And the winner is............................ ........

ndo maana nataka tunataka kufunga ndoa kabisa ili ukate tamaa sababu ninavyo kuambia ni mke wangu hunielewi. itabidi umsubirie hadi nikifa sababu mimi na Heaven on earth hadi kifo kitutenganishe. nakushauli ukamae na toto yako mwanampwampwa..hahahahaaaa....!!!. mia

Nitapambana hadi mbinguni....haiwezekani nimkose mlimbwende wangu Heaven on earth
 
Last edited by a moderator:
ni ladyfurahia pekee
There is only one beautiful lady in this world, thats is a Miss from Filipo and she is Miss world now!
Na huyu si mwingine ila ni ubavu katika ubavu wangu, nyama katika nyama zangu, nae ni my wife wangu, mke mwema kutoka kwa mungu! ambae ni .........................................!!!
 
Hivi Filipo hapa unamaanisha Arabela, @Lara1 au unamaanisha mke wa St. Paka Mweusi aitwae marejesho? I mean yule zilipendwa wako kamanda.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom