Anayetaka MAMLAKA KAMILI Ahame Zanzibar - DR SHEIN

Anayetaka MAMLAKA KAMILI Ahame Zanzibar - DR SHEIN

wala usihofu watanganyika waishio znz muungano ukivunjika hawana cha kupoteza. watakwenda huko kwa passport na wakidhulumiwa au kuhujumiwa basi wapemba walioko kariakoo na akina baresa itabidi waondoke waachie wazawa ardhi yao. hakuna tatizo kabisa wala hakuna positive impact ya uchumi wa nchi yetu kwa watu wanaofanya kazi au biashara znz ni vibiashara vya vipesa vya kula tu na pengine utumwa tuwaache wawahudumie wenyewe kwenye mabaa na mahoteli yao ya kitalii ni utumwa kule hakuna kitu.

unajua mpaka wa zanzibaa??
 
Unataka nikutajie ukalalamike kuwa anakutangaza? Teh teh teh teh, msalimie Muksini...mimi ukiniita mdini najisikia raha wewe mbona kauzu sisi hatusemi.

Mkuu mwagika tu huyu mhehe mshamba na ana laana za kula rambi rambi za mjane
 
Unataka nikutajie ukalalamike kuwa anakutangaza? Teh teh teh teh, msalimie Muksini...mimi ukiniita mdini najisikia raha wewe mbona kauzu sisi hatusemi.
Unapenda sana kuitwa mdini?

Haya bosi, basi niachie hawa watu niendelee nao mdogo mdogo, lakini hiyo itikadi yako ndio inayonikera.

Anyway, unapata faida gani kuwa mdini?
 
Mkuu mbona unanichekesha?

Kwa hasira zangu ningekuwa Rais ningevunja muungano lakini baada ya kuangalia kwa makini nimegundua kuna ndugu kibao kule ambao wanaupenda muungano, hivyo kwa faida ya wale wanaoupenda muungano kuanzia leo sikubali uvunjike bora uwepo ili kuwanusuru ndugu zetu

Halafu naomba kuuliza!
Zile rambirambi za mwangosi utarudisha lini?? Manake mama watoto wake kila siku analia.
Hebu fanya hima! Usije pata laana.
 
Afadhali sasa sisi waunguja tusiopenda zanzibar kujitenga tutapumua. Kiukweli wanaotaka mamlaka kamili zanzibar ni alshabab si wazanzibar wala watanzania.

Pengine ungenitafutia kwetu mimi ninaetaka mamlaka kamili. Ni ujinga wenu kufikiri kuwa kuna mwenye hatimiliki ya zanzibar!
 
Wahehe ni watumwa wa waarabu ...mkwawa aliwapigania waaarabu..alikuwa agent w akuwauza wengine na mwishowe kawaachia wahehe utamaduni uliokuwa na ushawishi wa kiarabu sana.Hadi lei wakicheza ngoma wanachovaa ni aibu tupu.
Yaani hata wewe mbulumundu unanishambulia hapa?

Leo mbona napigwa nondo kutoka kila kona? hapa ni JF AU?
 
yaani huyu CHRISTINA anavoonesha chuki kwa waarabu,wazanzibar na waislamu basi na sisi ngoja tukupige vita rasmi...hujui kwamba zaidi ya 40-50 % ya populationya iringa ni waislamu? unajisahaulisha kwamba watumiaji wa serengeti forwarders wengine ni waarabu kama kina fahmi hilmi BIN KLEB great lakes etc????
 
Kura ikipigwa ninaamini wengi watautaka muungano uendelee..

Kuna wajinga wachache tu wasiojua wanachokifanya ndio wanataka muungano uvunjike huko Zanzibar na kutufanya wabara tuuchukie Muungano

Tuwafikirie ndugu zetu kwanza wenye asili ya bara.

Wanaopigania kuucunja asili nyao ni Oman na Yemen wala sio watanzania

Mwenye kuamuwa juu ya chake hawezi kuwa mjinga mjinga ni kama wewe unaomwita mwenzako mjinga kwa chake. Kwani hata ndugu wa tumbo moja hutofautiana juu ya mawazo na unakuwa mjinga iwapo utaingilia mambo yao!
 
Mimi ni mhehe mwenye asili ya kiyahudi, unasemaje hapo...

Teh teh teh teh!

Yaani unataka kunambia yule ehud barak au shimon perez au netanyahu alipokuja huko kwa wala mbwa akacheza faulo au!?? Manake hakuna kitu wayahudi hawapendi kama mtoto wa HARAMU.

Cc Ritz Ntuzu
 
Last edited by a moderator:
Mwenye kuamuwa juu ya chake hawezi kuwa mjinga mjinga ni kama wewe unaomwita mwenzako mjinga kwa chake. Kwani hata ndugu wa tumbo moja hutofautiana juu ya mawazo na unakuwa mjinga iwapo utaingilia mambo yao!
Mkuu,

Heshima yako, sijawahi jibiwa kwa busara kama leo.. Hili jibu linabeba maana kubwa sana

Haya tuambie umeamua nini yakhe?
 
Mkuu,

Heshima yako, sijawahi jibiwa kwa busara kama leo.. Hili jibu linabeba maana kubwa sana

Haya tuambie umeamua nini yakhe?

Kukufahamisha tu kuwa kila mmoja awe na uhuru wa anavyoamini lakini tusibatizane ujinga wala kutowana uananchi!
 
yaani huyu CHRISTINA anavoonesha chuki kwa waarabu,wazanzibar na waislamu basi na sisi ngoja tukupige vita rasmi...hujui kwamba zaidi ya 40-50 % ya populationya iringa ni waislamu? unajisahaulisha kwamba watumiaji wa serengeti forwarders wengine ni waarabu kama kina fahmi hilmi BIN KLEB great lakes etc????
Nani kakuambia mimi mdini? hapa tunaongelea siasa unaanza dini

Wewe ni AL ANTARA MUNAFIK!
 
Huyu Chris Lukosi mara ingine anakua na chuki za kipumbavu sana! Mkuu wahehe wanasifa ya upendo sijui we ukoje au chadema walikuanbukiza roho ya kichaga? Halafu cha ajabu unataka kua mbunge wa iringa wakati iringa kuna waarabu wapo kule kabla babu yako hajazaliwa,sasa ukipata ubunge si utafanya kila mbinu ya kuwafukuza hawo waarabu? Mkuu badilika wahehe ni watu wazuri sana usiwe kama wale wakaskazini

pumbaaa...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom