And the winner is............................ ........

And the winner is............................ ........

leo baada ya ibada kulikuwepo na operasheni takasika na kuvunja ngome za shetani ikiwemo kuombea wagonjwa ndo maana nikachelewa. love you babe...only you honey....mmwaaaa.....!!!. mia

Love you too babe figganigga.....siku nyingine uwe unanipa taaria mapema

utaja ntoa roho bure mtoto wa mwanaume mwenzio
 
Last edited by a moderator:
mambo mkuu. Heaven on earth nlishakutambulisha kwamba ni wifi yako. tunataka kufunga ndoa tusije pata mtoto wa nje ya ndoa coz hatuvai socks so nikaona bora tufunge ndoa sababu kila mmoja anamfikisha mwenzie vizuri tu kunako 6 kwa 6. huyo Vin Diesel ni mchawi anataka eti kumchezea tu heaven on earth na anatumia nguvu yake kuhakikisha anavunja uhusiano wetu. but mimi na heaven tunampuuza tu. nimemwambia bora amrudie mwanampwapwa wake lol...hahahahaaa...!!!. mia
figganigga mie mzima kbs,nashukuru kwa utambulisho huu wa wifi yangu Heaven on earth na maamuzi ya busara mliyochikua mie nawapatia baraka zangu zote!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom