Anayetaka MAMLAKA KAMILI Ahame Zanzibar - DR SHEIN

Anayetaka MAMLAKA KAMILI Ahame Zanzibar - DR SHEIN

Sheikh Farid Hadi Ahmed na Ustaadhi Illunga hawajamsikia huyu kiongozi. Hivi Sheikh Farid yu wapi????
 
Shein waambie hao magaidi majinga kabisa.Kwa gharama yoyote Zanzibar hatutaiachia jasho letu na damu yetu imemwagika pale.Zanzibar utaendelea kuwa chini ya baba yako Tanganyika mpaka unakufa.Na kenge yoyote atakayeleta kidomodomo tutampoteza kwenye ramani ya dunia.Nyambaf
 
Wee Muunguja gani? mbona huna dalili hata moja!! au ndio walee muliokuja kwa mwenge mukasahau kurudi makwenu kwa jinsi mulivyopenda kuishi na Waungwana wa Kizanzibar, Ndugu yangu Wazanzibar ni wamoja na katu humuoni Muunguja eti akijiita kwamba ni Muunguja, izo fitna na majungu ulokusudia kamwe hazina nafasi kwa Wazanzibar, lakini jengine kwangu nakuhisi kuwa wewe ni KAFIRI tena mkubwa sana ndio maana umeshindwa kuzificha chuki zako dhidi ya Wazanzibar 60% wanaodai mamlaka kamili, lakini tunakwambia Wazanzibar kwa umoja wetu tutaendelea kudai mamlaka kamili bila shuruti lolote maana Zanzibar ndio petu tuna hakki zetu kama umenuna rudi kwenu TANGANYIKA ukaendeleze ukafiri wako Zanzibar ina wenyewe!!!
huu ----- ungekuwa mtu wa maana sana kama ungewaambia mapoyoyo na wazamiaji wenzio wapemba ambao wapo kila kona ya Tanganyika wakivuna utajiri wetu kiulaini.waambie tutakuja kuwazingua 1day.
 
Kura ikipigwa ninaamini wengi watautaka muungano uendelee..

Kuna wajinga wachache tu wasiojua wanachokifanya ndio wanataka muungano uvunjike huko Zanzibar na kutufanya wabara tuuchukie Muungano

Tuwafikirie ndugu zetu kwanza wenye asili ya bara.

Wanaopigania kuucunja asili nyao ni Oman na Yemen wala sio watanzania

Mtu mzima mwenye heshima zako leo hii unaongea hoja za kitoto, ama upo kilabuni mda huu? kwani ile 60%alotangaza Warioba ilimaanisha nini? ile ni ishara tosha ya ushindi kwa Wazanzibar, lakini hoja ya Wazanzibar na Vasili yao hiyo ipo wazi, Zanzibar ni visiwa na watu wake wanamchanganyiko kutoka pande tofauti za dunia lakini nashangaa ndugu zetu mnavyo lazmisha eti Wazanzibar wametokea Tanganyiaka, Hizo ni hoja za mgando na kamwe hazina nafasi ktk kudai mamlaka kamili Zanzibar..
 
Mkuu,mtu ukiwa bara au toka bara basi ni kafiri??!! Wapemba waliojazana Mwambao wa Tanganyika ni makafiri?? Na kina Ghalib Bilal,Mwinyi ni makafiri??!! Kwa tafsiri ipi hiyo ya ukafiri wako unaohubiri??!! Usilete upumbavu wa kuingiza udini kwenye mambo ya kisiasa ambayo ki ukweli mchungu ni suala lisilo naanufaa kwa wananchi wa kawaida bali wanasiasa na vyeo vyao!!

Shein akipigiwa/aspopigiwa mizinga bara mwananchi wa chini anapata na kukosa nini??!! Watoto wa Karume,Bilal na Kina Mwinyi wakipewa ubunge wa EAC,ubalozi na madaraka bara walalahoi wanafaidika nini??!!

Hima hima,msipandikize chuki kwa hoja za kipumbavu na kizandiki!!

Wakatabahu!

