Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 11,763
- 27,159
Nimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.
Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.
Muhimu:
Kuhusu mimi:
Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.
Asante na Alamsiki!
Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.
Muhimu:
- Uwe na exposure
- Uwe open minded
- Uwe unajitegemea
- Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
- Usiwe na shida ndogo ndogo
Kuhusu mimi:
- Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
- Mwajiriwa
- Makazi (Arusha / Dar / Rome)
- Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea, hiking or long walks, na high adrenaline activities.
- Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.
- Wenye umri wa zaidi ya miaka 50, mnakaribishwa pia (umri unaweza kuwa negotiable kama umekidhi vigezo vingine)
Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.
Asante na Alamsiki!