jambo jingine ambalo linanichanganya kwa huyu mgombea mwenye ndoto za alinacha lowassa ni kitendo chake cha kutumia udhaifu wa kiuchumi wa makundi fulani ya watanzania kama ndiyo mtaji wake wa kisiasa. kwa mfano kokote ambko lowassa ataenda kuhutubia lazima atasema maneno au kauli hii " nikiwa rais nitahakikisha maisha bora kwa mama ntilie, boda boda na wamachinga ". hivi ni kweli matatizo ya nchi hii ni ya watu au makundi hayo ya watu? nimewahi mno kufuatilia siasa za wenzetu waliotutangulia katika siasa tena za kidemokrasia kwa muda mrefu na hapa kwa ulaya nachukua mfano wa nchi ya marekani ambapo nakumbuka wakati wa kampeni za urais obama wa democrat na john mcain wa republican muda wote wa kampeni zao walikuwa wanagusia tu " sensitive and very touching issues " zinazowahusu na zitakazowafaidisha wamarekani kiujumla vivyo vivyo kwa majirani zetu wa kenya hata wao wakati wa akina uhuru na odinga na wao hawakuwa mbali sana kama akina obama na mcain wakati wa kampeni zao ila kwa hapa Tanzania naona lowassa anataka kuleta mtindo wa siasa uitwao " monduli politics " ambazo zimejaa sana sera za kucheza na akili za watu wasiojua kufikiri na ambao wapo tayari kupelekwa pelekwa kama ng'ombe wakiwa malishoni.

ewe mgombea wangu rais mtarajiwa dr. john pombe magufuli naomba utakapoanza kampeni zako hebu tuonyeshe kuwa kweli wewe ni phd holder na utakayoyasema yaakisi hiyo elimu yako kubwa na binafsi nakuaminia na utafanikiwa mno. watanzania tunakutegemea sana magufuli na tuna imani na wewe na chama chako pia.

tuvumiliane tu kwa sasa.

Halafu post yenyewe imekaa kichama zaidi huyo pombe sera zake ni kugawa conmputer kwa walimu jaman yani mwalimu anunuliwe na computer huo ndo mshahara wake na mazingira ya kazi yatakuwa yamebireshwa? Phd holder hii ni tz tu......
 
Mleta mada jichunguze isije ikawa wewe ndio hujitambui, hivi unawezaje kuwaita wenzio hawajitambui wakati hata huwajui, tofauti ya mitazamo katika nyanja moja ya maisha haifanyi mmoja awe mjinga au mwerevu.
 
Mleta mada jichunguze isije ikawa wewe ndio hujitambui, hivi unawezaje kuwaita wenzio hawajitambui wakati hata huwajui, tofauti ya mitazamo katika nyanja moja ya maisha haifanyi mmoja awe mjinga au mwerevu.

tuvumiliane tu tafadhali ili sindano izidi kuwaingia vizuri.
 
Chama cha kifisadi kilichouza gesi yetu China na kuiba ela za escrow bilion 75 hakiwez kua bora dunian ata mbinguni ata Mwenyenzi Mungu muumba mbingu na nchi anajua
 
Ccm mnajua jinsi mlivyonyonya hayo makundi ya mama ntilie na bodaboda ambao mnajua ndio wapga kura sasa subirini sndano iwaingie vzuri
 
Back
Top Bottom