Anayejua aina nzuri ya perfume

Hatari sana hii

20211229_160945-01.jpeg
 
Baadhi ya mzigo wangu.
Ysl Perfum,Hawas,Oudmod,Aertmios,Ragba.

IMG_20211229_191827_302.jpg
 
DARK FEVER ngoja niitafute nimfuate mtoto xonaaa huuuu Nimeona warembo lakin Xona kwa upako wa dark fever hutoki😂😂😂
 
Nn tofauti ya perfume and cologne wakuu?
Alaf hii dark fever mbona maarufu ivi ebu tumen picha tuone inafananaje na je ni perfume au spray maana hyo bei ya 17 inakua ngumu kuamini perfume kuuzwa hyo bei achana na kua mzr
 
Perfume nzuri hupimwa kwa bei yake. Tenga laki walau. Harufu zitakupoteza
 
Creed aventus ya kupima Mlimani City..35000
Brown orchid ..25000
Echo. ..25000
Diamond ..2500
Phantom ya Rabbane ,Mlimani,35000
Invictus Mlimani City..3500
Mousuf. ..25000
Dior Arabian,70000


Hautojutia Kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom