Angalia kama nimeku "MISS"

kuna watu humu ndani nimewamis si mchezo yupo g. Mpolee, kongosho, liverpoolfc, Invisible, Boflooo, smile. Ao ni baadhi tu. Ukiwaona au wakija nina salam zao.

Shkamoo, Mambo, Hujambo, how are you, hi.
Unaweza chagua salam yoyote!

mie simisiki au semenya nini?
 
Mphamvu eee! Mara ya kwanza kuona jina lako nikadhan ni mp*um**vu. Usipende shar bhana

Mantakhof kuhusu jina, umesaha kuna ukoo wa Mbo.ro kule uchagani?
Kwani kumpa mtu haki yake (tusi, in this case) ni kutaka shari sheikh wangu?
 
Back
Top Bottom