Andika magonjwa

Mwalim anawaita wanafunzi waandike magonjwa wanayoyafaham ubaoni
wakwanza kaandika: HIV
Wapili akaandika : TB
Watatu akandika : Polio
Wanne akaandika: /

Mwalimu kaamuuliza ndo ugonjwa gani huo, akajibu STROKE!!!
atakua Joseph Msukuma (Geita - CCM)
 
Back
Top Bottom