Nilimuita kafiri kwa ishara ya kuonesha dhahir chuki zake zake dhidi ya Uisilamu na waisilamu palee alipowafananisha Wazanzibar 60% wanamkataba eti ni ASHABAAB, sasa mtu huyu aweza kuwa muisilamu kweli?
 
Mzee Shain kwa mkwara bana, ni sawa na una kabinti ka miaka 18 kanataka kuolewa lakini wewe dingi unampiga mkwara kasiolewe vinginevyo utakatimua nyumbani - mbaya zaidi hukapi hela ya matumizi na wala hukasomeshi - yaani kataondoka tu kwenda kwa jamaa..

Kifupi kama wazazibar wanataka mamlaka kamili hakuna mtu wa kuwazuia sababu nchi ni yao - utawazuia leo na kesho lakini si milele.
 
wala usihofu watanganyika waishio znz muungano ukivunjika hawana cha kupoteza. watakwenda huko kwa passport na wakidhulumiwa au kuhujumiwa basi wapemba walioko kariakoo na akina baresa itabidi waondoke waachie wazawa ardhi yao. hakuna tatizo kabisa wala hakuna positive impact ya uchumi wa nchi yetu kwa watu wanaofanya kazi au biashara znz ni vibiashara vya vipesa vya kula tu na pengine utumwa tuwaache wawahudumie wenyewe kwenye mabaa na mahoteli yao ya kitalii ni utumwa kule hakuna kitu.

Wazanzibar waungwana sana, hata ikiwa mali yenye thamani kubwa kiasi gani, sisi hatutafanya unyama unaousema wewe, Tumeungana kwa amani pia tutaachana kwa amani pia!!
 
huu ----- ungekuwa mtu wa maana sana kama ungewaambia mapoyoyo na wazamiaji wenzio wapemba ambao wapo kila kona ya Tanganyika wakivuna utajiri wetu kiulaini.waambie tutakuja kuwazingua 1day.

hahaa!! hamna uwezo wa kuwazingua Wapemba nyinyi, hao ndio wanaowaweka mjini hapo, ndio nguzo yenu!!
 
tatizo lenu mnaogopana wenyewe kwa wenyewe huko visiwani mnachojua ni kujifungia ndani na kuropoka.Shein kasema anataka serikali mbili si mko nae huko unguja mfuate akiwa msikitini umuulize yeye kwa nini mnakuwa na kauli mbili mbili mara muungao ufe mara mbili mara mkataba mara tatu, tume imesema tatu nyie znz ndio mnaanza kutaka zibaki mbili.
mkuu shein anatumiwa na watanganyika kuitawala zanzibar, ndo maana uteuzi wake ulifanyika dodoma(tanganyika). Ccm inawaganya wazanzibar ili tanganyika iendelee kuitawala zanzibar!
 
Kura ikipigwa ninaamini wengi watautaka muungano uendelee..

Kuna wajinga wachache tu wasiojua wanachokifanya ndio wanataka muungano uvunjike huko Zanzibar na kutufanya wabara tuuchukie Muungano

Tuwafikirie ndugu zetu kwanza wenye asili ya bara.

Wanaopigania kuucunja asili nyao ni Oman na Yemen wala sio watanzania
Mkuu upo? nasikia kuna tenda ya kusafirisha mabehewa na vichwa vya train vilivyotumika toka huko ughaibuni kuja Dar, hebu inuse nuse hiyo maana huku hali ni mbaya - jua ni kali balaa!!! sawa kamanda wangu!!!
 
mkuu shein anatumiwa na watanganyika kuitawala zanzibar, ndo maana uteuzi wake ulifanyika dodoma(tanganyika). Ccm inawaganya wazanzibar ili tanganyika iendelee kuitawala zanzibar!
unayosema sio kweli, bali unayosema uchumi wa znz ni utalii na bandari,mkivunja muungano kuingiza wafanyakazi kufanya kazi huko kwenye mahotel yenu itabidi muwalipe hela nyingi tofauri na sasa wanafanya kazi kama watumwa wakilipwa hela mbuzi isiyo na maendeleo yeyote maana watadaiwa kudi kubwa na watanganyika labda muamue kuwapikia hao wataliano piza zao za nguruwe mpike wenyewe na bia na mapombe yao mengine muwahudumie wenyewe, kuhusu bandari nje ya muungano soko la tanganyika mtalipata kwa kulilipia garama kubwa labda muwe mnaagiza makontena ya kuuziana nyie wenyewe hapo unguja na pemba. usalama:chuki za wapemba na waunguja itabidi mbuni mbinu za kuzitawala wenyewe hatutaki mateka wala kusikia unguja ccm, pemba cuf.
 
