Heaven on earth huyu nae ni shem wangu?
Unauliza t.ako la kuku wakati unaona upepo unakuja!?? huyo ndo Heaven on bed oooh... sorry I mean on earth
unauliza t.ako la kuku wakati unaona upepo unakuja!?? Huyo ndo heaven on bed oooh... Sorry i mean on earth
Kaizer mbona unataka tuje kutolewa nduki hum ndani!!!!!!!!mengine labda itokee tu au sio Heaven on earth
Queen Kan ni rafiki tu huyo.....unataka yatokee yapi kati yako na Heaven on earth?
babe Kaizer hawezi kufanya hivyo na mie katu sintoruhusu kitu kama hicho........
unataka yatokee yapi kati yako na Heaven on earth?
Queen Kan ya kutokea yapo, ila kama alivokwambia Heaven on earth. mimi ni rafiki tu, nina kichuna wangu DEMBA roho kwatu apaQueen Kan ni rafiki tu huyo.....
queen kan ya kutokea yapo, ila kama alivokwambia heaven on earth. Mimi ni rafiki tu, nina kichuna wangu demba roho kwatu apa
weeeeeeeh!!! figganigga ishia hapo hapo. Kaizer ni wangu halali kabisa. hata swahiba zake amenitambulisha akiwemo wifi wangu KOKUTONA.
weeeeeeeh!!! figganigga ishia hapo hapo. Kaizer ni wangu halali kabisa. hata swahiba zake amenitambulisha akiwemo wifi wangu KOKUTONA.