Angalia kama nimeku "MISS"

Angalia kama nimeku "MISS"

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,107
kuna watu humu ndani nimewamis si mchezo yupo g. Mpolee, kongosho, liverpoolfc, Invisible, Boflooo, smile. Ao ni baadhi tu. Ukiwaona au wakija nina salam zao.

Shkamoo, Mambo, Hujambo, how are you, hi.
Unaweza chagua salam yoyote!
 
acha ubanguzi humu jamvin wote tunapedwa na mama na baba JF kwa nini utubangue?
 
kuna watu humu ndani nimewamis si mchezo yupo g. Mpolee, kongosho, liverpoolfc, Invisible, Boflooo, smile. Ao ni baadhi tu. Ukiwaona au wakija nina salam zao.

Shkamoo, Mambo, Hujambo, how are you, hi.
Unaweza chagua salam yoyote!

Kuna haja ya moderators kuharakisha lile Jukwaa la Matusi...
 
Invisible haonekani kama jina lake.. Ngoja nimuulize roulette labda anajua whereabouts zake.. Hivi ngabu yuko wapi siku hizi?

Ukimuona na yeye mpe salam zangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom