Anayejua dalili za limbwata, ashushe elimu

1:Unakuwa kama zezeta hivi.
2:Huwezi ukafanya lolote pasipo kibali cha aliyekupa limbwata,na ikitokea ukafanya lazima utampa taarifa.
3:Unawachukia sana nduguzo na kuwapenda ndugu wa mkeo.
4:Akikukosea nafsi inaanza kumtetea kabla hajaanza kujitetete yeye,hata ukimfumania humwachi nng'oo
5:Unamuona mzuri kuliko mwanamke yeyote duniani na unakuwa na wivu usio wa kawaida.
6:Unakuwa unapenda kumtajataja ukiwa na marafikizo ndugu nk.
7:Siku ukifurukuta ukaamua kumtimua akaondoka, unaanza kuumia wewe muda wote unakuwa unasubiri akutumie msg ya kukuomba msamaha,na msg ikiingia hata kama ulikuwa unaendesha gari utapaki pembeni uisome,(halafu unakutana na msg ya Vodacom)
8:Ukichepuka unakuwa huna hisia na huo mchepuko wako , utaenda kwa kulazimisha tu hivyohivyo huku ukijuta.
9:Ukipata mshahara au mauzo utamkabidhi yeye halafu wewe utakuwa unaomba kwake.
10: Utakuwa unapenda kwenda naye popote na usipoenda naye muda wote utakuwa unamtumia msg au kumpigia.
Hiyo 10

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dalili moja wapo mkeo akikudidimiza dole la log inverse ya mouth unaishia kukenua kama fisi kaona mzoga wa kiboko
 
Kwa wanawake tuliokomaa kiakili hatutishiki na mume anaerudi usiku wa manane kwa maana inatafsiri yafuatayo; kwamba kurudi saa nane Ni wazi huko ulikokuwa haukuwa na mwanamke na Kama ulikuwa nae Basi hamjakutana kimwili, ama la mmekutana ila hamjachoshana, Ni ngumu sana kumuacha mwanamke/kimada wako kitandani saa tisa usiku eti unarudi kwa mkeo obviously utaona heri urudi asubuhi tu,

Kama ikiwa kinyume chake yani unae kimada na ukamuacha usiku mkubwa hivyo kuwahi kwa mkeo trust me unamuheshimu sana na kumuogopa mke wako, naamini mwanaume wa kurudi usiku mnene Ni ama iwe tabia yake au kapata dharula ila siaminigi kuwa eti katokea kwa kimada, kuliko wanaorudi ndani saa mbili mpaka saa tatu usiku hao wengi wanakuwaga na vimada Tena wamevipangia na nyumba kabisa km mke

Kurudi usiku mnene natafsiri Kama heshima kwa mke, kuliko kurudi asbh
Umeongea mkuu
 
Kweli kabisa me huwa narudi saa mbili. Ila nakuwa nushawashika shika mabinti , kibao Ila home nawahi kurudi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wanawake tuliokomaa kiakili hatutishiki na mume anaerudi usiku wa manane kwa maana inatafsiri yafuatayo; kwamba kurudi saa nane Ni wazi huko ulikokuwa haukuwa na mwanamke na Kama ulikuwa nae Basi hamjakutana kimwili, ama la mmekutana ila hamjachoshana, Ni ngumu sana kumuacha mwanamke/kimada wako kitandani saa tisa usiku eti unarudi kwa mkeo obviously utaona heri urudi asubuhi tu,

Kama ikiwa kinyume chake yani unae kimada na ukamuacha usiku mkubwa hivyo kuwahi kwa mkeo trust me unamuheshimu sana na kumuogopa mke wako, naamini mwanaume wa kurudi usiku mnene Ni ama iwe tabia yake au kapata dharula ila siaminigi kuwa eti katokea kwa kimada, kuliko wanaorudi ndani saa mbili mpaka saa tatu usiku hao wengi wanakuwaga na vimada Tena wamevipangia na nyumba kabisa km mke

Kurudi usiku mnene natafsiri Kama heshima kwa mke, kuliko kurudi asbh
Una akili ya mahusiano sana wewe
 
Aiseeh,uko vzr ila mbona wanawake weng hii hawaikubali
 
Dada upo wapi nikupe break first, lunch, mpaka dinner na bill ya vinywaji juu,

Maana umeongea kitu ambacho wanawake wengi hawajui ndio maana nikamwambia angekuwa mlevi ningemsahuri achelewe kurudi maana wanawake wenye akili mbovu hawajui
Niko huku mkuu hebu fanya mambo basi
 
Tatizo lenu me hamueleweki....

Rahisi kwenu vijana chagueni binti mwenye mapeniii na elimu ya juu hasa km smaki. binti kikwete. Trump. Bill clinton.

Kamwe usichague one year course girl!! utahangaika! si mavyuoni huko wamejaa tele?

Hawa wa hivi hana mda na malimbwata hata akikosea akakufanyia utakuwa mzigo wake wa kudumu utakula vizuri utalala pazuri.
atatunza watoto vizuri tu mpaka watapata akili.Unafuu wake ni kulitoa hilo limbwata.

Lkn ukipewa limbwata na maskini hee! Atataka akudhurumu nyumba magari mashamba viwanja nk.

Mwenye nazo atalitoa tu! Hata olewa tena!! Cha kufanya Mke maskini akiloga na wewe loga usikae tu!
Wakikupa heee!! Kutoka kazi sana. Dawa yake ni mestizo tu!!!
 
Eti mke maskini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wanawake tuliokomaa kiakili hatutishiki na mume anaerudi usiku wa manane kwa maana inatafsiri yafuatayo; kwamba kurudi saa nane Ni wazi huko ulikokuwa haukuwa na mwanamke na Kama ulikuwa nae Basi hamjakutana kimwili, ama la mmekutana ila hamjachoshana, Ni ngumu sana kumuacha mwanamke/kimada wako kitandani saa tisa usiku eti unarudi kwa mkeo obviously utaona heri urudi asubuhi tu,

Kama ikiwa kinyume chake yani unae kimada na ukamuacha usiku mkubwa hivyo kuwahi kwa mkeo trust me unamuheshimu sana na kumuogopa mke wako, naamini mwanaume wa kurudi usiku mnene Ni ama iwe tabia yake au kapata dharula ila siaminigi kuwa eti katokea kwa kimada, kuliko wanaorudi ndani saa mbili mpaka saa tatu usiku hao wengi wanakuwaga na vimada Tena wamevipangia na nyumba kabisa km mke

Kurudi usiku mnene natafsiri Kama heshima kwa mke, kuliko kurudi asbh
Nimeheshimu mchango wako, upo vizuri, washauri wanawake wenzio wanaokuzunguka ili kunusuru ndoa zao
 
Dalili kuu ya limbwata ni kutuma hadi ya kutolea wakati hujaombwa hela!
 
Samahani Mkuu...umepewa limbwata na muarabu...na Huyu mkeo..au Ni mtu..mmoja?
 
Hiyo ni balanced life, kila anachotaka unampatia na kila unachotaka anakupa. Sio limbwata ila ni upendo uliokomaa
 
Aisee wanajamvi nashindwa kuelewa kama ni upendo pekee au kuna kichochezi..

Huyu mwanamke Mama watoto wangu kila kitu anachotaka kutoka kwangu ninampatia kwa gharama yoyote ile.

Akinikwaza kidogo tu nikimwambia akijibu tu ninatulia, kila akisema jambo namsikiliza.

Yaani napoteza sauti yangu taratibu juu yake. Ndugu zangu hebu niambieni mtu aliyepewa limbwata anakuwaje?
Duh pole sana mkuu Kama ushaligundua Hilo we sio mgonjwa tafuta namna ya kujitoa kwenye huo utumwa na Wala hayo sio mapenzi inawezekana tayar umewahiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom