Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,744
Mwaka huu ,hatuchagui nani profesa nani mchungaji ,mwaka huu tunahamisha UTAWALA na kuleta UONGOZI ,hilo moja,kubwa kushinda yote tunajipanga na kuwapanga wengine kuikomoa CCM ,system ya CCM na organs zake imekuwa corrupted ,haifai hata kuongoza mbuzi seuze ng;ombe.
Mnataka kuwafanya watu wabakie katika majina ,wachague majina,wafuate usomi wa mtu ,hayo yote wameshayafuata na faida hakuna ,mwaka huu CCM mnang'oo mnang'oka hakuna mbadala hapo .lichama chakavu limekwisha mpelekeeni Hamadi Rashidi auze kama chuma chakavu,
Utawala wa CCM hauna faida kabisa kabisa ,watu na usomi wao tena wasomi wa kweli wameshindwa kutumia elimu yao ndani ya CCM wanabakia kukamatwa na mufuko ya rambo na viloba wakihamisha mahela kutoka mabenki mfano Anna Tibaijuka na wengine wengi sana mmewafunika ndani ya system ,ivi magufuli ataiweza kazi ya kuibadilisha system ,no way .LiCCM lazima ling'olewe na mzizi yake ,halina tena hadhi ya kuwa chama tawala cha Taifa la Tanzania.