Anayeifahamu ETHIOPIA apitie hapa

Anayeifahamu ETHIOPIA apitie hapa

Ds
Lugha yao ya Amhariki naifahamu.
Nimekaa Ethiopia miaka mitatu.
Nikipata muda nitakujuza mengi kuhusu hii nchi
Ina historia nzuri sana na ya Zamani.

Inasemakena Mfalme Suleimani wa kwenye Bible alioa Ethiopia na Mabaki ya zile mbao za Moses za Amri kumi inasemekana yapo ethiopia.

Kuna kanisa linaitwa lalibela limechonga ndani ya jiwe. Yani kanisa nzima ni jiwe.
Mwamba mkubwa ulichongwa nje ndani ukawa kanisa.

Wenyewe wanadai Malaika ndio walifanya hio kazi watu wakiwa wamelala asubuhi wanaamka kazi yao imesogea mbele.

Historia yao kubwa ni ya kidini.


Wapo wengi sana wapo zaidi ya milioni mia, ndio maana unasikia baadhi yao wanatoroka nchi yao. Ni wengi sana na Serikali yao ni ya kishenzi. Ile iliyotoka. Ya sasa kidogo inafanya changes.
Wana mtandao mmoja wa simu Magufuli alishawahi kusifia.

Hawana 4g bado labda sasa hivi.
Serikali ilikuwa ikikasirika inazima data kudadeki.



Kuna mengine mengi. Nikipata muda tutashare.
Jumapili njema.
Da mkuu natamani uendelee yaani,vipi kuhusu mambo ya marriage,tunaruhusiwa wageni kuwaoa mabinti zao
 
Pia kuna watu watu wanitwa FARASHA(MAFARASHA) nliona documentary moja BBC wanasema hawa ndo wayahudi wa kale na kila siku wanalilia kurejeya ISRAEL
 
Ds

Da mkuu natamani uendelee yaani,vipi kuhusu mambo ya marriage,tunaruhusiwa wageni kuwaoa mabinti zao
Inaruhusiwa na wana watoto wakali sana na wana ugumu wa maisha ILA mabinti wa kihabeshi wanawathamini sana watu weupe (wazungu) kuliko wewe mweusi wa Ki Africa.
 
Inaruhusiwa na wana watoto wakali sana na wana ugumu wa maisha ILA mabinti wa kihabeshi wanawathamini sana watu weupe (wazungu) kuliko wewe mweusi wa Ki Africa.
Mkuu sasa unanikatisha tamaa
 
Back
Top Bottom