Wazanzibar waungwana sana, hata ikiwa mali yenye thamani kubwa kiasi gani, sisi hatutafanya unyama unaousema wewe, Tumeungana kwa amani pia tutaachana kwa amani pia!!

Ni vizuri ila wenzako wanadhani watanganyika waishio huko ndio chanzo cha umasikini wao hivyo muungano uvunjike ili waondoke ndio dhana ya waznz wengi.
 
unayosema sio kweli, bali unayosema uchumi wa znz ni utalii na bandari,mkivunja muungano kuingiza wafanyakazi kufanya kazi huko kwenye mahotel yenu itabidi muwalipe hela nyingi tofauri na sasa wanafanya kazi kama watumwa wakilipwa hela mbuzi isiyo na maendeleo yeyote maana watadaiwa kudi kubwa na watanganyika labda muamue kuwapikia hao wataliano piza zao za nguruwe mpike wenyewe na bia na mapombe yao mengine muwahudumie wenyewe, kuhusu bandari nje ya muungano soko la tanganyika mtalipata kwa kulilipia garama kubwa labda muwe mnaagiza makontena ya kuuziana nyie wenyewe hapo unguja na pemba. usalama:chuki za wapemba na waunguja itabidi mbuni mbinu za kuzitawala wenyewe hatutaki mateka wala kusikia unguja ccm, pemba cuf.

Hizo chuki za Unguja Pemba ni zetu wenyewe tutadeal nazo baadae Wazanzibar daima ni wamoja tokea dahari zamani, ila kwanza lazima tumuangamiza Third party (Tanganyika ), na katk hili suala la uchumi halina nafasi ni bora tuwe masikini kuliko kubaki kwenye dubwana hilii
 
Kwa hiyo atabadili katiba mpya ya Znz inayosema Zanziba ni nchi?


Viongozi wengi mno wa nchi za Ki-Afrika wanatia aibu mno!

Hiyo ni mojawapo ya dalili za utawala wa kimabavu...sasa Watanzania tumetoka wapi na huyo Dr Shein nae anataka kutupeleka wapi!?

Hivi pamoja na dalili ya kwamba labda amesoma,lakini hapo aonyesha ni jinsi gani haamini katika demeokrasia ya kweli!

Yaani kama ni kweli haya kayasema...basi hiyo ni dalili ya kushindwa kwa hoja na mantiki, naye pia kama Kiongozi Mkuu wa Zanzibar/Rais...yamlazim kuwajibika/accountable kwa kushindwa kuwaelimisha Wananchi wake kwa hoja na Sera za Chama/Serikali yake,kiasi ya kwamba wameshindwa kukubaliana au kumfahamu na vile atakavyo yeye au Chama chake!?

Sasa yaamanisha yakua kila atakae kua hakubaliani na sera zake au za Chama chake ndo ahame nchi/Zanzibar jamani!? Daah! Afrika bana!!

Ahsanta.
 
Hizo chuki za Unguja Pemba ni zetu wenyewe tutadeal nazo baadae Wazanzibar daima ni wamoja tokea dahari zamani, ila kwanza lazima tumuangamiza Third party (Tanganyika ), na katk hili suala la uchumi halina nafasi ni bora tuwe masikini kuliko kubaki kwenye dubwana hilii

wanzanzibar unasema ni wamoja angali wanapishana kauli wenyewe kwa wenyewe? tangu warioba apendekeze serikali tatu, kauli za kutaka zibaki mbili zimetoka znz zaidi hushangai? kauli za kuvunja muungano nazo zimeanzia huko huko .Je watu hawa ni wamoja?. Shein na wanaccm mko nao huko unguja hamuwaambii hayo kwa nini?
 
Back
Top Bottom