And the winner is............................ ........

Filipo majibu ya mafungu mafungu kama hivyo hapo juu
mnanichanganyaga mjue lakini.

Anatoka kwa wafilipi! Lol



Ofcourse!



Oohooo! Nini tena Baba V



Yaaah! Nilimpa mimba tulipokuwa Tanga!



Angalia avatar yake



Habari ndio hiyo!



Nimeshamweleza na sasa marejesho yupo bedrest!



Ameshinda ulumbwende wa ulimwengu huu!



Kwani wewe ni mfilipi!




Ndio maana nakupenda sister! unaelewa haraka!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom